Tundu Lissu kuanza kibarua kipya 01.10.2019

Mjomba kulindwa sana watu sio ndio kuwa unaishi kwa upendo ama maisha mazuri,Allah anamvuta vuta huenda akafanya toba,Mimi naamini wale wote waliopanga njama za kumuua Lissu Allah atawahukumu kwahapa duniani adhabu ndogo,kaburini ndio kabisa hapo bado kusimama kiyama bado,Dunia isituhadae jamani
Kibaya zaidi mtahukumiwa hukumu Sawa na wewe unaezini na kuiba kuku
 
Shida nini kama mshahara wa ubunge ni USD 6000 kwa mwezi huku kua officer unaramba USD 9500 baada ya kodi..........shida ya akili za ki-CCM na KICHADEMA zimekaa kinjaa njaa tu kuhisi ubunge ndio kazi inayolipa duniani.
Au unadhani naye ni mpuuzi kama wewe alienda kusoma ili awe maarufu na si kukidhi basics needs zake
Ndoto za kugombea uraisi zimeyeyuka? Bavicha bana mnaji mix tu!
 
Mmh mi nilijua 2020 lissu anagombea uraisi?

Unataka jiwe afe kwa pressure, hivi ukitokea madahalo wa kiingereza kwa wagombea wote wa urais itakuwaje? Si unajua kwenye kugombea ubunge wa Afrika mashariki huwa wanahojiwa kwa kiingereza, je huko kwenye urais si ndio balaa?
 
Mjomba kulindwa sana watu sio ndio kuwa unaishi kwa upendo ama maisha mazuri,Allah anamvuta vuta huenda akafanya toba,Mimi naamini wale wote waliopanga njama za kumuua Lissu Allah atawahukumu kwahapa duniani adhabu ndogo,kaburini ndio kabisa hapo bado kusimama kiyama bado,Dunia isituhadae jamani
Mmh achana na waliotaka kumuua lissu, wewe mwenyewe tu utahukumiwa na hata huyo lissu sio malaika kana kwamba hatahukumiwa! Kwa suala la kuhukumiwa kila mtu ajiandae
 
yani kutoka kuwa mbunge mpaka kuwa advocacy officer?pathetic

Umejibu tu kwa Hasira / Jazba na pengine hukuchukua muda wako Kutafakari vyema ( japo najua aliyeleta Uzi ni mwana CCM ) ila usisahau kuwa katika Maisha ya Mwanadamu pale hali ikienda ndivyo sivyo basi humlazimu Mtu Kufanya Kazi ambayo hata haikuwa ya Hadhi yake na Mifano hai ya Watu wa aina hii ipo wazi na mingi tu Ndugu.

Wakati ukisema kuwa Tundu Lissu hawezi Kuwa Advocacy Officer kutokana labda na Hadhi yake mbona hushangai kuna Watanzania wengine ambao hapa Tanzania wanajulikana kuwa na Umaarufu kama hata si Hadhi fulan ( hasa Kielimu ) lakini pale Maisha yakiwapiga au wakipata Fursa za kwenda Ng'ambo ( Ulaya / Marekani ) wengi wao hufanya Kazi za Aibu kabisa machoni mwa Macho na Mazoea ya Watanzania wengi kama Kuwachambisha Mimavi Wazungu, Kufua Chupi zao, Kuzibua Mitaro na kadhalika?

Binafsi sijaona cha ajabu kwa Tundu Lissu kama Maisha yakimpiga huko aliko na akalazimika kuwa Advocacy Officer. Kwani kuna tatizo gani kama akiifanya hiyo Kazi kwa muda huku akiwa na Malengo yake Kichwani na pale pengine akijipatia Kipato chake basi anaweza akaiacha na Yeye kuanzisha hata Legal Firm yake hapa Tanzania kama itawezekana au huko huko aliko ukizingatia kwamba tayari anajulikana na Wazungu hivyo wanaweza kumpa Ushirikiano na bado akaendelea tu kuwa na Maisha yake mazuri?

Siku nyingine muwe mnatafakari kabla ya Kujibu kwa Jazba zenu tu za Kisiasa / Kianaharakati na mkaonekana wa hovyo hovyo.
 
Ndugu zangu,
Kama hatabadilisha maamuzi basi Tundu Lissu ataanza kazi katika taasisi moja nchini Ubelgiji kama "advocacy officer".
Japo dili hili linamchanganya kuanza au kutoanza kufanya Ila amepewa hadi tarehe 20.09.2019 ili kuthibitisha kama atafanya au la,japo hata asipothibitisha wadau wamekubali kugharamia maisha yake ughaibuni.
Muda utaamua.
Wakudadavuwa
Brussels
Jf raha sana ! mtu yuko Mbagala Kiburugwa lakini anajifanya yuko Brussels !
Ndugu zangu,

Kama hatabadilisha maamuzi basi Tundu Lissu ataanza kazi katika taasisi moja nchini Ubelgiji kama "advocacy officer".

Japo dili hili linamchanganya kuanza au kutoanza kufanya Ila amepewa hadi tarehe 20.09.2019 ili kuthibitisha kama atafanya au la,japo hata asipothibitisha wadau wamekubali kugharamia maisha yake ughaibuni.

Muda utaamua.

Wakudadavuwa
Brussels
Uzuri wa JF ndio huu , mtu yuko Mbagala Kiburugwa lakini anajifanya yuko Brussels
 
Kwahiyo kama ameweza kutuma barua ya maombi ya kazi pamoja na CV, alishindwa kweli kumtaarifu Speaker kwa maandishi au SMS? Kumbe Mh. Ndungai yuko sahihi
Ndugai mbna yupo sahihi, yaliyobak ni maigizo ya katiba na kuonyeshana umahiri wa kujua vifungu vya sheria
 
Ndugu zangu,

Kama hatabadilisha maamuzi basi Tundu Lissu ataanza kazi katika taasisi moja nchini Ubelgiji kama "advocacy officer".

Japo dili hili linamchanganya kuanza au kutoanza kufanya Ila amepewa hadi tarehe 20.09.2019 ili kuthibitisha kama atafanya au la,japo hata asipothibitisha wadau wamekubali kugharamia maisha yake ughaibuni.

Muda utaamua.

Wakudadavuwa
Brussels
Lumumba mnachekesha kweli eti Wakudadavuwa Brussels, hata JKN airport hujawahi kanyaga.
 
Back
Top Bottom