Tundu Lissu kuanza kibarua kipya 01.10.2019

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Kama hatabadilisha maamuzi basi Tundu Lissu ataanza kazi katika taasisi moja nchini Ubelgiji kama "advocacy officer".

Japo dili hili linamchanganya kuanza au kutoanza kufanya Ila amepewa hadi tarehe 20.09.2019 ili kuthibitisha kama atafanya au la,japo hata asipothibitisha wadau wamekubali kugharamia maisha yake ughaibuni.

Muda utaamua.

Wakudadavuwa
Brussels
 
Cha kushangaza maisha ya Mashaka Unaishi wewe badala ya jiwe...
Very candangalas
Mjomba kulindwa sana watu sio ndio kuwa unaishi kwa upendo ama maisha mazuri,Allah anamvuta vuta huenda akafanya toba,Mimi naamini wale wote waliopanga njama za kumuua Lissu Allah atawahukumu kwahapa duniani adhabu ndogo,kaburini ndio kabisa hapo bado kusimama kiyama bado,Dunia isituhadae jamani
 
Ndugu zangu,

Kama hatabadilisha maamuzi basi Tundu Lissu ataanza kazi katika taasisi moja nchini Ubelgiji kama "advocacy officer".

Japo dili hili linamchanganya kuanza au kutoanza kufanya Ila amepewa hadi tarehe 20.09.2019 ili kuthibitisha kama atafanya au la,japo hata asipothibitisha wadau wamekubali kugharamia maisha yake ughaibuni.

Muda utaamua.

Wakudadavuwa
Brussels
Kutoka high level advocate in the country to advocacy officer!!!!! A junior position
 
..CCM watafura kwa HASIRA.

..Nia yao ilikuwa TL akawapigie magoti.

..faida ya kuwa na elimu na maarifa yanayotakiwa popote duniani ndiyo hiyo.

..siyo kuwa na elimu halafu huna mahali pa kwenda isipokuwa kuwa mtumwa wa CCM.
 
Back
Top Bottom