Tundu Lissu, kesi yako kuhusu Kaimu Jaji Mkuu na Makonda Imefikia Wapi ?

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,629
34,172
Ni majuma kadhaa yameshapita na tunaona kimya, Tunaomba kujua kinachoendelea maana kimya kimezidi

---
----

Au kwa yeyote anaejua atupe updates

.......
........
ORODHA YA KESI ALIZOTAKA KUFUNGUA NA HAKUNA MREJESHO

1. Kumpeleka Makonda mahakamani kwa kesi ya uvamizi Clouds na kutumia jina la mtu

2. Kumpeleka Magufuli mahakamani kwa kumteua KAIMU JAJI mpaka sasa

3. Kumpeleka Makonda mahakamani kwa kumtaja Mbowe sakata la madawa ya kulevya

4. Kuipeleka loan board kwa kukata wakopaji 15% badala ya 8%

- Mwenye kujua mrejesho
 
Alikuwa na kesi na Makonda? Lini alikuwa na kesi na Kaimu Jaji Mkuu?
Gwiji la sheria Tundu Lissu alisema anampeleka mahakamani Magufuli kwa kuteua kaimu Jaji badala ya Jaji, Pia kupitia TLS alisema wanampeleka Makonda mahakamani kwa kuvamia Clouds
 
Hata Kesi ya Uchaguzi wa Bunge la Africa Mashariki Makamanda hawajui File limekwamia wapi?

Lile File la ICJ kule The Hague kuhusu Urais wa JPM tunajua ilikuwa ni Utani tu Kisiasa hatuwezi kumkumbusha
 
Gwiji la sheria Tundu Lissu alisema anampeleka mahakamani Magufuli kwa kuteua kaimu Jaji badala ya Jaji, Pia kupitia TLS alisema wanampeleka Makonda mahakamani kwa kuvamia Clouds
Hayo maswali ungewauliza TLS!
 


Ila kwa ushirikiano wa Kamanda Mwenzie wa Anga Mh. Feeeman Aikael Mbowe wanazishughulikia ipasavyo bila ya huruma wala ajizi Ruzuku za Chama kwa kigezo cha Legal Fees!
Asee inatia huruma sana
 
Back
Top Bottom