Tundu Lissu Katugeuza kuwa Wapinzani

Balozi aibu? Ulikuwa una sikiliza upande mmoja.

Hata ndani ya JF kila mmoja na hoja yake. Mimi nnaamini Tundu Lissu hakutaka kuuliwa kwa bahati mbaya.
Ni aibu nimeishuhudia mimi wakongwe juu wakilaumiana kilichompeleka balozi kujibizana ni nini ilihali hawezi kucontrol emotional zake hadi kushindwa kujibu swali kwanini wapinzani hawakauki korokoroni?

Sitaki kuwa nje ya objective zako. Lissu alionekana kama msaliti kwenye serikali hii hadi amiri jeshi mkuu akasema askari wanajua kazi kwa wasaliti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona umeingia kwenye trap ya lissu kisa tu rais wa sasa ni mkatoliki.

Una hakika gani waliompiga risasi ni mwana ccm? kipindi cha jk alikuwa rais Muslim ulikuwa unasifia kila kitu.

Je Dr Sengondo Mvungi aliuwawa na mwanaccm? Na mateso ya Dr Ulimboka unakumbuka pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unajichanganya?! Hoja yako haina nguvu kwa maana Lisu naye ni Mkatoliki..
 
Naukubali sana upinzani mpaka kesho kutwa na upinzani ndiyo umeuzindua ccm ambayo ilikuwa imelala kwenye usingizi mzito. Km hauko ndani ya ccm na ukafanya uhalifu utapatikana tu na watafanya kila namna na kwa mbinu zote utapatikana ila km upo ndani ya ccm na ukafanya uhalifu huwezi kupatikana kwa 100%. Waliompiga risasi Lissu, waliomteka Roma na Waliomteka Ben Saanane mbona hawajapatikana? Mm mpaka kesho kutwa siwezi kuiamini serikali ya ccm100%. Hichi chama hatari sana yaani wakigundua ww ni mpinzani halafu unakuja juu km hawajakuua basi watakupa kesi yyte wakufunge jela maisha. Hapana CCM siyo chama bali ni genge la wahalifu lilojikita kwenye siasa.
 
Ukweli mchungu.

Tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi kwa waliotaka kumuua ni tukio ambalo sikutarajia maishani mwangu kama nitalishuhudia kwenye siasa za Tanzania.

Sikuamini hapo kabla na mpaka leo hii siamini kama kuna mwana siasa au kiongozi yeyote wa Tanzania anaweza kufikia hatua ya kupanga na kuamuru mauaji ya kutisha (terror) kama yale.

Siamini kama kuna mwendawazimu ndani ya CCM anaweza kubadili neno "siasa" kuwa mauaji.

Nilikuwa sipatani na siasa za Mwalimu Nyerere kwa sababu nyingi tofauti, moja wapo ilikuwa ni hiyo ya kufunga upinzani na kubaki na chama kimoja bila upinzani ambao ungeweza kukosoa na kufungua macho ya Wananchi anapokosea.

Uliporudishwa tena upinzani nilifurahi sana na nikawa nnauhakika 100% sasa Tanzania itaendelea.

Mazingira niliyokulia Dar yalikuwa ya ushindani kuanzia majumbani, shule ya msingi niliyosoma mpaka sekondari, tulikuwa tunashindana kweli kuanzia darasani mpaka kwenye viwanja vya michezo. Nilipobahatika kwenda nje ya Tanzania nako nikakuta ushindani kuanzia darasani, viwanjani na mpaka kazini na kwenye biashara. Niliamini na nnaamini mpaka leo hii, kuwa na ushindani mwema kunaleta maendeleo. Ni bahati mbaya kwenye siasa za Tanzania ushindani umeitwa "upinzani".

Nani leo hii Tanzania aliyekuwepo kabla ya upinzani (tulipokuwa na chama kimoja) na baada ya kuruhusiwa "upinzani" (vyama vingi) ambae atakataa kuwa tumepiga hatua kubwa na ndefu zaidi baada ya kuruhusiwa upinzani.

Nakubaliana na Tundu Lissu anaposema kuna "nguvu kubwa" nyuma ya shambulio lake. Najiuliza, nguvu hizo ni za kisiasa? Kiserikali? Kibiashara? Kidini? Siamini mpaka sasa kama nguvu hizo ni kiserikali ndiyo maana nilifungua uzi huu: Tundu Lissu ni fursa kwa Serikali kuonesha ubora wake - JamiiForums.

Yeyote aliyemshambulia Tundu Lissu ametufanya CCM kuwa kama upinzani.

Naomba Serikali na wote wanaoitakia mema Tanzania wafanye kila njia kuwapata wabaya wetu, maana wametuumiza sana.

Tanzania bila upinzani tutarudi miaka ya foleni za chakula.
kama wakiruhusu chombo huru cha kimataifa kifanye uchunguzi huru juu ya aliye husika na mpango wa kumshambulia Lissue, ccm inaweza kurudisha imani kwa wananchi. lakini nakwambia hilo halita wezekana kwani hakuna mwizi anaye weza kuita police nyumba kwake kuja kupekuwa Mali za wizi.
 
Robert Alai
@RobertAlai

Tundu Lissu's assassination attempted was organised in Tanzania's State House and supervised by Dar Regional Commissioner Paul Makonda....Mnazunguka maporini..huyu mkenya alishamtaja muhusika..
Lissu juzi USA kasema atawataja kwa majinaa maana wanajulikana(wasiojulikana wanajulikana)
 
Rais wa South Korea aliyeondolewa mamlakani Park Geun-hye ameshtakiwa rasmi kuhusiana na kashfa ya rushwa iliyopelekea kung'atuliwa kwake uongozini. Ukanda wa Afica Maraisi wote niwatakatifu?
 
Tuanzie hapa
Nyerere hukumpenda si kwa sababu ya hayo usemayo, ila nyerere hukumpenda kwasababu ni mkatoliki ambaye hakuvumilia ujinga wa dini nyingine hata yake ikiwamo, bahati mbaya mkatumia uelewa usio wa weledi mkidhani amewakomoa waislamu tu, kumbe woote hata wa Luther na wa anglikana tulipata msuko suko,

Pili, Suala la Lissu kushambuliwa ni suala linalochonganya sana, kuna mda nataka kuamini mbowe anahusika lakin nikajiuliza maswali nikaona wenda namtuhumu tu,

Kuna muda nahisi watu wa nyumba nyeupe lakin nikiangalia mazingira ya utakelezaji wa ishu hiyo imefanyika kishamba bila weledi nao pia nawatuhumu baadae nawaacha

Lakin keep in Mind kwamba katika siasa
TRUST NO BODY SUSPECT ANYONE,

Britannica
Umekosea sana, Mkapa alikuwa mkatoliki, kura nyingi alizopata ni za waislamu, kwani walimuona ni mtu fair na hodari. Waliomchukia sana Nyerere ni wansiasa na wajasiri mali ama wafanyi biashara amabo qengi wao walikuwa waislamu.

Baada ya siasa ya ujamaa waislamu wengi wakajikuta hawana ajira na mali zao kupotea. Na mengi zaidi aliyoyafanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh.......

Hata wewe mama FaizaFoxy una ujasiri wa kuandika post hii??

Isije kuwa hii account yako imekuwa hacked??

Hata hivyo tunashukuru kwa jinsi "wachezaji" wa timu pinzani mnavyozidi kuikimbia hiyo timu yenu, kutokana na udhalimu wa hali ya juu unaofanywa na viongozi wa serikali hii!

Nina hakika hatimaye huko CCM atabaki Jiwe na wapambe wachache wakolomije wenzake, waliobaki wote watakuja upinzani!
Huijui CCM ama wanaCCM, utaona muda si muda atawekwa kikao na wazee wa chama na atapewa ukweli na atajirekebisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli kaleta siasa za ajabu sana Tanzania, siasa ambazo kwa tulivyo wastaarabu hatustahili kabisa!!

Mungu atusaidie amalize muda wake kama ni hiyo miaka mitano au kumi aende zake!! Naamini hawa vifata upepo wanaomuunga mkono sasa ili kesho yao iwe murua akili zitawarudi na WATATUBU!!

Wanaoumia ni wengi mno si upinzani wala hao Ccm!! Yaani wale wenye CCM yao kweli, wanaumia mno ila hawana la kufanya kwani nao kwa sasa wamepigwa na butwaa, wanaogopa! Hawakutegemea yanayotokea!!

Mungu saidia huyu shetani aondoke na ustaarabu urudi nchini, tutasameheana tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Gambia's Justice Minister, Abubacarr Tambadou, has revealed that the country's ex-president Yaya Jameh stole $50 million dollars before leaving office.

He says Jameh stole the money via the country's telecoms company.

Jameh fled for exile in Equatorial Guinea in January after 22 years in power.

The court has frozen all Jameh's assets that are still left in the Gambia.
 
Tuanzie hapa
Nyerere hukumpenda si kwa sababu ya hayo usemayo, ila nyerere hukumpenda kwasababu ni mkatoliki ambaye hakuvumilia ujinga wa dini nyingine hata yake ikiwamo, bahati mbaya mkatumia uelewa usio wa weledi mkidhani amewakomoa waislamu tu, kumbe woote hata wa Luther na wa anglikana tulipata msuko suko,

Pili, Suala la Lissu kushambuliwa ni suala linalochonganya sana, kuna mda nataka kuamini mbowe anahusika lakin nikajiuliza maswali nikaona wenda namtuhumu tu,

Kuna muda nahisi watu wa nyumba nyeupe lakin nikiangalia mazingira ya utakelezaji wa ishu hiyo imefanyika kishamba bila weledi nao pia nawatuhumu baadae nawaacha

Lakin keep in Mind kwamba katika siasa
TRUST NO BODY SUSPECT ANYONE,

Britannica
Una akili nyingi Kaka umesema vizuri
 
Umezungumza vizuri sana. Umeonyesha umekemea na kusikitishwa na tukio la shambulizi dhidi ya Lissu, umetamani serikali itegue kitendawili hichi juu ya wahusika lakini ukaingia kwenye mtego m baya wa kuwa very biased.

Wakati Serikali ni moja ya pande inayoshutumiwa kuhusika, wewe unasema huamini kuna mtu ndani ya Ccm/Serikali anaweza kufanya hivyo and so basically pamoja na kiu yako kubwa ya kutaka kujua ukweli kuhusu wahusika wa tukio hili, unayo majibu yako tayari kwamba wahusika sio Serikali. Nachelea kusema kiu yako ni ya kinafki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mchungu.

Tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi kwa waliotaka kumuua ni tukio ambalo sikutarajia maishani mwangu kama nitalishuhudia kwenye siasa za Tanzania.

Sikuamini hapo kabla na mpaka leo hii siamini kama kuna mwana siasa au kiongozi yeyote wa Tanzania anaweza kufikia hatua ya kupanga na kuamuru mauaji ya kutisha (terror) kama yale.

Siamini kama kuna mwendawazimu ndani ya CCM anaweza kubadili neno "siasa" kuwa mauaji.

Nilikuwa sipatani na siasa za Mwalimu Nyerere kwa sababu nyingi tofauti, moja wapo ilikuwa ni hiyo ya kufunga upinzani na kubaki na chama kimoja bila upinzani ambao ungeweza kukosoa na kufungua macho ya Wananchi anapokosea.

Uliporudishwa tena upinzani nilifurahi sana na nikawa nnauhakika 100% sasa Tanzania itaendelea.

Mazingira niliyokulia Dar yalikuwa ya ushindani kuanzia majumbani, shule ya msingi niliyosoma mpaka sekondari, tulikuwa tunashindana kweli kuanzia darasani mpaka kwenye viwanja vya michezo. Nilipobahatika kwenda nje ya Tanzania nako nikakuta ushindani kuanzia darasani, viwanjani na mpaka kazini na kwenye biashara. Niliamini na nnaamini mpaka leo hii, kuwa na ushindani mwema kunaleta maendeleo. Ni bahati mbaya kwenye siasa za Tanzania ushindani umeitwa "upinzani".

Nani leo hii Tanzania aliyekuwepo kabla ya upinzani (tulipokuwa na chama kimoja) na baada ya kuruhusiwa "upinzani" (vyama vingi) ambae atakataa kuwa tumepiga hatua kubwa na ndefu zaidi baada ya kuruhusiwa upinzani.

Nakubaliana na Tundu Lissu anaposema kuna "nguvu kubwa" nyuma ya shambulio lake. Najiuliza, nguvu hizo ni za kisiasa? Kiserikali? Kibiashara? Kidini? Siamini mpaka sasa kama nguvu hizo ni kiserikali ndiyo maana nilifungua uzi huu: Tundu Lissu ni fursa kwa Serikali kuonesha ubora wake - JamiiForums.

Yeyote aliyemshambulia Tundu Lissu ametufanya CCM kuwa kama upinzani.

Naomba Serikali na wote wanaoitakia mema Tanzania wafanye kila njia kuwapata wabaya wetu, maana wametuumiza sana.

Tanzania bila upinzani tutarudi miaka ya foleni za chakula.

Mie nishawahi kukaa na kuwaza sana na kusoma threads mbalimbali JF na Twitter. Nimejikuta tuu naamini yule Jamaa ndo alipanga kumuua Mhe Lissu. Nilisikitika sana maana nilishiriki kumpigia kura yule Ndugu. Inaumiza sana moyoni kujiona kama umeleta janga nyumbani kwako.
 
DR Faiza acha Porojo kama unaimanisha unachokiongea Itisha kura ya kutakua na imani na Jiwe.
 
"Tulipo trace simu yake tulikuta anawasiliana na akina mwanyika, tena anatuma msg nipe document hii, nipe document ile. Tunamuangalia tu, that's a government. Vita ya kiuchumi ni ngumu kuliko vita hizi nyingine. Wanajeshi wanajua dawa ya mtu msaliti ni nin. Huwez ukawa msaliti then uka survive tu."
Mpaka sasa tundu lissu amshukuru mungu kwa ku survive, halikua lengo hilo.
JPM is the exceptional president, nadhani watu bado hawajamuelewa. Ila soon watamuelewa

..."Huwezi ukawa msaliti then uka survive tu"...
Unataka tuamini kuwa hilo tukio lilikuwa na baraka kutoka mamlaka ya juu? Ni huyu Mwanyika aliye ndani kwa tuhuma?
 
Msaliti namba moja ni aliyekuzaa mtu tahira mwenye uwezo mdogo wa kufikiri

Hivi aliyekuzaa wewe tahira nani anahangaika nae

Moja ya watu mnaorudisha maendeleo nyumba ni watu wenye uelewa mdogo kama wewe

Ilitupasa kama Taifa watoto mliozaliwa kwa bahati mbaya muwe na shule zenu maalum
Nchii hii ina watu walioamua hata huyo "jiwe" awe rais, watu hao wapo. Watu hao wapo kuanzia upinzani, CCM, boda boda na hata jeshini. Kila walipo watu na watu hao wapo.

Watu hao wanaweza kujua mbowe aliongea nini jana usiku, watu hao wanaweza kujua JPM ana miradi gani ya siri. Watu hao ndio huamua hatma ya nchi hii changa.

Hawa watu wakiamua kukutoa roho ni kitendo cha dakika 2 tu, Tundu lissu aliingia kwenye 18 zao. Asingeadhibiwa hivi hivi tu, so acha matusi kijana wangu, amka ukanywe chai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuanzie hapa
Nyerere hukumpenda si kwa sababu ya hayo usemayo, ila nyerere hukumpenda kwasababu ni mkatoliki ambaye hakuvumilia ujinga wa dini nyingine hata yake ikiwamo, bahati mbaya mkatumia uelewa usio wa weledi mkidhani amewakomoa waislamu tu, kumbe woote hata wa Luther na wa anglikana tulipata msuko suko,

Pili, Suala la Lissu kushambuliwa ni suala linalochonganya sana, kuna mda nataka kuamini mbowe anahusika lakin nikajiuliza maswali nikaona wenda namtuhumu tu,

Kuna muda nahisi watu wa nyumba nyeupe lakin nikiangalia mazingira ya utakelezaji wa ishu hiyo imefanyika kishamba bila weledi nao pia nawatuhumu baadae nawaacha

Lakin keep in Mind kwamba katika siasa
TRUST NO BODY SUSPECT ANYONE,

Britannica

Fikiri. Kuwe na “hint” tu kuwa Mbowe amehusika halafu awe huru hadi kusubiri kubambikiziwa kesi ya mauaji ya Akwilina? Kwenye awamu hii yenye visirani?

Halafu, ni kweli kuwa shambulio la Lissu lilifanyika kishamba sana. Leo hili inajulikana pia kuwa waliotumika kulipanga na kulitekeleza ni “watoto wa mjini” wenye sauti kubwa sana huko ikulu kiasi cha kuachiwa kuchezea usalama wa taifa wanavyotaka! Not professionals at all. Kuna mdau hapa aliwaita hao jamaa “political scavengers”. Kama mmeamua kuendelea kulibeba hilo zigo kwa visingizio vya “kwenda na kasi mpya” na “hapa kazi tu” basi kazi kwenu!
 
Tuanzie hapa
Nyerere hukumpenda si kwa sababu ya hayo usemayo, ila nyerere hukumpenda kwasababu ni mkatoliki ambaye hakuvumilia ujinga wa dini nyingine hata yake ikiwamo, bahati mbaya mkatumia uelewa usio wa weledi mkidhani amewakomoa waislamu tu, kumbe woote hata wa Luther na wa anglikana tulipata msuko suko,

Pili, Suala la Lissu kushambuliwa ni suala linalochonganya sana, kuna mda nataka kuamini mbowe anahusika lakin nikajiuliza maswali nikaona wenda namtuhumu tu,

Kuna muda nahisi watu wa nyumba nyeupe lakin nikiangalia mazingira ya utekelezaji wa ishu hiyo imefanyika kishamba bila weledi nao pia nawatuhumu baadae nawaacha

Lakin keep in Mind kwamba katika siasa
TRUST NO BODY SUSPECT ANYONE,

Britannica
hii ya nyumba nyeupe pia hainiingii akilini kwa kuangalia maneno aloyasema mzee siku ya tukio, hawezi kua alikua anajua kinachoendelea kisha akaongea maneno ambayo yanamu incriminate moja kwa moja kwenye tukio, asingeweza kua mjinga kiasi hiko lakini pia timing ya tukio lenyewe,, hawezi kamwe kuamua kumuua kwasababu tu ya hasira alokua nayo juu yake ila tu kama kwa vipimo vyao tundu alikua amevuka mipaka na ameanza kutishia usalama wa nchi, naamini kabisa hakua amefikia huko na hata ingekua hivyo bado kulikua na njia milioni za kumnyamazisha, asingeweza kutoa order ya kumuua katika kipindi kile kile alichokua ana enjoy umaarufu mkubwa alokua amejipatia kwa kudeal na makinikia kwasababu hiyo ilibadilisha vichwa vya habari vya magazeti yote.
 
Back
Top Bottom