Tundu Lissu Katugeuza kuwa Wapinzani

Ukweli mchungu.

Tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi kwa waliotaka kumuua ni tukio ambalo sikutarajia maishani mwangu kama nitalishuhudia kwenye siasa za Tanzania.

Sikuamini hapo kabla na mpaka leo hii siamini kama kuna mwana siasa au kiongozi yeyote wa Tanzania anaweza kufikia hatua ya kupanga na kuamuru mauaji ya kutisha (terror) kama yale.

Siamini kama kuna mwendawazimu ndani ya CCM anaweza kubadili neno "siasa" kuwa mauaji.

Nilikuwa sipatani na siasa za Mwalimu Nyerere kwa sababu nyingi tofauti, moja wapo ilikuwa ni hiyo ya kufunga upinzani na kubaki na chama kimoja bila upinzani ambao ungeweza kukosoa na kufungua macho ya Wananchi anapokosea.

Uliporudishwa tena upinzani nilifurahi sana na nikawa nnauhakika 100% sasa Tanzania itaendelea.

Mazingira niliyokulia Dar yalikuwa ya ushindani kuanzia majumbani, shule ya msingi niliyosoma mpaka sekondari, tulikuwa tunashindana kweli kuanzia darasani mpaka kwenye viwanja vya michezo. Nilipobahatika kwenda nje ya Tanzania nako nikakuta ushindani kuanzia darasani, viwanjani na mpaka kazini na kwenye biashara. Niliamini na nnaamini mpaka leo hii, kuwa na ushindani mwema kunaleta maendeleo. Ni bahati mbaya kwenye siasa za Tanzania ushindani umeitwa "upinzani".

Nani leo hii Tanzania aliyekuwepo kabla ya upinzani (tulipokuwa na chama kimoja) na baada ya kuruhusiwa "upinzani" (vyama vingi) ambae atakataa kuwa tumepiga hatua kubwa na ndefu zaidi baada ya kuruhusiwa upinzani.

Nakubaliana na Tundu Lissu anaposema kuna "nguvu kubwa" nyuma ya shambulio lake. Najiuliza, nguvu hizo ni za kisiasa? Kiserikali? Kibiashara? Kidini? Siamini mpaka sasa kama nguvu hizo ni kiserikali ndiyo maana nilifungua uzi huu: Tundu Lissu ni fursa kwa Serikali kuonesha ubora wake - JamiiForums.

Yeyote aliyemshambulia Tundu Lissu ametufanya CCM kuwa kama upinzani.

Naomba Serikali na wote wanaoitakia mema Tanzania wafanye kila njia kuwapata wabaya wetu, maana wametuumiza sana.

Tanzania bila upinzani tutarudi miaka ya foleni za chakula.
Always will be my hero kwenye post kama hii umenikuna hadi mgongoni pasipo hata kufikia ukatumia kijiti big up mamy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahi sana kutambua kuwa kumbe tupo ccm ambao hatukushabikia upuuzi huu wa kumtandika mtu risasi 38. It was too much. nadhani alijua wazi kuwa zile 2 tu za kwenye kioo zilimmaliza Lissu. Iweje uue hadi maiti?? Hizo nyingine 36 inamaana alikuwa anamuua maiti.
Back to the point. Tukuombe uiombe serekali kuyajibu maswali ya Lissu na iyajibu kisayansi sio kimabavu ili tu kuisafisha na kukisafisha chama chetu pendwa ccm.
 
FaizaFoxy ,

..unasema ulikuwa huungi mkono mfumo wa chama kimoja.

..sasa ilikuaje ukawa mwanachama au mshabiki wa ccm?

..mimi nilitegemea mtu asiyependa chama kimoja, angeelekeza nguvu, mapenzi, na ushabiki, kwa vyama vya upinzani.

..hiyo ingesaidia kuvikuza na kuviimarisha vyama vya upinzani, na hivyo kuwezesha kuwa na mfumo imara wa siasa za ushindani nchini.

..Ila naomba nikubaliane na wewe, kwamba sikutegemea hata siku yaliyomtokea TL yatokee ktk siasa za Tz.

..Hata kama serekali na ccm hawakumtenda, naamini walitengeneza mazingira yaliyowezesha TL kutendewa unyama ule.

..CCM walianza kumuita msaliti na majina mengine mabaya. Bungeni tulishuhudia wabunge wa CCM wakiwa wameandaliwa kumshambulia na kumkejeli TL.

..Kwana mtizamo wangu hicho ndicho chanzo, au utangulizi uliosababisha TL kuwa target ya shambulizi la kigaidi.
 
Ukweli mchungu.

Tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi kwa waliotaka kumuua ni tukio ambalo sikutarajia maishani mwangu kama nitalishuhudia kwenye siasa za Tanzania.

Sikuamini hapo kabla na mpaka leo hii siamini kama kuna mwana siasa au kiongozi yeyote wa Tanzania anaweza kufikia hatua ya kupanga na kuamuru mauaji ya kutisha (terror) kama yale.

Siamini kama kuna mwendawazimu ndani ya CCM anaweza kubadili neno "siasa" kuwa mauaji.

Nilikuwa sipatani na siasa za Mwalimu Nyerere kwa sababu nyingi tofauti, moja wapo ilikuwa ni hiyo ya kufunga upinzani na kubaki na chama kimoja bila upinzani ambao ungeweza kukosoa na kufungua macho ya Wananchi anapokosea.

Uliporudishwa tena upinzani nilifurahi sana na nikawa nnauhakika 100% sasa Tanzania itaendelea.

Mazingira niliyokulia Dar yalikuwa ya ushindani kuanzia majumbani, shule ya msingi niliyosoma mpaka sekondari, tulikuwa tunashindana kweli kuanzia darasani mpaka kwenye viwanja vya michezo. Nilipobahatika kwenda nje ya Tanzania nako nikakuta ushindani kuanzia darasani, viwanjani na mpaka kazini na kwenye biashara. Niliamini na nnaamini mpaka leo hii, kuwa na ushindani mwema kunaleta maendeleo. Ni bahati mbaya kwenye siasa za Tanzania ushindani umeitwa "upinzani".

Nani leo hii Tanzania aliyekuwepo kabla ya upinzani (tulipokuwa na chama kimoja) na baada ya kuruhusiwa "upinzani" (vyama vingi) ambae atakataa kuwa tumepiga hatua kubwa na ndefu zaidi baada ya kuruhusiwa upinzani.

Nakubaliana na Tundu Lissu anaposema kuna "nguvu kubwa" nyuma ya shambulio lake. Najiuliza, nguvu hizo ni za kisiasa? Kiserikali? Kibiashara? Kidini? Siamini mpaka sasa kama nguvu hizo ni kiserikali ndiyo maana nilifungua uzi huu: Tundu Lissu ni fursa kwa Serikali kuonesha ubora wake - JamiiForums.

Yeyote aliyemshambulia Tundu Lissu ametufanya CCM kuwa kama upinzani.

Naomba Serikali na wote wanaoitakia mema Tanzania wafanye kila njia kuwapata wabaya wetu, maana wametuumiza sana.

Tanzania bila upinzani tutarudi miaka ya foleni za chakula.
Watu incompetent wakishapewa madaraka,watafanya lolote liwe zuri au baya kujustify uwepo wao.hivyo ccm mnavyosajiri watu wengi walioshindwa maisha_ yaani watu wasio na option nyingine zaidi ya huruma ya ccm.ndivyo chama kinavyogeuka toka kuwa chama cha siasa na kuwa kikundi cha kigaidi.Hapa mlipo ni mwanzo tu.Huko mbele hamtakuwa tofauti na Hamas au alshababy
 
Kifupi ni kwamba, siasa zetu hivi sasa ni upumbavu uliovuka mipaka,na yeyote anayeshabikia siasa hizi ni mpumbavu vile vile,awe upande wa chama tawala au upinzani,hakuna mwenye faida.na sumu kubwa katika hii nchi ni hawa wafuasi/washabiki wa vyama vya siasa.naamini kabisa,aina za siasa zinazofanywa katika nchi zetu hizi za dunia ya tatu sio sahihi kwa wakati huu!!
Mkuu ukitaka kupoteza maana ya post zako ni hapo unapo generalize badala ya kuwa specific. Huo ni woga. Humsaidii yeyote.
 
Dawa ni kuwaleta wachunguzi wa nje.
Swali najiuliza, kwanini CCM hawataki waje wachunguzi wa nje kufanya uchunguzi huru na wa haki?
Tuanzie hapa
Nyerere hukumpenda si kwa sababu ya hayo usemayo, ila nyerere hukumpenda kwasababu ni mkatoliki ambaye hakuvumilia ujinga wa dini nyingine hata yake ikiwamo, bahati mbaya mkatumia uelewa usio wa weledi mkidhani amewakomoa waislamu tu, kumbe woote hata wa Luther na wa anglikana tulipata msuko suko,

Pili, Suala la Lissu kushambuliwa ni suala linalochonganya sana, kuna mda nataka kuamini mbowe anahusika lakin nikajiuliza maswali nikaona wenda namtuhumu tu,

Kuna muda nahisi watu wa nyumba nyeupe lakin nikiangalia mazingira ya utakelezaji wa ishu hiyo imefanyika kishamba bila weledi nao pia nawatuhumu baadae nawaacha

Lakin keep in Mind kwamba katika siasa
TRUST NO BODY SUSPECT ANYONE,

Britannica
 
Jibu kama nilivyokuuliza we mdini na opportunist.

Sent using Jamii Forums mobile app
Saana tu. huyu alimtetea sana Kikwete wakati kina ulimboka wakiteswa na Mvungi kuuawa. Anajulikana ni mdini. Hapa anataka kuzoa wafuasi wa chadema ambao kiaina ni sawa wakaitwa Nyumbu maana hua hawajui kuutambua mtego ukiwasifia tu wanakukaribisha katika jumuiya yao ya NYUMBU.
 
Ukweli mchungu.

Tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi kwa waliotaka kumuua ni tukio ambalo sikutarajia maishani mwangu kama nitalishuhudia kwenye siasa za Tanzania.

Sikuamini hapo kabla na mpaka leo hii siamini kama kuna mwana siasa au kiongozi yeyote wa Tanzania anaweza kufikia hatua ya kupanga na kuamuru mauaji ya kutisha (terror) kama yale.

Siamini kama kuna mwendawazimu ndani ya CCM anaweza kubadili neno "siasa" kuwa mauaji.

Nilikuwa sipatani na siasa za Mwalimu Nyerere kwa sababu nyingi tofauti, moja wapo ilikuwa ni hiyo ya kufunga upinzani na kubaki na chama kimoja bila upinzani ambao ungeweza kukosoa na kufungua macho ya Wananchi anapokosea.

Uliporudishwa tena upinzani nilifurahi sana na nikawa nnauhakika 100% sasa Tanzania itaendelea.

Mazingira niliyokulia Dar yalikuwa ya ushindani kuanzia majumbani, shule ya msingi niliyosoma mpaka sekondari, tulikuwa tunashindana kweli kuanzia darasani mpaka kwenye viwanja vya michezo. Nilipobahatika kwenda nje ya Tanzania nako nikakuta ushindani kuanzia darasani, viwanjani na mpaka kazini na kwenye biashara. Niliamini na nnaamini mpaka leo hii, kuwa na ushindani mwema kunaleta maendeleo. Ni bahati mbaya kwenye siasa za Tanzania ushindani umeitwa "upinzani".

Nani leo hii Tanzania aliyekuwepo kabla ya upinzani (tulipokuwa na chama kimoja) na baada ya kuruhusiwa "upinzani" (vyama vingi) ambae atakataa kuwa tumepiga hatua kubwa na ndefu zaidi baada ya kuruhusiwa upinzani.

Nakubaliana na Tundu Lissu anaposema kuna "nguvu kubwa" nyuma ya shambulio lake. Najiuliza, nguvu hizo ni za kisiasa? Kiserikali? Kibiashara? Kidini? Siamini mpaka sasa kama nguvu hizo ni kiserikali ndiyo maana nilifungua uzi huu: Tundu Lissu ni fursa kwa Serikali kuonesha ubora wake - JamiiForums.

Yeyote aliyemshambulia Tundu Lissu ametufanya CCM kuwa kama upinzani.

Naomba Serikali na wote wanaoitakia mema Tanzania wafanye kila njia kuwapata wabaya wetu, maana wametuumiza sana.

Tanzania bila upinzani tutarudi miaka ya foleni za chakula.
Je, ukweli utakapojulikana nani mhusika na shambulio hilo, na kwa vyovyote ukweli utatoka, je, tutakuwa na mjadala gani?

Naliuliza hilo swali ili kuendeleza hoja zako shangazi kwa kuwa tumekubali kula matango pori kuwa Serikali inahusika na shambulio hilo. Kwamba Lissu amepigwa risasi kwa sababu za kisiasa.

Lakini mazingira ya shambulio hilo na nguvu za Serikali, akili ya kawaida haiwezi kukubali kuwa Lissu alitaka kuuawa na Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli kaleta siasa za ajabu sana Tanzania, siasa ambazo kwa tulivyo wastaarabu hatustahili kabisa!!

Mungu atusaidie amalize muda wake kama ni hiyo miaka mitano au kumi aende zake!! Naamini hawa vifata upepo wanaomuunga mkono sasa ili kesho yao iwe murua akili zitawarudi na WATATUBU!!

Wanaoumia ni wengi mno si upinzani wala hao Ccm!! Yaani wale wenye CCM yao kweli, wanaumia mno ila hawana la kufanya kwani nao kwa sasa wamepigwa na butwaa, wanaogopa! Hawakutegemea yanayotokea!!

Mungu saidia huyu shetani aondoke na ustaarabu urudi nchini, tutasameheana tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahisi ni nani aliamuru polisi wasiwe lindoni siku ya shambulio? Pako guarded 24/7, sasa ile ilikuwa ni coincidence au mpango ulioratibiwa kwaajili ya kuwaondoa ambao wangekuwa eyewitnesses? Je nani alikuwa na jeuri ya kung'oa CCTV cameras after that deadly attack?
Vipi kuhusu kutumia vyombo vya upelelezi vya kimataifa(credible & reliable) vyenye uzoefu kwani kama ni kweli utawala hauusiki kwa namna yoyote basi itakuwa ni njia simple sana ya kujisafisha kwani kadri muda unavyozidi kusonga wanaoamini ya kuwa ulikuwa ni mpango wa serikali wanazidi kuongezeka.

Wenzio ni kina nani??

Mbowe Nina mashaka nae sana, ni mchagga anaeweza kuuza hata utu wake kwa pesa.

Kwani tumesahau mnayoyaongea ya Wangwe, Zitto, Slaa?

Tunafahamu kuwa hata Lowassa ni mpango wake.

Tundu Lissu baada ya kuulizwa kama atagombea urais alipojibu do you think "I took 16 bullets for nothing?" Ina maana pana sana.
 
Tuanzie hapa
Nyerere hukumpenda si kwa sababu ya hayo usemayo, ila nyerere hukumpenda kwasababu ni mkatoliki ambaye hakuvumilia ujinga wa dini nyingine hata yake ikiwamo, bahati mbaya mkatumia uelewa usio wa weledi mkidhani amewakomoa waislamu tu, kumbe woote hata wa Luther na wa anglikana tulipata msuko suko,

Pili, Suala la Lissu kushambuliwa ni suala linalochonganya sana, kuna mda nataka kuamini mbowe anahusika lakin nikajiuliza maswali nikaona wenda namtuhumu tu,

Kuna muda nahisi watu wa nyumba nyeupe lakin nikiangalia mazingira ya utakelezaji wa ishu hiyo imefanyika kishamba bila weledi nao pia nawatuhumu baadae nawaacha

Lakin keep in Mind kwamba katika siasa
TRUST NO BODY SUSPECT ANYONE,

Britannica
Ila mkuu kiusalama, kiupelelezi, 95% inaangukia kwa nyumba nyeupe kuhusika.
Wanasema shahidi wa muhimu amekimbia kesi, ILA;
1. OCD wa Dodoma yupo na hatujasikia akihojiwa kwa nini hakupanga walinzi lindoni siku ya shambulizi au kwa nini aliondoa walinzi eneo la lindo MUHIMU, vipi iwapo angepigwa Naibu Spika siku hiyo na ikagundulika hakukuwa na walinzi kama inavyotakiwa he RPC, OC-CID, OCD na hata RSO na DSO wasingekuwa watuhumiwa wa kwanza kwa uzembe?
2. Mbowe ana nguvu ya kung'oa kamera za usalama eneo la serikali linalolindwa muda wote na serikali isihoji zilikopotelea kamera zake?

AMANI NI TUNDA LA HAKI, naamini huyu Mkristo mwenzetu hapo uongozini anajutia kuwapo, uongozi wake umekuwa na dosari za wazi mno hasa chuki na kiburi.
 
Sahihi UISLAM UMEKAMILIKA ILA WAISLAAM WANA MADHAIFU MAKUBWA MNO.na ndio maana baadhi yao wanatumika katika uovu kama kuua n.k mfano AL SHABAAB, na mfano wake.
Hawajui kuwa kuua nafsi moja isiyo katika hukumu ya kuuawa ni sawa na umeua walimwengu wote.
Tatizo ni ujinga, na UJINGA NDIO CHANZO CHA KILA UOVU.
 
Hapana, si kweli.

Ikifikia hatua hiyo na kama ni kweli itakuwa Tundu Lissu kafanya uhai ni mkubwa wa kuwa terminated kwa njia yoyote ile. Lakini mpaka sasa naamini kuna "nguvu kubwa" (kwa maneno ya Lissu). Kumbuja, Lissu Naamini kama Rais ni nguvu kubwa na daima anakuwa akimwita "dikteta uchwara".

Sijasikia safari hii (toka aanze kuongea baada ya kujeruhiwa) akitoa kauli hiyo.
Sasa wewe kwa akili yako hiyo 'nguvu kubwa' inatoka wapi??
Ni 'nguvu kubwa' ipi iliyoweza kuondoa ulinzi kwenye makazi ya wabunge na mawaziri ambayo yana ulinzi 24/7 na asiwajibishwe??
Usijitoe ufahamu.
 
Serikali ijibu nini kwa mgonjwa?
Aiseeeee.... Samahani, sitaki kuuliza tena maana tutapindua huu uzi kwasababu nina uhakika unajua ni wangapi randomly chamani wamejaribu kujibu kwa kukejeli achilia mbali aibu alizozivaa balozi hivi majuzi.
Kama chama na serikali kinataka kuja safi kwenye hili, wafanye vivid counter... Wekeni watu nguvuni, ila kuendelea kumkejeli mgonjwa kwa maneno ya khanga basi hatuna hiyana kuona nyie ndio wahusika wakuu!

Balozi aibu? Ulikuwa una sikiliza upande mmoja.

Hata ndani ya JF kila mmoja na hoja yake. Mimi nnaamini Tundu Lissu hakutaka kuuliwa kwa bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom