Tundu Lissu Katugeuza kuwa Wapinzani

Ukweli mchungu.

Tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi kwa waliotaka kumuua ni tukio ambalo sikutarajia maishani mwangu kama nitalishuhudia kwenye siasa za Tanzania.

Sikuamini hapo kabla na mpaka leo hii siamini kama kuna mwana siasa au kiongozi yeyote wa Tanzania anaweza kufikia hatua ya kupanga na kuamuru mauaji ya kutisha (terror) kama yale.

Siamini kama kuna mwendawazimu ndani ya CCM anaweza kubadili neno "siasa" kuwa mauaji.

Nilikuwa sipatani na siasa za Mwalimu Nyerere kwa sababu nyingi tofauti, moja wapo ilikuwa ni hiyo ya kufunga upinzani na kubaki na chama kimoja bila upinzani ambao ungeweza kukosoa na kufungua macho ya Wananchi anapokosea.

Uliporudishwa tena upinzani nilifurahi sana na nikawa nnauhakika 100% sasa Tanzania itaendelea.

Mazingira niliyokulia Dar yalikuwa ya ushindani kuanzia majumbani, shule ya msingi niliyosoma mpaka sekondari, tulikuwa tunashindana kweli kuanzia darasani mpaka kwenye viwanja vya michezo. Nilipobahatika kwenda nje ya Tanzania nako nikakuta ushindani kuanzia darasani, viwanjani na mpaka kazini na kwenye biashara. Niliamini na nnaamini mpaka leo hii, kuwa na ushindani mwema kunaleta maendeleo. Ni bahati mbaya kwenye siasa za Tanzania ushindani umeitwa "upinzani".

Nani leo hii Tanzania aliyekuwepo kabla ya upinzani (tulipokuwa na chama kimoja) na baada ya kuruhusiwa "upinzani" (vyama vingi) ambae atakataa kuwa tumepiga hatua kubwa na ndefu zaidi baada ya kuruhusiwa upinzani.

Nakubaliana na Tundu Lissu anaposema kuna "nguvu kubwa" nyuma ya shambulio lake. Najiuliza, nguvu hizo ni za kisiasa? Kiserikali? Kibiashara? Kidini? Siamini mpaka sasa kama nguvu hizo ni kiserikali ndiyo maana nilifungua uzi huu: Tundu Lissu ni fursa kwa Serikali kuonesha ubora wake - JamiiForums.

Yeyote aliyemshambulia Tundu Lissu ametufanya CCM kuwa kama upinzani.

Naomba Serikali na wote wanaoitakia mema Tanzania wafanye kila njia kuwapata wabaya wetu, maana wametuumiza sana.

Tanzania bila upinzani tutarudi miaka ya foleni za chakula.
Enzi ya maduka ya kaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faiza anaongea haya?
Kweli dunia ina maajabu yake!
Ulicho ongea ni kweli tupu,Lissu 'atapata sana aibu"kama serikali itawafikisha Mahakamani walio mshambulia kisha kujulikana wala hawa husiani na serikali
Lkn kw asasa Lissu ana point kubwa ya kuishuku serikali sabau haijaonyesha nguvu zozote za kumsaka mtesi wake
 
Tatizo kubwa nilionalo siyo nani kafanya (kwa sababu limeshafanyika), kwanini kafanya? (Motive).

Kuna uzi nilifungua ambao ndani ya uzi huo kuna nukuu za wana JF waliosema: Kilichomponza Tundu Lissu ni maneno haya aliyoandika JamiiForums... - JamiiForums.

Jee, hiyo ndiyo sababu? Au Tundu Lissu ni msaliti? Au, au, au...
 
"Ni bahati mbaya kwenye siasa za Tanzania ushindani umeitwa "upinzani".
Nimeipenda hii!
Lakini ni wazi kuwa mtu mweye nguvu nyingi inawezekana kiuchumi, kijeshi, kimamlaka, au kisiasa aliamuru jambo hili. haikuwa ujambazi!
Aliyempiga risasi Tundu Lissu ANAFAHAMIKA ila kwa kuwa wabongo wengi NJAA KALI na tunapenda kuishi KINAFIKINAFIKI, kila anayejaribu kuelezea tukio hili kwa kuwa ni UKATILI wa MTU MZITO, Basi ANAZUNGUKA ZUNGUKA anajaribu kuonesha mtu mzito hahusiki na vijisababu kibao vya kijinga ilmradi wamtoe MUUAJI HALISI.

- MADARAKA YAMENUNUA UTAKATIFU, Mungu atajua.
 
Islam is above humanity.

Faizer za siku nyingi? Huwa najiuliza kati ya Bible na Quran kipi kilikuwepo kabla? Jibu ni Biblia. Sasa stories kadhaa za Quran ziko kwente Bible, sasa huwa tens najiuliza je Mungu alifanya plagiarism? Kama kweli ndo alieshusha stories zaquran?
Faizer usiwe na hasara pitia hii mantiki
 
Back
Top Bottom