Tundu Lissu Katugeuza kuwa Wapinzani

FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
62,427
Likes
31,441
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
62,427 31,441 280
Ukweli mchungu.

Tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi kwa waliotaka kumuua ni tukio ambalo sikutarajia maishani mwangu kama nitalishuhudia kwenye siasa za Tanzania.

Sikuamini hapo kabla na mpaka leo hii siamini kama kuna mwana siasa au kiongozi yeyote wa Tanzania anaweza kufikia hatua ya kupanga na kuamuru mauaji ya kutisha (terror) kama yale.

Siamini kama kuna mwendawazimu ndani ya CCM anaweza kubadili neno "siasa" kuwa mauaji.

Nilikuwa sipatani na siasa za Mwalimu Nyerere kwa sababu nyingi tofauti, moja wapo ilikuwa ni hiyo ya kufunga upinzani na kubaki na chama kimoja bila upinzani ambao ungeweza kukosoa na kufungua macho ya Wananchi anapokosea.

Uliporudishwa tena upinzani nilifurahi sana na nikawa nnauhakika 100% sasa Tanzania itaendelea.

Mazingira niliyokulia Dar yalikuwa ya ushindani kuanzia majumbani, shule ya msingi niliyosoma mpaka sekondari, tulikuwa tunashindana kweli kuanzia darasani mpaka kwenye viwanja vya michezo. Nilipobahatika kwenda nje ya Tanzania nako nikakuta ushindani kuanzia darasani, viwanjani na mpaka kazini na kwenye biashara. Niliamini na nnaamini mpaka leo hii, kuwa na ushindani mwema kunaleta maendeleo. Ni bahati mbaya kwenye siasa za Tanzania ushindani umeitwa "upinzani".

Nani leo hii Tanzania aliyekuwepo kabla ya upinzani (tulipokuwa na chama kimoja) na baada ya kuruhusiwa "upinzani" (vyama vingi) ambae atakataa kuwa tumepiga hatua kubwa na ndefu zaidi baada ya kuruhusiwa upinzani.

Nakubaliana na Tundu Lissu anaposema kuna "nguvu kubwa" nyuma ya shambulio lake. Najiuliza, nguvu hizo ni za kisiasa? Kiserikali? Kibiashara? Kidini? Siamini mpaka sasa kama nguvu hizo ni kiserikali ndiyo maana nilifungua uzi huu: Tundu Lissu ni fursa kwa Serikali kuonesha ubora wake - JamiiForums.

Yeyote aliyemshambulia Tundu Lissu ametufanya CCM kuwa kama upinzani.

Naomba Serikali na wote wanaoitakia mema Tanzania wafanye kila njia kuwapata wabaya wetu, maana wametuumiza sana.

Tanzania bila upinzani tutarudi miaka ya foleni za chakula.
 
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
1,526
Likes
1,917
Points
280
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
1,526 1,917 280
Anaweza kuwa na sababu za ziada za kumchukia Nyerere, lakin sababu ya kumpenda kamwe haipo kwani hawezi Muislam Mu'umin akampenda Kaafir kama yule na anaofanana nao. Kwahiyo upo sahihi na tumetahadharishwa juu ya kuwapenda Makafiri.
Ila waweza kutoidhihirisha chuki ikiwa Unahifia shari zake,.

لَا يَتَّخِذِ الْمُؤْمِنُونَ الْكَافِرِينَ أَوْلِيَاءَ مِنْ دُونِ الْمُؤْمِنِينَ ۖ وَمَنْ يَفْعَلْ ذَٰلِكَ فَلَيْسَ مِنَ اللَّهِ فِي شَيْءٍ إِلَّا أَنْ تَتَّقُوا مِنْهُمْ تُقَاةً ۗ وَيُحَذِّرُكُمُ اللَّهُ نَفْسَهُ ۗ وَإِلَى اللَّهِ الْمَصِيرُ

Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Mola Mlezi. Ila ikiwa kwa ajili ya kujilinda na shari zao. Na Mola wenu Mlezi anakuhadharisheni naye. Na marejeo ni kwa Mola wenu mlezi.

Qur'an 3: 28.
Jameni.
Ni kweli kuna maneno kama haya hapa kwenye kitabu hicho! Ni kweli?
 
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
1,526
Likes
1,917
Points
280
K

Kalamu1

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
1,526 1,917 280
Hapa ndipo umeharibu Uzi wako....,this is a zero Brain

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo anayoweza kuyaficha binaadam na akafanikiwa kuyaficha yasifahamike. Tabia ya mtu ni nadra sana kuificha kwa mafanikio. Itajitokeza tu yenyewe bila ya mhusika kutambua kuwa anayafunua aliyonuia yawe siri.
 
PumziNdefu

PumziNdefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2018
Messages
357
Likes
684
Points
180
PumziNdefu

PumziNdefu

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2018
357 684 180
Hapana, si kweli.

Ikifikia hatua hiyo na kama ni kweli itakuwa Tundu Lissu kafanya uhai ni mkubwa wa kuwa terminated kwa njia yoyote ile. Lakini mpaka sasa naamini kuna "nguvu kubwa" (kwa maneno ya Lissu). Kumbuja, Lissu Naamini kama Rais ni nguvu kubwa na daima anakuwa akimwita "dikteta uchwara".

Sijasikia safari hii (toka aanze kuongea baada ya kujeruhiwa) akitoa kauli hiyo.
Sasa wewe kwa akili yako hiyo 'nguvu kubwa' inatoka wapi??
Ni 'nguvu kubwa' ipi iliyoweza kuondoa ulinzi kwenye makazi ya wabunge na mawaziri ambayo yana ulinzi 24/7 na asiwajibishwe??
Usijitoe ufahamu.
 
F

Froida

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
8,409
Likes
1,712
Points
280
F

Froida

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
8,409 1,712 280
Tuanzie hapa
Nyerere hukumpenda si kwa sababu ya hayo usemayo, ila nyerere hukumpenda kwasababu ni mkatoliki ambaye hakuvumilia ujinga wa dini nyingine hata yake ikiwamo, bahati mbaya mkatumia uelewa usio wa weledi mkidhani amewakomoa waislamu tu, kumbe woote hata wa Luther na wa anglikana tulipata msuko suko,

Pili, Suala la Lissu kushambuliwa ni suala linalochonganya sana, kuna mda nataka kuamini mbowe anahusika lakin nikajiuliza maswali nikaona wenda namtuhumu tu,

Kuna muda nahisi watu wa nyumba nyeupe lakin nikiangalia mazingira ya utakelezaji wa ishu hiyo imefanyika kishamba bila weledi nao pia nawatuhumu baadae nawaacha

Lakin keep in Mind kwamba katika siasa
TRUST NO BODY SUSPECT ANYONE,

Britannica
Makonda na magufuli wapo uchi
 
4G LTE

4G LTE

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2015
Messages
4,137
Likes
5,567
Points
280
4G LTE

4G LTE

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2015
4,137 5,567 280
Serikali ijibu nini kwa mgonjwa?
Aiseeeee.... Samahani, sitaki kuuliza tena maana tutapindua huu uzi kwasababu nina uhakika unajua ni wangapi randomly chamani wamejaribu kujibu kwa kukejeli achilia mbali aibu alizozivaa balozi hivi majuzi.
Kama chama na serikali kinataka kuja safi kwenye hili, wafanye vivid counter... Wekeni watu nguvuni, ila kuendelea kumkejeli mgonjwa kwa maneno ya khanga basi hatuna hiyana kuona nyie ndio wahusika wakuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
62,427
Likes
31,441
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
62,427 31,441 280
Aiseeeee.... Samahani, sitaki kuuliza tena maana tutapindua huu uzi kwasababu nina uhakika unajua ni wangapi randomly chamani wamejaribu kujibu kwa kukejeli achilia mbali aibu alizozivaa balozi hivi majuzi.
Kama chama na serikali kinataka kuja safi kwenye hili, wafanye vivid counter... Wekeni watu nguvuni, ila kuendelea kumkejeli mgonjwa kwa maneno ya khanga basi hatuna hiyana kuona nyie ndio wahusika wakuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Balozi aibu? Ulikuwa una sikiliza upande mmoja.

Hata ndani ya JF kila mmoja na hoja yake. Mimi nnaamini Tundu Lissu hakutaka kuuliwa kwa bahati mbaya.
 
4G LTE

4G LTE

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2015
Messages
4,137
Likes
5,567
Points
280
4G LTE

4G LTE

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2015
4,137 5,567 280
Balozi aibu? Ulikuwa una sikiliza upande mmoja.

Hata ndani ya JF kila mmoja na hoja yake. Mimi nnaamini Tundu Lissu hakutaka kuuliwa kwa bahati mbaya.
Ni aibu nimeishuhudia mimi wakongwe juu wakilaumiana kilichompeleka balozi kujibizana ni nini ilihali hawezi kucontrol emotional zake hadi kushindwa kujibu swali kwanini wapinzani hawakauki korokoroni?

Sitaki kuwa nje ya objective zako. Lissu alionekana kama msaliti kwenye serikali hii hadi amiri jeshi mkuu akasema askari wanajua kazi kwa wasaliti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
3,812
Likes
2,764
Points
280
linguistics

linguistics

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
3,812 2,764 280
Naona umeingia kwenye trap ya lissu kisa tu rais wa sasa ni mkatoliki.

Una hakika gani waliompiga risasi ni mwana ccm? kipindi cha jk alikuwa rais Muslim ulikuwa unasifia kila kitu.

Je Dr Sengondo Mvungi aliuwawa na mwanaccm? Na mateso ya Dr Ulimboka unakumbuka pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unajichanganya?! Hoja yako haina nguvu kwa maana Lisu naye ni Mkatoliki..
 
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Messages
838
Likes
723
Points
180
R

Rogojin The Idiot

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2017
838 723 180
Ukweli mchungu.

Tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi kwa waliotaka kumuua ni tukio ambalo sikutarajia maishani mwangu kama nitalishuhudia kwenye siasa za Tanzania.

Sikuamini hapo kabla na mpaka leo hii siamini kama kuna mwana siasa au kiongozi yeyote wa Tanzania anaweza kufikia hatua ya kupanga na kuamuru mauaji ya kutisha (terror) kama yale.

Siamini kama kuna mwendawazimu ndani ya CCM anaweza kubadili neno "siasa" kuwa mauaji.

Nilikuwa sipatani na siasa za Mwalimu Nyerere kwa sababu nyingi tofauti, moja wapo ilikuwa ni hiyo ya kufunga upinzani na kubaki na chama kimoja bila upinzani ambao ungeweza kukosoa na kufungua macho ya Wananchi anapokosea.

Uliporudishwa tena upinzani nilifurahi sana na nikawa nnauhakika 100% sasa Tanzania itaendelea.

Mazingira niliyokulia Dar yalikuwa ya ushindani kuanzia majumbani, shule ya msingi niliyosoma mpaka sekondari, tulikuwa tunashindana kweli kuanzia darasani mpaka kwenye viwanja vya michezo. Nilipobahatika kwenda nje ya Tanzania nako nikakuta ushindani kuanzia darasani, viwanjani na mpaka kazini na kwenye biashara. Niliamini na nnaamini mpaka leo hii, kuwa na ushindani mwema kunaleta maendeleo. Ni bahati mbaya kwenye siasa za Tanzania ushindani umeitwa "upinzani".

Nani leo hii Tanzania aliyekuwepo kabla ya upinzani (tulipokuwa na chama kimoja) na baada ya kuruhusiwa "upinzani" (vyama vingi) ambae atakataa kuwa tumepiga hatua kubwa na ndefu zaidi baada ya kuruhusiwa upinzani.

Nakubaliana na Tundu Lissu anaposema kuna "nguvu kubwa" nyuma ya shambulio lake. Najiuliza, nguvu hizo ni za kisiasa? Kiserikali? Kibiashara? Kidini? Siamini mpaka sasa kama nguvu hizo ni kiserikali ndiyo maana nilifungua uzi huu: Tundu Lissu ni fursa kwa Serikali kuonesha ubora wake - JamiiForums.

Yeyote aliyemshambulia Tundu Lissu ametufanya CCM kuwa kama upinzani.

Naomba Serikali na wote wanaoitakia mema Tanzania wafanye kila njia kuwapata wabaya wetu, maana wametuumiza sana.

Tanzania bila upinzani tutarudi miaka ya foleni za chakula.
Kazi kweli kweli....tuanze na mabepwande
 
Johnny Impact

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,462
Likes
1,334
Points
280
Johnny Impact

Johnny Impact

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,462 1,334 280
Naukubali sana upinzani mpaka kesho kutwa na upinzani ndiyo umeuzindua ccm ambayo ilikuwa imelala kwenye usingizi mzito. Km hauko ndani ya ccm na ukafanya uhalifu utapatikana tu na watafanya kila namna na kwa mbinu zote utapatikana ila km upo ndani ya ccm na ukafanya uhalifu huwezi kupatikana kwa 100%. Waliompiga risasi Lissu, waliomteka Roma na Waliomteka Ben Saanane mbona hawajapatikana? Mm mpaka kesho kutwa siwezi kuiamini serikali ya ccm100%. Hichi chama hatari sana yaani wakigundua ww ni mpinzani halafu unakuja juu km hawajakuua basi watakupa kesi yyte wakufunge jela maisha. Hapana CCM siyo chama bali ni genge la wahalifu lilojikita kwenye siasa.
 
I

Ikulumaliyawananch

Member
Joined
Mar 14, 2018
Messages
63
Likes
35
Points
25
I

Ikulumaliyawananch

Member
Joined Mar 14, 2018
63 35 25
Ukweli mchungu.

Tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi kwa waliotaka kumuua ni tukio ambalo sikutarajia maishani mwangu kama nitalishuhudia kwenye siasa za Tanzania.

Sikuamini hapo kabla na mpaka leo hii siamini kama kuna mwana siasa au kiongozi yeyote wa Tanzania anaweza kufikia hatua ya kupanga na kuamuru mauaji ya kutisha (terror) kama yale.

Siamini kama kuna mwendawazimu ndani ya CCM anaweza kubadili neno "siasa" kuwa mauaji.

Nilikuwa sipatani na siasa za Mwalimu Nyerere kwa sababu nyingi tofauti, moja wapo ilikuwa ni hiyo ya kufunga upinzani na kubaki na chama kimoja bila upinzani ambao ungeweza kukosoa na kufungua macho ya Wananchi anapokosea.

Uliporudishwa tena upinzani nilifurahi sana na nikawa nnauhakika 100% sasa Tanzania itaendelea.

Mazingira niliyokulia Dar yalikuwa ya ushindani kuanzia majumbani, shule ya msingi niliyosoma mpaka sekondari, tulikuwa tunashindana kweli kuanzia darasani mpaka kwenye viwanja vya michezo. Nilipobahatika kwenda nje ya Tanzania nako nikakuta ushindani kuanzia darasani, viwanjani na mpaka kazini na kwenye biashara. Niliamini na nnaamini mpaka leo hii, kuwa na ushindani mwema kunaleta maendeleo. Ni bahati mbaya kwenye siasa za Tanzania ushindani umeitwa "upinzani".

Nani leo hii Tanzania aliyekuwepo kabla ya upinzani (tulipokuwa na chama kimoja) na baada ya kuruhusiwa "upinzani" (vyama vingi) ambae atakataa kuwa tumepiga hatua kubwa na ndefu zaidi baada ya kuruhusiwa upinzani.

Nakubaliana na Tundu Lissu anaposema kuna "nguvu kubwa" nyuma ya shambulio lake. Najiuliza, nguvu hizo ni za kisiasa? Kiserikali? Kibiashara? Kidini? Siamini mpaka sasa kama nguvu hizo ni kiserikali ndiyo maana nilifungua uzi huu: Tundu Lissu ni fursa kwa Serikali kuonesha ubora wake - JamiiForums.

Yeyote aliyemshambulia Tundu Lissu ametufanya CCM kuwa kama upinzani.

Naomba Serikali na wote wanaoitakia mema Tanzania wafanye kila njia kuwapata wabaya wetu, maana wametuumiza sana.

Tanzania bila upinzani tutarudi miaka ya foleni za chakula.
kama wakiruhusu chombo huru cha kimataifa kifanye uchunguzi huru juu ya aliye husika na mpango wa kumshambulia Lissue, ccm inaweza kurudisha imani kwa wananchi. lakini nakwambia hilo halita wezekana kwani hakuna mwizi anaye weza kuita police nyumba kwake kuja kupekuwa Mali za wizi.
 
Turnkey

Turnkey

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Messages
3,716
Likes
2,294
Points
280
Turnkey

Turnkey

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2013
3,716 2,294 280

Robert Alai
@RobertAlai

Tundu Lissu's assassination attempted was organised in Tanzania's State House and supervised by Dar Regional Commissioner Paul Makonda....Mnazunguka maporini..huyu mkenya alishamtaja muhusika..
Lissu juzi USA kasema atawataja kwa majinaa maana wanajulikana(wasiojulikana wanajulikana)
 
USSR

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Messages
1,859
Likes
1,958
Points
280
Age
28
USSR

USSR

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2015
1,859 1,958 280

Robert Alai
@RobertAlai

Tundu Lissu's assassination attempted was organised in Tanzania's State House and supervised by Dar Regional Commissioner Paul Makonda....Mnazunguka maporini..huyu mkenya alishamtaja muhusika..
Lissu juzi USA kasema atawataja kwa majinaa maana wanajulikana(wasiojulikana wanajulikana)
tangu lisu aseme atawataja hataji ni mpuuzi kumsubiri,chadema mtajana mapema
 
Turnkey

Turnkey

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Messages
3,716
Likes
2,294
Points
280
Turnkey

Turnkey

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2013
3,716 2,294 280
tangu lisu aseme atawataja hataji ni mpuuzi kumsubiri,chadema mtajana mapema
Kiswahili Lugha yako ya ngapi??? Amesema muda ukifika atawataja...Unafikiri Lissu kilaza..anaandaa kesi kuna watu watajutia siku walizozaliwa...
 
Forum statistics

Threads 1,262,487
Members 485,588
Posts 30,123,570