technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Upinzani hasa Tundu Lissu na Chadema umeshinda kwa 100% ajenda zao zote walizozisimamia Leo mama Samia ndio anazifanyia kazi .
Nakumbuka Tundu Lissu alizunguka nchi na kukusanya maelfu ya watu na kuwaambia ukweli juu ya utawala wa Magufuli.
Watu walielewa ila somo halikuwaingia waliokuwa watawala wa utawala wa Hayati Magufuli.
Sasa Mama anawaumbua kwamba ukitaka kutawala vema lazima usimamie kile watu wengi wanachokitaka.
Kuanzia Sera za uchumi
Sera za elimu
Sakata la corona
Swala la Democrasia
Maswala ya TRA
Jinsi ya kuvuta wawekezaji
Uhuru wa vyombo vya habari
Kuongeza mishahara kwa wafanyakazi
Ajira mpya kwa vijana
Hali ya mahakama na binge kuwa hoi
Ukisikiliza hotuba za Lissu wakati anazunguka nchi mwaka Jana ndio utanielewa.
Leo ndio wimbo wa taifa wa chama kile kile kilicho madarakani.
Liwe fundisho kwa watawala wa kiafrika kuwa tunatakiwa kuwa na siasa za hoja sio polojo na publicity kama ilivyokuwa utawala wa Magufuli.
Kwamba Leo waliokejeli hoja za Tundu lissu Leo ndio vipaza sauti wa hoja hizo hizo za Mama samia.
Tujifunze kuweke akiba ya maneno.