Lordita
Member
- May 11, 2017
- 16
- 16
Ndg Tundu Lisu kama kweli una nia njema kwa Tanzania yetu basi katika hili la mchanga wa madini tutapendezezwa kama utashauri kimkakati ni nini serikali ifanye ili mradi maslahi ya tz yalindwe badala ya kulipukalipuka. Kama unao ushauri mzuri wa kisheria ktk hili basi tumia njia nyenyekevu kufika ushauri wako kwa serilikali. Kwani huu ni wakatimu mhimu sana kwa watanzania na pia tanua wigo katika maeneo mengine ambako nchi inatafunwa kw sababu ya mikataba mibovu kama hii ya madini kwani tunaamini maeneo ni mengi sana ambako raslimali za nchi zinapotea.