Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kaongea jambo moja ambalo kila mtu anapaswa kulitafakari na kujiuliza kama ambavyo yeye anajiuliza

Muundo wa Tume ya Uchaguzi ni almost ule ule tangu mwaka 1995. Issue kwamba uchaguzi huu utakuwa/hautakuwa "huru na wa haki" sio jambo jipya. It is a pity wanasiasa wote huwa wanaliibua suala hili miezi michache kabla ya uchaguzi. It seems everybody is in agreement with the status quo na maisha yanasonga
Ni kukosa uelewa kudhani kwamba issue ya tume huru ni concern ya wapinzani.

Hakika nawaambia kila mwanannch mzalendo mwenye kujitambua anatakiwa kushiriki kwa nafasi yake kudai tume huru ya uchaguzi.
 
Ni kukosa uelewa kudhani kwamba issue ya tume huru ni concern ya wapinzani.
Comment imetaja wanasiasa wote na sio wapinzani pekee. Go read again.

Hakika nawaambia kila mwanannch mzalendo mwenye kujitambua anatakiwa kushiriki kwa nafasi yake kudai tume huru ya uchaguzi.
Wewe binafsi kwa nafasi yako umeshiriki vipi na wapi kuidai hiyo tume huru ya uchaguzi?
 
Kabla sijaitizama hiyo Clip ,kwanza kabisa niseme Naungana na Lissu.

Huyu Mwamba Risasi 16, kufutwa ubunge, makesi kibaoo yasokua na kichwa ...

Sasa kama mtanzania wa kawaida kabisa, nikipi nifanye kumpa pole zaidi kuungana na kua tayari .
 
Comment imetaja wanasiasa wote na sio wapinzani pekee. Go read again.

Wewe binafsi kwa nafasi yako umeshiriki vipi na wapi kuidai hiyo tume huru ya uchaguzi?
Natumia elimu yangu kwenye my local area kuwahamasisha wapige kura. Na kujitokeza kwa wingi kwenye kampeni za ccm ili wapate hela za kiwi
 
Mbona kila mahali leo ni tundu lissu tu?
Jitoe Mhanga na wewe uwe kama yeye basi na wewe uandikwe au fanya chochote kitacho kufanya uwe gumzo kama yeye... si ni hivyo tu au ? Mfano ukisema, Tundu Lissu asipokuwa raisi, utakula mavi... ukifaya hivyo tu, headlines zote zitakuangukia... ni mfamo tu , sijasema ufanye kweli...Angalizo, neno kujioa Mhanga kama nilivyolitumia hapa halina maana ya kujilipua au kwa maana finyu inayojulikana na wengi, maana yale imeelezwa hapa Yohana 6:38 kama uki-google.
 
Huyu Salary Slip ndio katika nyumbu wa pale ufipa yeye ndio anaongoza kwakutijimbua
Unasemaje wewe nguruwe wa Lumumba
Screenshot_20200628-103658.jpg
 
Ni kweli, ila ngoja aone kuwa uchaguzi huru ni kwa usalama wa wote, ataumiza wengi, ila salama yake itakuwa kufia madarakani.

Kweli mkuu, ila huyo mtu hana conscience kabisa. Kwa aliyofanya mpaka sasa, sioni akisita wala kurudi nyuma. Sioni mwisho mwema.
 
Kweli mkuu, ila huyo mtu hana conscience kabisa. Kwa aliyofanya mpaka sasa, sioni akisita wala kurudi nyuma. Sioni mwisho mwema.

Ni kweli kabisa, huo ni upofu wa kawaida kabisa unapokuwa na kiburi na ulevi wa madaraka. Iwapo wapinzani watatoa ushindani stahiki, na kuamua kusimamia matokeo halali, lazima ataagiza damu kumwagwa kwa kisingizio cha kulinda amani. Hizo ni tabia za kawaida kabisa kwa viongozi wa aina yake, lakini believe me, iwapo kutakuwa na umwagikaji wowote wa damu, jambo hilo litamfanya awe katika wakati mgumu sana, yeye na chama chake. Muda ni mwalimu mzuri wa hili.
 
Unahisi yaliyotokea Januari 2000 kule Zanzibar yatatokea Dsm ?

Iwapo wapinzani watasimama kidete kudai matokeo halali ya uchaguzi, amri ya hayo ya huko Zanzibar tayari imeshatolewa. Kisingizio itakuwa ni kulinda amani. Tuombe wapinzani waendelee kuwa makondoo ili hayo yasitokee. Hiki kitendo cha kugomea waangalizi wa kimataifa, ni maandalizi ya kuzuia mashahidi wa unyama unaopangwa kutokea kwenye uchaguzi huu.
 
Lissi kafanyiwa mahojiano(kwa lugha ya kingereza) huko Ubelgiji(probably leo) kuhusu swala zima la kama tutarajie uchaguzi huru na wa haki, ila alivyojibu,ni wazi mwenzetu huyu swala la kutegemea uchaguzi huru na wa haki, kwake halipo kabisa kwani ameonyesha wazi hatarajii hilo kutokea, ila kaongeza maneno macheche ila mazito kuhusu nini kinaweza kufuata au kuambatana na uchaguzi huo na ambacho ndio concern yake kuu kitu ambacho/jambo ambalo hata mimi limenifanya nitafakari baada ya kumsikiliza.

Ukisikiliza clip hiyo ambayo iko katika akaunti ya twitter ya Daily Nation, utagundua mwenzetu ameshatazama mile kadhaa mbele na kaamua kutuandaa kisaikolojia kupitia mahojiano hayo juu ya nini kinaweza kutukoea wakati na baada ya uchaguzi huu.

Tuliozoe kusikia kauli za wanasiasa,maneno hayo ni ya kawaida, ila binafsi nakiri ni mazito japo kayatoa kwa mtindo wa swali,swali ambalo kila mtu inafaa ajiulize.

Jiongeze kunakohusika kukata kiu yako.
Hofu yako ni kauli ya kuwa "tutakuwa hai uchaguzi ukimalizika?" ameenda mbali kwa kusema "serikali imekuwa na fujo nyingi.."
Mimi naamini katika dunia hii hata wangekufa milioni moja kuna watakaobaki,kama yeye alivyonusurika ndivyo ambavyo na wengine watanusurika.Kwa mwanasiasa aliyepigwa risasi zote hizo na wa kutoka chama cha upinzani hayo ni maneno na matamshi yanayotegemewa sana.
Uchaguzi utapita,watakaokufa watakufa,watakaofyatua risasi watafyatua,matokeo yatatangazwa na maisha yataendelea.
 
Muundo wa Tume ya Uchaguzi ni almost ule ule tangu mwaka 1995. Issue kwamba uchaguzi huu utakuwa/hautakuwa "huru na wa haki" sio jambo jipya. It is a pity wanasiasa wote huwa wanaliibua suala hili miezi michache kabla ya uchaguzi. It seems everybody is in agreement with the status quo na maisha yanasonga
Ujaguzi ujao sio wa mwisho, inawezekana uchaguzi huu ukaleta msukumo wa kuwa na tume huru ya uchaguzi. Hata kama hakuna tume huru ya uchaguzi haina maana watu wakae Nyumbani kusubiri tume ya Uchaguzi.
 
Jiwe asipobadilika kuna jambo kubwa sana linafuata nyuma ya pazia, yote kwa yote tumshukuru Mungu huu msiba utakuwa umepunguza morali ya wananchi juu ya ujio wa Lissu.
Umenena vzr sana na kama ni natural death basi Mungu anatupenda sana watanzania Imagine hakuna msiba nini kingetokea
 
Ujaguzi ujao sio wa mwisho, inawezekana uchaguzi huu ukaleta msukumo wa kuwa na tume huru ya uchaguzi. Hata kama hakuna tume huru ya uchaguzi haina maana watu wakae Nyumbani kusubiri tume ya Uchaguzi.
Kenya walipata bahati ya kusuluhishwa na Ben na Kofi sijui sisi nani atatusuluhisha sijui utamleta nahi aongee na LISU sijui
 
Nchi ingekuwa imekombolewa miezi minane iliyopita Rais mstaafu Marehemu Mkapa asingetoa kauli kama hii. Aliona mbali na hakuridhika na mwelekeo wa Nchi ndiyo akayasema haya.

1595863674095.jpeg

Ni wale WAPUMBAVU TU wanaodhani nchi HAIJAKOMBOLEWA....

Uhuru wa 9/12 UNADHIHAKIWA....
 
Back
Top Bottom