Hoja iko palepale kwanini mtu alipwe posho wakati hayuko kazini? Kwanini posho ya dereva ilipwe wakati dereva hayuko ubelgiji? Na bosi wake hana gari huko? Kwanini alipwe posho ya mafuta wakati kalazwa wodini? Mbona watumishi wengine wakiugua posho zinasimama na analipwa nusu mshahara na badae anafutwa kazi?
Mgonjwa yuko wodini cnn alikuwa anatibiwa nini? Tena balozi wetu masilingi alienda akamwona hapohapo cnn.
Mgonjwa yuko wodini cnn alikuwa anatibiwa nini? Tena balozi wetu masilingi alienda akamwona hapohapo cnn.