Tundu Lissu jitafakari juu ya sumu uliyoimwaga Ulaya na Marekani kuhusu nchi yetu na Serikali yake kabla ya kurejea kugombea Urais

Unajua Mwenye MAPEPO huwa anaongea asiyo yajua?. Mbaya zaidi huwa anadhoofisha Afya yake kwa Maslahi ya wengine JIFIKIRIE TENA kea utumwa waki wa fikra ndani ya CHAMA CHA WAFUGA CHATU.

Ndio shida ya jf sasa kuna watoto kama nyie wenye fikra ndogo mnaendeshwa na mihemko nakusikitikia sana
 
Kwani wewe ni nani mpaka uwapangie watanzania mtu sahihi anayefaa kuwa kiongozi wao?

Unadhani watanzania hawaoni uovu wanaofanyiwa na huyo Pombe Makofuli?

Kama unamkubali basi utampa kura yako,wengine tuachie tuchague mtu anayefaa kuwa kiongozi wa nchi.

Huwezi kufanya jaribio la kumuua Lisu kisha ukaja huku kuandika upumbavu ulioandikwa ili Tundu Lisu asije kuwa mkuu wa nchi
 
Tanzania ni kubwa kuliko mtu mmoja!! Ifahamike hivyo, Nchi kama zetu hasa za Kiafrica ambazo nadhani mifumo ya Democorasia uchwala haijatusaidia mpaka hivi sasa, bila kujua tukajikuta ndani yake tumefuga mandumila kuwili, ilipaswa mpaka hivi Leo tuwe na mfumo wa kama China, ndumila kuwili wote ni kamba tu!

Yaani mpaka hivi sasa tungekuwa tushapiga kamba majitu mengi ndani ya CCM na Hilo lijamaa linalopiga kelele huko kututishia nyau watz zaidi ya M 60,
 
hii nchi inapaswa itunge sheria kali dhidi ya wasaliti wa taifa, yeyote anaeisaliti nchi anapoteza sifa ya uzalendo na uraia hivo anafukuzwa nchini na mali zake kutaifishwa, nadhani hapa kidogo nidham itapatikana.
hauna akili!.
 
TUNDU LISSU JITAFAKARI JUU YA SUMU ULIYOIMWAGA #ULAYA NA #MAREKANI KUHUSU NCHI YETU NA SERIKALI YAKE KABLA YA KUREJEA KUGOMBEA URAIS:

Nataka niseme bila kumung'unya maneno kwamba, raia yeyote, wa nchi yeyote duniani, iwe Marekani, China, Ujerumani au Uarabuni, mwenye kujaribu au kuthubutu kufanya usaliti dhidi ya nchi yake, haijalishi ni usaliti wa kiusalama au wa kiuchumi, kamwe hajawahi kuwa sehemu ya watakatifu wala hakuna serikali mahali popote duniani iliyowahi kushirikiana na mtu au watu wa aina hiyo.

Hii tafsiri yake ni kwamba, ukishaamua kuisaliti nchi yako, basi ujuwe kwamba umejitangazia vita wewe mwenyewe. Huo ndiyo ukweli na utabakia kuwa ukweli mchungu.

#Baba wa taifa hayati Mwl. Nyerere aliwahi kutuonya kwenye moja ya hotuba zake kwamba, kama kweli tumedhamiria kujenga taifa la haki lisilo la wanyonyaji, kamwe hatuwezi kuogopa kelele za wapumbavu na wanyonyaji.

Tutapata matatizo, tutapata misukosuko, Tutapata majizi humu humu, Tutapata watetezi wa mabepari humu huku, lakini nchi itakwenda. Na mimi nirejee kauli ya Rais wangu Dkt. John Pombe Magufuli kwamba, Tumechelewa mno, #Tumechezewa sana, Tudhamiria nchi iende, atakaye jaribu kutukwamisha, atakwama yeye.

Katika vita ya kiuchumi iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tano chini ya Jemadari Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ikiwemo kukamata makontena ya mchanga wa dhahabu zaidi ya 200 yaliyokuwa bandari ya Dar es Salaam, Rais Magufuli kwa uchungu mkubwa alisema:-

Namnukuu. Nimeamua kuyatoa maisha yangu sadaka kwa ajili ya kuwapigania watanzania ikibidi hata nife. Maisha yangu hayatakuwa na thamani kama Rais kwa kuona watanzania wakifa kwa kukosa dawa hospitali, watoto wa masikini wakikosa elimu, hali ya usafiri ikiwa mbaya, halafu mimi niwe sehemu ya wanaoshiriki kuhujumu taifa hili kwa kufukuzana na machinga barabarani huku tukiacha kukusanya kodi kwa wanaokwepa kulipa kodi ya serikali. Nimeamua nchi iende na atakayejaribu kutukwamisha, atakwama yeye mwenyewe. #MwishoKunukuu.

Wakati Rais wetu akiapa kiapo cha kulitumikia taifa, mwenzetu Tundu Lissu aliamua kusimama upande wa wanyonyaji ACACIA na BARRICK badala ya kusimama upande wa nchi. Tena alienda mbali kwa kumtishia nyau Rais wetu kwamba, kitendo alichofanya cha kukamata mali za wawekezaji kitapelekea nchi kushitakiwa kwenye mahakama za Kimataifa za usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji kwa mujibu wa mikataba iliyopo.

Kitendo cha kutetea #unyonyaji wa rasilimali za taifa ziendelee kuporwa kwa kunufaisha wachache badala ya kulinufaisha taifa, hiyo peke yake ilitosha kumtambulisha Tundu Lissu kwa watanzania kwamba yeye ni adui namba moja kuliko walivyo wanyonyaji wa uchumi wetu ikiwemo kampuni ya kuchimba dhahabu ya ACACIA tuliyoambiwa ilikuwa ikichimba dhahabu nchini bila kusajiliwa popote.

Nataka niseme kwamba, kama taifa tumepigana vita ya kutetea rasilimali za nchi yetu ikiwemo madini kwa kuanza na kutunga sheria, tukasimama kidete, kuzungumza na wawekezaji, Mungu akasimama upande wetu, na hatimaye tukashinda. Sasa tunayo kampuni ya kizalendo ya ubia kati ya Tanzania na Barrick iitwayo Twiga ambayo tunagawana faida 50x50.

#Lisu alikuwa tayari kwa lolote ili kutengeneza Nchi ikose Utulivu na Mungu alivyo wa pekee leo mpango huo muovu ulioupanga umegharibu maisha yake.

Wakati #serikali ikipambana kutetea rasilimali zake ili ziwanufaishe wananchi, kwa upande wake yeye Tundu Lissu alikuwa akipambana kuzunguka Ulaya na Marekani kumwaga sumu kwa nchi wafadhiri ili nchi yetu inyimwe misaada, iwekewe vikwazo vya kiuchumi. Kama vile hiyo haikutosha, akajitoa kimasomaso kwa ajili ya kusaidia wenye madeni na Tanzania kukamata ndege zetu huko Canada na Afrika kusini, lengo likiwa ni kuhakikisha serikali ya awamu ya tano inakwama. Wahenga walisema Mungu si Athumani, hatimaye licha ya figisu figisu, tumeingia uchumi wa kati.

#Napata taabu sana, #ninapomtafakari mtu wa aina hii, anapata wapi ujasiri na nguvu za kufikia hatua ya kutangaza kugombea Uraisi wa nchi ambayo ameshiriki kuibomoa tena kwa mikono yake mwenyewe? Hivi ni nani aliyemshauri Tundu Lissu atangaze kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Kama hakushauriwa na mtu isipokuwa ni mawazo yake, wakati anawaza kugombea uraisi alikuwa ndotoni au? Yaani uje ugombee urais, ufaidi matunda ya vita ya kiuchumi ambayo hukuipigania? Wewe ni nani? Nina hasira, Sitaki kusema sana, Wakati ni ukuta, tunamsubiri.

Nimecopy kutoka kwa mdau mmoja uko facebook ILA UJUMBE UWAFIKIE VIJANA WOTE WAFUATA UPEPO NA MANENO YA VIJIWE WA CHADEMA MJITAFAKALI
vijana wa UV-CCM mnajiona ma-TISS kweli kweli, kumtisha kila mtu, msifikiri kila mtu ni kama NAPPE atatamba kwa magoti toka IFM mpaka MAGOGONI kuomba msamaha.

Kwani kuzungumza ukweli ni kosa?
 
Mkuu usiwe muoga kiasi hicho.. Hao wakutishe vipi nao ni marehem siku ukifika ndugu
 
Usaliti ni nini na unatofautishaje haki ya kikatiba ya mtu kuwa na uhuru wa kusema ukweli/ mawazo yake na usaliti?

Raia akipingana na rais kwa sababu rais anaamini katika serikali kupanga bei ya korosho, na raia anapingana na hilo, huyo raia ni msaliti?

Usaliti alioufanya Tundu Lissu specifically ni upi?
 
hili neno, vijana wa UVCCM washajiona wao ndio kila kitu, watakufa na kuacha nchi hii
Hao mbona mpaka leo awajatupa mrejesho wa nani alimpa sumu kipenzi chetu mzalendo wetu JPM kipindi akiwa waziri na juzi juzi hii ya Mangula!
 
Kwani wewe ni nani mpaka uwapangie watanzania mtu sahihi anayefaa kuwa kiongozi wao?

Unadhani watanzania hawaoni uovu wanaofanyiwa na huyo Pombe Makofuli?

Kama unamkubali basi utampa kura yako,wengine tuachie tuchague mtu anayefaa kuwa kiongozi wa nchi.

Huwezi kufanya jaribio la kumuua Lisu kisha ukaja huku kuandika upumbavu ulioandikwa ili Tundu Lisu asije kuwa mkuu wa nchi

Ebu tuambie Ni Maovu gani??! Maana sisi tunasema maovu ya lisu lakin tunayasema ebu nawe tuambie ni maovu gani ambayo Mh. Raisi Ameyafanya kwa Watanzania Kama si kuleta hoja za kitoto zilizojaa uongo apa ?
 
TUNDU LISSU JITAFAKARI JUU YA SUMU ULIYOIMWAGA #ULAYA NA #MAREKANI KUHUSU NCHI YETU NA SERIKALI YAKE KABLA YA KUREJEA KUGOMBEA URAIS:

Nataka niseme bila kumung'unya maneno kwamba, raia yeyote, wa nchi yeyote duniani, iwe Marekani, China, Ujerumani au Uarabuni, mwenye kujaribu au kuthubutu kufanya usaliti dhidi ya nchi yake, haijalishi ni usaliti wa kiusalama au wa kiuchumi, kamwe hajawahi kuwa sehemu ya watakatifu wala hakuna serikali mahali popote duniani iliyowahi kushirikiana na mtu au watu wa aina hiyo.

Hii tafsiri yake ni kwamba, ukishaamua kuisaliti nchi yako, basi ujuwe kwamba umejitangazia vita wewe mwenyewe. Huo ndiyo ukweli na utabakia kuwa ukweli mchungu.

#Baba wa taifa hayati Mwl. Nyerere aliwahi kutuonya kwenye moja ya hotuba zake kwamba, kama kweli tumedhamiria kujenga taifa la haki lisilo la wanyonyaji, kamwe hatuwezi kuogopa kelele za wapumbavu na wanyonyaji.

Tutapata matatizo, tutapata misukosuko, Tutapata majizi humu humu, Tutapata watetezi wa mabepari humu huku, lakini nchi itakwenda. Na mimi nirejee kauli ya Rais wangu Dkt. John Pombe Magufuli kwamba, Tumechelewa mno, #Tumechezewa sana, Tudhamiria nchi iende, atakaye jaribu kutukwamisha, atakwama yeye.

Katika vita ya kiuchumi iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tano chini ya Jemadari Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ikiwemo kukamata makontena ya mchanga wa dhahabu zaidi ya 200 yaliyokuwa bandari ya Dar es Salaam, Rais Magufuli kwa uchungu mkubwa alisema:-

Namnukuu. Nimeamua kuyatoa maisha yangu sadaka kwa ajili ya kuwapigania watanzania ikibidi hata nife. Maisha yangu hayatakuwa na thamani kama Rais kwa kuona watanzania wakifa kwa kukosa dawa hospitali, watoto wa masikini wakikosa elimu, hali ya usafiri ikiwa mbaya, halafu mimi niwe sehemu ya wanaoshiriki kuhujumu taifa hili kwa kufukuzana na machinga barabarani huku tukiacha kukusanya kodi kwa wanaokwepa kulipa kodi ya serikali. Nimeamua nchi iende na atakayejaribu kutukwamisha, atakwama yeye mwenyewe. #MwishoKunukuu.

Wakati Rais wetu akiapa kiapo cha kulitumikia taifa, mwenzetu Tundu Lissu aliamua kusimama upande wa wanyonyaji ACACIA na BARRICK badala ya kusimama upande wa nchi. Tena alienda mbali kwa kumtishia nyau Rais wetu kwamba, kitendo alichofanya cha kukamata mali za wawekezaji kitapelekea nchi kushitakiwa kwenye mahakama za Kimataifa za usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji kwa mujibu wa mikataba iliyopo.

Kitendo cha kutetea #unyonyaji wa rasilimali za taifa ziendelee kuporwa kwa kunufaisha wachache badala ya kulinufaisha taifa, hiyo peke yake ilitosha kumtambulisha Tundu Lissu kwa watanzania kwamba yeye ni adui namba moja kuliko walivyo wanyonyaji wa uchumi wetu ikiwemo kampuni ya kuchimba dhahabu ya ACACIA tuliyoambiwa ilikuwa ikichimba dhahabu nchini bila kusajiliwa popote.

Nataka niseme kwamba, kama taifa tumepigana vita ya kutetea rasilimali za nchi yetu ikiwemo madini kwa kuanza na kutunga sheria, tukasimama kidete, kuzungumza na wawekezaji, Mungu akasimama upande wetu, na hatimaye tukashinda. Sasa tunayo kampuni ya kizalendo ya ubia kati ya Tanzania na Barrick iitwayo Twiga ambayo tunagawana faida 50x50.

#Lisu alikuwa tayari kwa lolote ili kutengeneza Nchi ikose Utulivu na Mungu alivyo wa pekee leo mpango huo muovu ulioupanga umegharibu maisha yake.

Wakati #serikali ikipambana kutetea rasilimali zake ili ziwanufaishe wananchi, kwa upande wake yeye Tundu Lissu alikuwa akipambana kuzunguka Ulaya na Marekani kumwaga sumu kwa nchi wafadhiri ili nchi yetu inyimwe misaada, iwekewe vikwazo vya kiuchumi. Kama vile hiyo haikutosha, akajitoa kimasomaso kwa ajili ya kusaidia wenye madeni na Tanzania kukamata ndege zetu huko Canada na Afrika kusini, lengo likiwa ni kuhakikisha serikali ya awamu ya tano inakwama. Wahenga walisema Mungu si Athumani, hatimaye licha ya figisu figisu, tumeingia uchumi wa kati.

#Napata taabu sana, #ninapomtafakari mtu wa aina hii, anapata wapi ujasiri na nguvu za kufikia hatua ya kutangaza kugombea Uraisi wa nchi ambayo ameshiriki kuibomoa tena kwa mikono yake mwenyewe? Hivi ni nani aliyemshauri Tundu Lissu atangaze kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Kama hakushauriwa na mtu isipokuwa ni mawazo yake, wakati anawaza kugombea uraisi alikuwa ndotoni au? Yaani uje ugombee urais, ufaidi matunda ya vita ya kiuchumi ambayo hukuipigania? Wewe ni nani? Nina hasira, Sitaki kusema sana, Wakati ni ukuta, tunamsubiri.

Nimecopy kutoka kwa mdau mmoja uko facebook ILA UJUMBE UWAFIKIE VIJANA WOTE WAFUATA UPEPO NA MANENO YA VIJIWE WA CHADEMA MJITAFAKALI
Hata kama ungekuwa malaika, kwa walichomtenda TL, lazima utaisaliti nchi yako. Nchi gani watu wanauawa bila sababu za msingi-eti kutofautiana mawazo tu unapotezwa!!!!! khaaah. Njoo TL utuokoe, hatuna tena umoja wa kitaifa ulioanzishwa na baba wa Taifa, tuna umoja wa kikanda, tuna umoja wa wachumia tumbo. wananchi walio wengi hawana sauti wanabaki kugumia na maumivu ya uchumi wa kati, watumishi ndo usiseme wamekua wasanii utafikiri unahudumiwa vizuri kumbe unaumizwa bila kujijua, vifo vilivyoweza kuokolewa zamani sasa hivi vinaitwa vifo vya bahati mbaya, mungu ametwaa!!. Mimi si mmoja wa wanaopenda sifa lakini pia ni mmoja wa wanaopenda haki kwa watu wote. Hii haki inayobagua sijui ni haki gani, akiuawa mfugaji (kwa nini kauawa na huyu ni mpiga kura wangu) akiuawa polisi (polisi nao wamezidi kuwabambikia kesi watu wahamishwe)
 
Mpaka leo hakuna mkataba wa madini ulio wazi au unao wanufaisha watanzania wote bali wale wanafanya hiyo mikataba.
Mfano mpaka leo wakazi wa Nyakabale Geita wanaopakana na GGM bado ni duni nk
Kuitarajia CCM kufanya jambo jema kwa wananchi ni sawa sawa na kutoa binadamu anapaa kama ndege tai

Mkuu nini maoni yako unataka wakazi wote wa Geita wanaopakana na GGM wajengewe nyumba wapewe posho na magari ya kutembelea ata kama hawajiusishi na shughuri za madini au unataka selikari ichukue pesa yote ya kodi ya mawe yanayochimbwa uko yatumike eneo ilo tu ? Je ivyo ndivyo uongozi unatakiwa kuwa au ni nini unaitaji kiujumla serikali iliyopo sasa ina kila kiashiria kuwa iko kutatua shida za kila mwananchi wa taifa ili bila kujali chazo cha mapato kinatoka wapi na iyo ndio maana harisi ya serikari bora kwako mkuu kama unahoja nyenye mashiko na msahada kwa taifa please ..
 
Kwanini tukimbilie kupotosha mkuu...wapi nimesema mkoa wote wa Geita...ujirani mwema ni moja ya hitaji la mikataba ya migodi..Nyakabale na Mgusu ni Vijijini vinavyopakana na Migodi kwa karibu sana...tembelea maeneo ayo ujionee.
Mwisho ni vigumu sana Serikali za Kiafrika kujari jamii zao..kua kundi kubwa na wazee wetu wastaafu wanadai mafao miaka sasa minne,kuna vijana wanalipa mikopo huku kila mwaka mkopo unaongezeka 6% hao watabaki maskini kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom