Najua meko atatumia nguvu zake zote na majeshi yake yote na hapo ndio mambo yatamuharibikia zaidi.
Magufuli angeanza kufungasha vilago kuondoka Ikulu mapema hawezi kupambana na Lissu kwenye sanduku la kura atapata aibu kubwa.
Watanzania sio wajinga waliekuwa wakimsubiri kwa muda mrefu ndio kaja sasa miaka mingi tuliitaji mgombea mwenye ushawishi na anayetoka kwenye pure opposition political party na sasa kapatikana.
Njia pekee ya kumzuia Lissu ilikuwa kama alivyofanywa mwaka 2017 ikashindikana sasa hakuna njia nyingine ya kumzuia .
Napokea simu kutoka Kila Kona ya Tanzania pia napata kutembea nchii hii Kila siku Lissu toka amerudi kabadilisha kabisa upepo was siasa za Tanzania.
Hakuna njia ya kumzuia Lissu naapa kuhama Tanzania kama Lissu atashindwa kwa sanduku la kula na Magufuli msione watanzania wamenyamaza Hali ni tete Sana wataishangaza dunia mwaka huu.
Lissu anaenda kuivunja vunja kabisa CCM .
Navishukuru vyombo vya Dolla kwa kuanza kusoma halama za wakati mwende hivyo hivyo mpaka mshindi halali atangazwe.
Amini amini nakwambia ndugu, CCM kinaenda kuwa Chama pinzani baada ya uchaguzi wa October 2020.
Hakuna njia Magufuli atamshinda Lissu mwaka huu. Narudia tena na tena, hakuna namna Magufuli atamshinda Lissu mwaka huu!
TL ndio chaguo letu watanzania
Na hata huo uraisi wa TLS , CCM walimpiga figisu asiwe raisi ila hawakumweza!!!
Achana na mpakwa mafuta wa MUNGU Tundu Antipas Lissu wewe!!!
Nakuhakikishia technically ndani ya C CM kunaenda kufanyika usaliti wa Hali ya juu kwa Karne hii.
CCM watapata aibu ya karne huu utakuwa uchaguzi wa kihistoria. Hata ubunge watapigwa kipigo cha mbwa koko