Tundu Lissu is an empty threat to Magufuli

LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
5,896
Likes
3,624
Points
280
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
5,896 3,624 280
Tundu Lissu is not a threat to President Magufuli. He has never been a threat to President Magufuli and am sure as hell President Magufuli does not intend in any manner whatsoever to make Tundu Lissu a threat to his Administration.

Kama Tundu Lissu ana amini kwamba anaweza kuja kuwa Rais wa nchi hii anaweza kuendelea kuamini hivyo kwa sababu imagination costs nothing . Matter fact imagination is the most valuable gift that was given to all Human Kind by Sir God himself in order to compensate them.with what they dont have kama ambavyo Tundu Lissu ana imagine kwamba anaweza kuwa Rais wa nchi hii wakati hana sifa wala uwezo,kwa hiyo kumwambia kwamba wewe Tundu Lissu wacha kuota kwamba utakuja kuwa Rais wa nchi hii ni kumnyima haki yake ya kibiolojia.

Tundu Lissu ni Mwanaharakati Sio Kiongozi.

Magufuli ni Kiongozi Mtendaji na Mzalendo na sio Mwanasiasa.

Tanzania haihitaji wala haijawahi kuhitaji kuwa na Rais wa kariba ya Tundu Lissu.

Hatuhitaji kuwa na Rais Mwanaharakati kama Tundu Lissu
Tunahitaji kuwa na Rais Mtendaji na Mzalendo wa nchi yake kama Magufuli.

Kwa sababu wana harakati wote duniani huwa wana sifa moja inayo fanana. Nayo ni usaliti. Kuna mstari mwembamba sana kati ya harakati na usaliti.
Ni rahisi sana kwa Mwanaharakati kusaliti harakati zake lakini hilo haliwezekani kwa Mzalendo.

Mzalendo hana price tag but Mwanaharakati ana bei kwa sababu most of the time harakati zake huwa zinasukumwa na ubinafsi ambao anau comouflage kwenye dhana ya uanaharakati.

Rais atakae pokea vijiti vya JPM mwaka 2025 atakuwa Rais mpole na atakuwa muislamu.

Pamoja na.kwamba huo sio utaratibu rasmi kwenye katiba yetu lakini historia inatetea hoja yangu.

1. Alianza Mwalimu Mkristo Mkali.

2. Akafuata Mzee Mwinyi Muislamu mpole.

3. Akafuata Mzee Mkapa Mkristo Mkali.

4. Akaja Mzee Kikwete Muislamu Mpole.

5. Amekuja JPM Mkristo Mkali.

6. Atakae mpokea JPM mwaka 2025 atakuwa Muislamu na mpole.

Tundu Lissu hana.sifa hizo kwa hiyo historia haiko upande wake.

Ni vyema sasa Tundu Lissu akaachana na harakati uchwara anazo zifanya kwa sababu hazina tija yoyote kwa taifa letu.

Tundu Lissu is an empty threat.
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
118,472
Likes
510,994
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
118,472 510,994 280
Aiseee
 
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
21,784
Likes
16,141
Points
280
Eli79

Eli79

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
21,784 16,141 280
Sijui hata ile ya "Membe for 2020" iliishia wapi. Watanzania tunaendeshwa na upepo wa ajabu...
 
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
11,311
Likes
10,321
Points
280
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
11,311 10,321 280
Kitu au mtu anapokuwa si kitisho basi unapaswa kukalisha kiuno chini na kuendelea kumung'unya maboga yako taratibu bila kugeukageuka kuangalia hatari inatokea wapi.
Hili la kila wakati kurandaranda majukwaani kuanzisha nyuzi ni kwamba umeshtuka sana,umeogopa mnoo,unaweweseka hasa na unateseka vilevile.Mkibanwa kwa maswali huwa mnajibu kinafiki hamna vyama ila mnachangia mawazo kizalendo tu.
 
S

sanje

Senior Member
Joined
May 12, 2018
Messages
100
Likes
68
Points
45
S

sanje

Senior Member
Joined May 12, 2018
100 68 45
Kama mtu mwenye IQ ndogo na mpumbavu kama jiwe ameweza kuwa raisi TUNDU LISSU.atashindwaje?
Tundu Lissu is not a threat to President Magufuli. He has never been a threat to President Magufuli and am sure as hell President Magufuli does not intend in any manner whatsoever to make Tundu Lissu a threat to his Administration.

Kama Tundu Lissu ana amini kwamba anaweza kuja kuwa Rais wa nchi hii anaweza kuendelea kuamini hivyo kwa sababu imagination costs nothing . Matter fact imagination is the most valuable gift that was given to all Human Kind by Sir God himself in order to compensate them.with what they dont have kama ambavyo Tundu Lissu ana imagine kwamba anaweza kuwa Rais wa nchi hii wakati hana sifa wala uwezo,kwa hiyo kumwambia kwamba wewe Tundu Lissu wacha kuota kwamba utakuja kuwa Rais wa nchi hii ni kumnyima haki yake ya kibiolojia.

Tundu Lissu ni Mwanaharakati Sio Kiongozi.

Magufuli ni Kiongozi Mtendaji na Mzalendo na sio Mwanasiasa.

Tanzania haihitaji wala haijawahi kuhitaji kuwa na Rais wa kariba ya Tundu Lissu.

Hatuhitaji kuwa na Rais Mwanaharakati kama Tundu Lissu
Tunahitaji kuwa na Rais Mtendaji na Mzalendo wa nchi yake kama Magufuli.

Kwa sababu wana harakati wote duniani huwa wana sifa moja inayo fanana. Nayo ni usaliti. Kuna mstari mwembamba sana kati ya harakati na usaliti.
Ni rahisi sana kwa Mwanaharakati kusaliti harakati zake lakini hilo haliwezekani kwa Mzalendo.

Mzalendo hana price tag but Mwanaharakati ana bei kwa sababu most of the time harakati zake huwa zinasukumwa na ubinafsi ambao anau comouflage kwenye dhana ya uanaharakati.

Rais atakae pokea vijiti vya JPM mwaka 2025 atakuwa Rais mpole na atakuwa muislamu.

Pamoja na.kwamba huo sio utaratibu rasmi kwenye katiba yetu lakini historia inatetea hoja yangu.

1. Alianza Mwalimu Mkristo Mkali.

2. Akafuata Mzee Mwinyi Muislamu mpole.

3. Akafuata Mzee Mkapa Mkristo Mkali.

4. Akaja Mzee Kikwete Muislamu Mpole.

5. Amekuja JPM Mkristo Mkali.

6. Atakae mpokea JPM mwaka 2025 atakuwa Muislamu na mpole.

Tundu Lissu hana.sifa hizo kwa hiyo historia haiko upande wake.

Ni vyema sasa Tundu Lissu akaachana na harakati uchwara anazo zifanya kwa sababu hazina tija yoyote kwa taifa letu.

Tundu Lissu is an empty threat.
 
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
1,894
Likes
3,425
Points
280
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
1,894 3,425 280
Empty threat anaanzishiwa mijadala kila kona, huu ni zaid ya ujuha.
Yaani mtu asiyekuwa na madhara kwa Rais wetu naye amekusanya watu wote tena wa mihimili yote kuhangaika kumjibu nje na ndani ya nchi?? Kweli kivuli kinaishi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
1,894
Likes
3,425
Points
280
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
1,894 3,425 280
Tangu lini Magufuli akajibu hoja? Wewe sema Lisu anataka Magufuli amtukane na kumshambulia apate hiyo unayoita kiki. Halafu atamjibu kwa kugha gani mfano.
lissu anataka Magufuli amjibu ili apate kiki na hilo halitatokea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pancras Suday

Pancras Suday

Verified Member
Joined
Jun 24, 2011
Messages
7,698
Likes
1,743
Points
280
Pancras Suday

Pancras Suday

Verified Member
Joined Jun 24, 2011
7,698 1,743 280
Ha ha ha ha haaah! Duh! Ama kweli

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Losser Bad

Losser Bad

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
490
Likes
1,084
Points
180
Losser Bad

Losser Bad

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
490 1,084 180
Sio nyie kila siku mnalia lia arudi nyumbani.Mnataka arudi mmfanye nini tena.

He pose a threat you cannot afford ndio sababu kila kukicha mnatapa tapa mpaka mnatumana mabalozi wote msio na ubongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
6,935
Likes
8,064
Points
280
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
6,935 8,064 280
Kipi kinachofanya wewe ulietoa mawazo hayo kua tofauti na Lissu ? Kwa minaajili hio wewe mwenyewe mleta mada unafanya imagination kwa kuamini huyu mtu hana uwezo wakati alieko sasa hivi hana uwezo wowote ule..?
 
T

TIBIM

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
6,191
Likes
5,010
Points
280
T

TIBIM

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2017
6,191 5,010 280
Tundu Lissu is not a threat to President Magufuli. He has never been a threat to President Magufuli and am sure as hell President Magufuli does not intend in any manner whatsoever to make Tundu Lissu a threat to his Administration.

Kama Tundu Lissu ana amini kwamba anaweza kuja kuwa Rais wa nchi hii anaweza kuendelea kuamini hivyo kwa sababu imagination costs nothing . Matter fact imagination is the most valuable gift that was given to all Human Kind by Sir God himself in order to compensate them.with what they dont have kama ambavyo Tundu Lissu ana imagine kwamba anaweza kuwa Rais wa nchi hii wakati hana sifa wala uwezo,kwa hiyo kumwambia kwamba wewe Tundu Lissu wacha kuota kwamba utakuja kuwa Rais wa nchi hii ni kumnyima haki yake ya kibiolojia.

Tundu Lissu ni Mwanaharakati Sio Kiongozi.

Magufuli ni Kiongozi Mtendaji na Mzalendo na sio Mwanasiasa.

Tanzania haihitaji wala haijawahi kuhitaji kuwa na Rais wa kariba ya Tundu Lissu.

Hatuhitaji kuwa na Rais Mwanaharakati kama Tundu Lissu
Tunahitaji kuwa na Rais Mtendaji na Mzalendo wa nchi yake kama Magufuli.

Kwa sababu wana harakati wote duniani huwa wana sifa moja inayo fanana. Nayo ni usaliti. Kuna mstari mwembamba sana kati ya harakati na usaliti.
Ni rahisi sana kwa Mwanaharakati kusaliti harakati zake lakini hilo haliwezekani kwa Mzalendo.

Mzalendo hana price tag but Mwanaharakati ana bei kwa sababu most of the time harakati zake huwa zinasukumwa na ubinafsi ambao anau comouflage kwenye dhana ya uanaharakati.

Rais atakae pokea vijiti vya JPM mwaka 2025 atakuwa Rais mpole na atakuwa muislamu.

Pamoja na.kwamba huo sio utaratibu rasmi kwenye katiba yetu lakini historia inatetea hoja yangu.

1. Alianza Mwalimu Mkristo Mkali.

2. Akafuata Mzee Mwinyi Muislamu mpole.

3. Akafuata Mzee Mkapa Mkristo Mkali.

4. Akaja Mzee Kikwete Muislamu Mpole.

5. Amekuja JPM Mkristo Mkali.

6. Atakae mpokea JPM mwaka 2025 atakuwa Muislamu na mpole.

Tundu Lissu hana.sifa hizo kwa hiyo historia haiko upande wake.

Ni vyema sasa Tundu Lissu akaachana na harakati uchwara anazo zifanya kwa sababu hazina tija yoyote kwa taifa letu.

Tundu Lissu is an empty threat.
Umeandika kama kada kuegemea upande wako,iko hivi siasa sio static ni upepo, hata aliyepo akutegemea kuwa,atujafikia level za USA kwamba wakitoka hawa wanaingia hawa, siasa zetu za upepo jinsi uvumao.Tofauti ya wakristo na waislam, wakristo ni rafu uumiza wengi,waislam wako royal wana hekima na busara hata riziki kwa wengi hadi chini uwepo, wakristo walaji ni wateule wachache maswaiba na wajuu,waislam si wachoyo maisha huwa si magumu,wakristo lzm maisha yawe magumu.
 
Forum statistics

Threads 1,262,332
Members 485,559
Posts 30,120,776