- Joined
- Dec 26, 2012
- Messages
- 5,896
- Likes
- 3,624
- Points
- 280

LIKUD
JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012

Tundu Lissu is not a threat to President Magufuli. He has never been a threat to President Magufuli and am sure as hell President Magufuli does not intend in any manner whatsoever to make Tundu Lissu a threat to his Administration.
Kama Tundu Lissu ana amini kwamba anaweza kuja kuwa Rais wa nchi hii anaweza kuendelea kuamini hivyo kwa sababu imagination costs nothing . Matter fact imagination is the most valuable gift that was given to all Human Kind by Sir God himself in order to compensate them.with what they dont have kama ambavyo Tundu Lissu ana imagine kwamba anaweza kuwa Rais wa nchi hii wakati hana sifa wala uwezo,kwa hiyo kumwambia kwamba wewe Tundu Lissu wacha kuota kwamba utakuja kuwa Rais wa nchi hii ni kumnyima haki yake ya kibiolojia.
Tundu Lissu ni Mwanaharakati Sio Kiongozi.
Magufuli ni Kiongozi Mtendaji na Mzalendo na sio Mwanasiasa.
Tanzania haihitaji wala haijawahi kuhitaji kuwa na Rais wa kariba ya Tundu Lissu.
Hatuhitaji kuwa na Rais Mwanaharakati kama Tundu Lissu
Tunahitaji kuwa na Rais Mtendaji na Mzalendo wa nchi yake kama Magufuli.
Kwa sababu wana harakati wote duniani huwa wana sifa moja inayo fanana. Nayo ni usaliti. Kuna mstari mwembamba sana kati ya harakati na usaliti.
Ni rahisi sana kwa Mwanaharakati kusaliti harakati zake lakini hilo haliwezekani kwa Mzalendo.
Mzalendo hana price tag but Mwanaharakati ana bei kwa sababu most of the time harakati zake huwa zinasukumwa na ubinafsi ambao anau comouflage kwenye dhana ya uanaharakati.
Rais atakae pokea vijiti vya JPM mwaka 2025 atakuwa Rais mpole na atakuwa muislamu.
Pamoja na.kwamba huo sio utaratibu rasmi kwenye katiba yetu lakini historia inatetea hoja yangu.
1. Alianza Mwalimu Mkristo Mkali.
2. Akafuata Mzee Mwinyi Muislamu mpole.
3. Akafuata Mzee Mkapa Mkristo Mkali.
4. Akaja Mzee Kikwete Muislamu Mpole.
5. Amekuja JPM Mkristo Mkali.
6. Atakae mpokea JPM mwaka 2025 atakuwa Muislamu na mpole.
Tundu Lissu hana.sifa hizo kwa hiyo historia haiko upande wake.
Ni vyema sasa Tundu Lissu akaachana na harakati uchwara anazo zifanya kwa sababu hazina tija yoyote kwa taifa letu.
Tundu Lissu is an empty threat.