Tundu Lissu hapa ulionesha umakini

Lissu aliongelea ukweli nchi nyingi sana zina mpango wakuacha kutumia nuclear kama leo japan wametoa tamko ndani ya miongo 3 watakuwa wameshaacha kutumia nuclear akiifuata ujeruman
 
Huyu Lissu si ndiye baadhi ya wabunge wa CCM walisema hana akili akapimwe na wanashangaa alisoma shule gani ya sheria? Kaaaaaaaazi kweli kumbe mwehu anaweza akamuona mtu mzima kuwa ndiyo mwehu, hapa inabidi kumbe wale wabunge wa CCM wakaangaliwe vizuri akili zao
 
kama kiongozi mtendaji anafaa sana, that is WAZIRI MKUU ila tukiwa practical, SLAA na PINDA wanafaa kuwa marais

Pinda alishapinda hawezi urais, kama sasa na uPM wake anasema mafisadi wakikamatwa nchi itatetemeka unategemea nini hapo?
 
Hapa Austria mtambo ulijengwa miaka kumi na mbili iliyopita, mpaka leo haujafunguliwa kwasababu wananchi na wataalamu wao wamepinga mtambo wa namna hiyo kwa kujua madhara yake
 
Huyu Lissu si ndiye baadhi ya wabunge wa CCM walisema hana akili akapimwe na wanashangaa alisoma shule gani ya sheria? Kaaaaaaaazi kweli kumbe mwehu anaweza akamuona mtu mzima kuwa ndiyo mwehu, hapa inabidi kumbe wale wabunge wa CCM wakaangaliwe vizuri akili zao

Mkuu hapa ndipo huwa nashangaa sana, niliwahi kupata hamu ya kwenda kusomea upasuaji vichwa maana aliyesema Tundu Lisu hana akili akapimwe, yeye alihitaji kupasuliwa kichwa haraka kumtoa matatizo aliyo nayo. Bila hivyo haponi!
 
Back
Top Bottom