tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,490
- Thread starter
- #341
DED wa Kagera alikosa sifa mbele ya Rais kwa majibu yake tu nakumbuka alipoulizwa swali la Road Fund zilizokuja ni sh ngapi akamjibu Rais kuwa yeye ana idara nyingi hivyo hawezi kujua ni sh ngapi labda Mhazina wa Wilaya ndiye anaweza kuwa na majibu na yeye anaogopa kusema uwongo.......kiuongozi huyo mama kuwa DED hatoshi maana DED ndiyo mpokea fedha na mtoaji wa fedha kwenye halmashauri kama hajui kazi yake ya msingi ulitaka Rais afanye nini zaidi ya kumfukuza......amekuja kujua Meya hesabu zote za fedha kwenye miradi mbalimbali kwa takwimu kutoka kichwani....kuna vitu kama kiongozi vinatakiwa kuwa kwenye tip of fingersNimekukumbusha mengi lakini hutaki kuyaelewa. Ngoja nikupe mfano mwingine wa mama wa watu, sijui DED au nani yule wa Kagera aliyeshindwa kukariri kiasi cha pesa za mradi na hapohapo akapoteza kazi!
Nikikwambia kwamba wewe huna uwezo wa kukariri namba kama alionao Rais Magufuli bila shaka utasema huna, lakini hapo hapo unataka kila mtu awe hivyo kwa mjibu wa bandiko lako hapo juu. Wewe hii kazi huiwezi.
Naendelea kukupima kiasi chako, hadi sasa ni F.