Tundu Lissu: Hakuna atakayefanya kazi za CCM akajiita mwana CHADEMA tukamwacha

Daa chadema nakupenda kwa moyo wore, fukuza hao wore vigagula,. Lissu tunawaminia, hivi zitto anavojiona sana je anahadhi ya tundu lissu jaman, naomben jibu
 
Sasa ZZK anasubiri nini? Aanzishe yeye kuchomoka, halafu wafuatie wale masalia kama walivyofuatana kuweka threads humu!

Alishasema Chadema inadamu yake,ina muda wake na ina gharama zake hivyo hatarajii kutoka leo wala kesho.
 
Mimi nadhani wala wasifukuzwe,adhabu ya kuwatenga inawatosha sana.Wasaliti hawa kuanzia bosi wao mchawi wasishirikishwe kazi yoyote.

Dawa ya msaliti mhuni ni kumtenga tu.Wataondoka wenyewe mmojammoja kwa sababu hawatapata fursa yoyote ndani ya chama.

Eti huyo mkuu wao mchawi anataka Urais...nakuambia atausikia kwenye bomba.Tanzania ina watu wanaomwabudu Mungu kamwe hawataongozwa na vigagula.
 
Nimesoma maelezo ya JULIANA, BEN SAANANE na MTELA, inaonekana kama maelezo ya Juliana na Mtela yanafanana. Kwa busara waliyotumia Mkiti na Katibu mkuu kwa muda wote huo waitumie ili hawa wasaliti wajiondoe wenyewe bila kufukuzwa.
 
Mm nasema cdm tunaitegemea sana kuleta mabadiliko ndani ya taifa hili
hvyo maamuzi ya busara zaidi yachukuliwe kuleta matokeo mazuri kwenye ukanda huu wa siasa,[h=2]Mhe.Tundu Lissu[/h] big up!!!!
 
Watu tuna fight humu ndani kufight kwa ajili ya CHADEMA yetu kumbe watu washenzi na wakosefu wa heshima wanaigawa chadema watu wazima na akili zetu tunajuwa tuna fight kwa hali na mali, pumbavu wote
 
Mm nasema cdm tunaitegemea sana kuleta mabadiliko ndani ya taifa hili
hvyo maamuzi ya busara zaidi yachukuliwe kuleta matokeo mazuri kwenye ukanda huu wa siasa,Mhe.Tundu Lissu

big up!!!!

Karibu sana mkuu
 
Prezzo aka dogo aka sangoma yuko kimya hata fb haandiki wala hatweet,nadhani saa hz anatumia line yake ya tigo ambayo haijasajiliwa,sijui tgo amewapa nn mpaka line itumike bila kusajiliwa
 
Alishasema Chadema inadamu yake,ina muda wake na ina gharama zake hivyo hatarajii kutoka leo wala kesho.
Huyu dogo mpumbavu, kuna siku pia alishasema eti chadema haiwezi kumfukuza yeye na ikabaki salama. Anajidanganya sana. Soon atamfuata kafulila wakaimarishe chauma yao.
 
Mimi nadhani wala wasifukuzwe,adhabu ya kuwatenga inawatosha sana.Wasaliti hawa kuanzia bosi wao mchawi wasishirikishwe kazi yoyote.

Dawa ya msaliti mhuni ni kumtenga tu.Wataondoka wenyewe mmojammoja kwa sababu hawatapata fursa yoyote ndani ya chama.

Eti huyo mkuu wao mchawi anataka Urais...nakuambia atausikia kwenye bomba.Tanzania ina watu wanaomwabudu Mungu kamwe hawataongozwa na vigagula.
Hawa si kuwaacha kubaki chamani.
 
Nimesoma maelezo ya JULIANA, BEN SAANANE na MTELA, inaonekana kama maelezo ya Juliana na Mtela yanafanana. Kwa busara waliyotumia Mkiti na Katibu mkuu kwa muda wote huo waitumie ili hawa wasaliti wajiondoe wenyewe bila kufukuzwa.
Fumbua macho mkuu. "Yale yote ni mawazo ya mtu mmoja".
 
Wanabodi,

Ametoa kauli hiyo alipoulizwa na Mtangazaji wa ETV Kuhusu usaliti unaofanywa na Wanaoumbuliwa na Kamanda BEN Saanane. Amedai wanafanya hayo wamkimlenga Dr kwa Mapendo watanzania waliyo nayo anzia akiwa Mbunge wa Karatu na URAIS.

Hivyo kuna kundi linawatumia kwani linamwona Dr Slaa ni tishio linatumia fedha nyingi kuwapa wamwangamize. Akashukuru USALITI wao umebainika na chama kitawashulikia kwa mujibu wa taratibu bila kujali wao ni wakina nani.

Wazee wa PM7 Mmeshanipata?

Wana JF Habari ndiyo hiyo toka kwa Mnadhimu wa Kambi RASMI.

Changia maoni juu ya mtazamo wa kamanda Lissu dhidi ya wakina masalia or PM7, Hatua watakazochukuliwa.

mimi binafsi leo nina raha sana Zitto apewe adhabu hata ikiwezekana........ni mtoto mdogo sana ana tamaa kutokana na umasikini wa maisha yake ya nyuma. amesaidiwa kung'aa lakini lakini analeta upuuzi kama wa kaborouh. kuna watu wanajua sana kusema yeye ni mshenzi tu.
 
Tundu kanifurahisha jinsi alivyojionyesha kuwa haendekezi ujinga. Wote tunamkumbuka alivyopigwa na Polisi kule Tarime hadi kuchaniwa nguo kwa kutetea haki na bado hajatumia tukio hilo kujijenga binafsi kisiasa.
 
kwa mara ya kwanza,zzk na tundu lissu walipo kaa bungeni pamoja walikua kama kulwa na doto! lakini taratibu kwenye mwezi wa 2,nikaona kama zitto yuko mbali sana na lissu,tofauti na bunge la 8,hapo wenye akili tukajua ni yaleyale ya azimio la arusha!sasa nimeamini zitto kabwe kapewa limbwata na mwiguku sijui mwigulu! zitto umechemsha sana!pamoja na kwamba wewe ni kijana mjenga hoja mzuri lakini kwa haya yanayo endelea katika sabato masalia,bila kuuma maneno kijana ume mbwela! na sasa vijana tutafanya kazi ya bila kulipwa ya kukupinga kwa nguvu zote! mimi nilitegemea 2015,rais DR SLAA atakapo tangaza baraza la mawaziri nawe utakua mmoja wapo ,lakini wewe ndio wa kwanza eti unataka uraisi,sasa dr slaa vijana wake watakua ni akina nani? yaani slaa! awe waziri kwako,mdogo wangu hapo umepotoka sasa jitoe mapema chadema kabla hatujakutoa! kizuri zaidi akili katika kizazi cha sasa mmetupa wenyewe nammetufungua kwa mengi! lakini wewe unataka kuturudisha tuliko toka! kijana itakula kwako! jana ilikua zamu yako leo imekula kwako,utajibeba!
 
Hana lolote huyo Lissu, hakuna mwenye ubavu wa kumfukuza Zitto CDM,labda wafukuze genge la kina Ben. Zitto na Mbowe ndio CDM,bila wao CDM haimalizi miezi 6.
 
Back
Top Bottom