Tundu Lissu: Hakuna atakayefanya kazi za CCM akajiita mwana CHADEMA tukamwacha

Yuko sahihi lazima wawe wakali kusimamia maadili na miiko ya chama kuliko kuwachekea chekea tu chama kinakufa
 
Mtu ana pokuja na hoja ya kusema kwamba sijawai kuwa mwanachama wa chama chochote zaidi ya cdm kama defence si dhani kama ushahidi tosha wa kuto weza kusaliti chama!

Na huu si ushahidi ya kwamba kuwa kwakuwa mtu alishakuwa mwanachama wa chama kingine zaidi ya chadema ndio ana weza kuwa msaliti

hizi hazitoshi kuwa hoja ya kutoweza kusaliti chama.

Pengine mtu anaweza akawa hajawai kuwa mwanachama wa chama kingine lakini akatumika kusaliti chama!

Nimefurahishwa na kauli ya Mh Tundulissu!

calm down! calm down! bro nakuheshimu sana,nikicheki hizi comments zako za mwaka 2012 zina pingana na comments za 2015 au ume jisahau? au wafata upepo? au una tumika?

thank u jf!
 
Sito kubali kuunga mkono mtu anaye onesha uchawi hadharani badala ya hoja! Na hii ni mbinu moja wapo ya kudhoofisha chama kionekane cha washirikina! Nilimuamini sana lakini kwa hili hapana, hapana.

Hata wakijaribu kumsafisha vip sito kaa kumuamini mtu anaye apa kuangamiza hadi panya kwa ushirikina ukiangalia majibu yake unajua hoja ya ukanda na ukabila ccm waliitoa kwake ndio maana kila leo wamekuwa wakimsifu!

is that you bro? ha ha ha

thank u jf!
 
Duh hii ni noma Rutta kazi unayo. Yaani uunakula matapishi yako loh na tai shingoni. Na maandiko yapo duh wewe ni mtu wa kipekee.
 
calm down! calm down! bro nakuheshimu sana,nikicheki hizi comments zako za mwaka 2012 zina pingana na comments za 2015 au ume jisahau? au wafata upepo? au una tumika?

thank u jf!

By

here we go!

is that you bro? ha ha ha

thank u jf!

Duh hii ni noma Rutta kazi unayo. Yaani uunakula matapishi yako loh na tai shingoni. Na maandiko yapo duh wewe ni mtu wa kipekee.
Jamaa sijui nini kimemfanya aingie Lumumba fc
 
Back
Top Bottom