Tundu Lissu hajafuat utaratibu sawa, kiongozi anayefuata utaratibu nchi hii?

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,448
2,000
Naombeni mnitajie kiongozi wa nchi hii anayefuata utaratibu katika shughuli za serikali.
Taarifa ya CAG ni moja ya ushahidi unaoonyesha hakuna kiongozi malaika nchi hii.
Ifike hatua tukubaliane kuwa wote tuna dhambi na tuungane dhambi zetu mbele ya mwenyezi MUNGU ili tusamehewe.
Jamani Jehanamu ya moto ipo ohooo!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom