Tundu Lissu fanya ufanyalo lakini usiwaamini sana CHADEMA

East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
689
1,000
Nakumbuka kipindi Slaa alivyopigania Sana chadema hadi ikapanda chati Sana.

Watu walipenda CHADEMA Kwa kuwa na Imani na Slaa na sio akina Mbowe na wenzake wa Kili.

Lakini mwishowe wanaletwa mtu mwingine agombee uraisi.
Kwa hiyo na wewe kaka angu mpendwa hao watu USIWAAMINI kupita kiasi. Wanaweza kukutosa vby Sana na ukatamani Bora ufe.

Hicho chama cha wachaga huwa hao watu wanajithamini wao zaidi kuliko wewe KIASAKA wa kuja kutoka Singida.

Kaa Kwa akili huku ukijua watakutosa tu siku moja. Penda usipende.

Angalia akina Slaa, Zito, Chacha Wangwe na akina Kafulila ndio utajua na wewe you"re the next.

Kazi Kwako to take or not.

East African

Tofa
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
3,991
2,000
Kwani ukipigania chama nilazima upewe nafasi ya kugombea Urais kama ndo hivo wakina Nape wangekua waziri mkuu au makamu wa Rais
 
East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
689
1,000
Ukiishiwa hoja ni bora ukakaa kimya, tena ni bora ukawa msomaji ili ujifunze kuliko kuleta matapishi haya
Huo ndio ukweli hakuna kushiwa hoja.
Mnamtunia vby kaka wa watu then mnakuja kumtukana na kutokumdhamini.
Wachaga tunawajua. Hata mkifungua duka hamuwezi kuajiri Mtu asiye mchaga hadi muende Moshi kutafuta wa huko.

Tofa
 
  • Thanks
Reactions: UCD

East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
689
1,000
Kwani ukipigania chama nilazima upewe nafasi ya kugombea uraisi.....kama ndo hivo wakina Nape wangekua waziri mkuu au makamu wa Raisi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nn mlimtosa Slaa mkampa fisadi Lowasa mliomtangaza kiaka yote.
Sisi wananchi sio wajinga kihivyo. Kuna vitu tunapenda vibadilike ila sio huo upuuzi wenu huko Ufipa.

Tofa
 
  • Thanks
Reactions: UCD

East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
689
1,000
Sina chama hadi sasa ila najaribu kupima na kulingabisha maneno na vitendo vyenu. Sio kila mnachopinga tukubaliane na nyie. Lazima tuwapinge Kwa hoja na mnapaswa kuzikubali.

Tofa
 
  • Thanks
Reactions: UCD

Koffi Yardley

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
481
500
Huo ndio ukweli hakuna kushiwa hoja.
Mnamtunia vby kaka wa watu then mnakuja kumtukana na kutokumdhamini.
Wachaga tunawajua. Hata mkifungua duka hamuwezi kuajiri Mtu asiye mchaga hadi muende Moshi kutafuta wa huko.

Tofa
Kwa hao jamaa ISEMBO inamaanisha MPUMBAVU. Kwa hao jamaa Wachagga - MASEMBO (pluralis) hawakubaliki kwani kwa WINGI wanaweza hata kumsimika madarakani ISEMBO mwenzao kupitia sanduku la kura. Just imagine. Back to the point, wewe kama ISEMBO na post yako ya ki-ISEMBO hujui lolote. Mada za kikabila ni zenu MASEMBO katika karne ya 21 bado ni masembo, albeit bushmen licha ya jitihada za kuwatoa humo. You have such amazing affinity to the bush that you cant leave the bush behind you. At best, FICHA upumbavu wako, hadharani unajidhalilisha. Waambie na wenzio, upuuzi wa kufikiria ukabila muache
 
shujaa mjinga

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
377
500
Huo ndio ukweli hakuna kushiwa hoja.
Mnamtunia vby kaka wa watu then mnakuja kumtukana na kutokumdhamini.
Wachaga tunawajua. Hata mkifungua duka hamuwezi kuajiri Mtu asiye mchaga hadi muende Moshi kutafuta wa huko.

Tofa
Mmeshindwa kumuua kwa risasi sasa mshakuwa mshauri wake! Inachekesha kweli yani ibilisi kawa mshauri wa binadamu ili aende peponi
 
East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
689
1,000
Kwa hao jamaa ISEMBO inamaanisha MPUMBAVU. Kwa hao jamaa Wachagga - MASEMBO (pluralis) hawakubaliki kwani kwa WINGI wanaweza hata kumsimika madarakani ISEMBO mwenzao kupitia sanduku la kura. Just imagine. Back to the point, wewe kama ISEMBO na post yako ya ki-ISEMBO hujui lolote. Mada za kikabila ni zenu MASEMBO katika karne ya 21 bado ni masembo, albeit bushmen licha ya jitihada za kuwatoa humo. You have such amazing affinity to the bush that you cant leave the bush behind you. At best, FICHA upumbavu wako, hadharani unajidhalilisha. Waambie na wenzio, upuuzi wa kufikiria ukabila muache
Na ndio maana tunawaamvia nyie mna ukabila Sana. Masembo ndio hayo majina mnaoita watu wasio wachaga.

Tofa
 
East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
689
1,000
Kwa hao jamaa ISEMBO inamaanisha MPUMBAVU. Kwa hao jamaa Wachagga - MASEMBO (pluralis) hawakubaliki kwani kwa WINGI wanaweza hata kumsimika madarakani ISEMBO mwenzao kupitia sanduku la kura. Just imagine. Back to the point, wewe kama ISEMBO na post yako ya ki-ISEMBO hujui lolote. Mada za kikabila ni zenu MASEMBO katika karne ya 21 bado ni masembo, albeit bushmen licha ya jitihada za kuwatoa humo. You have such amazing affinity to the bush that you cant leave the bush behind you. At best, FICHA upumbavu wako, hadharani unajidhalilisha. Waambie na wenzio, upuuzi wa kufikiria ukabila muache
Acha tubaki na kiasembo wetu ila tushajua malengo yenu.
Kamwe hamtaweza kudanganya watanzania wengine

Tofa
 
  • Thanks
Reactions: UCD

LENDEYSON

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
2,975
2,000
Kwa nn mlimtosa Slaa mkampa fisadi Lowasa mliomtangaza kiaka yote.
Sisi wananchi sio wajinga kihivyo. Kuna vitu tunapenda vibadilike ila sio huo upuuzi wenu huko Ufipa.

Tofa
Kwa hiyo Lowassa Ni mchaga? Wewe Ni MPUMBA.VU WA WAPUMBA.VU kwa sababu unataka kutumia Udini ili kuhalalisha Hoja yako. Slaa hakuwa na makubaliano na Chadema kuwa lazima agombee tena 2015, HAKUFUKUZWA, aliondoka mwenyewe, hao unaowatukana na uchaga wao ndio hao waliokijenga Chama na kumpa kila aliekuja fursa ya Kugombea. Slaa alitokea CCM akapewa nafasi Chadema akagombea Ubunge na baadae Urais, alipopewa alikuwa Mchaga? Kama iliwezekana Slaa kupewa hizo fursa, iweje iwe nongwa kwa Lowassa? Narudia Tena kusema kwamba, WEWE NI MPUMBA.VU, acha kuleta UKABILA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
689
1,000
Kwa hiyo Lowassa Ni mchaga? Wewe Ni MPUMBA.VU WA WAPUMBA.VU kwa sababu unataka kutumia Udini ili kuhalalisha Hoja yako. Slaa hakuwa na makubaliano na Chadema kuwa lazima agombee tena 2015, HAKUFUKUZWA, aliondoka mwenyewe, hao unaowatukana na uchaga wao ndio hao waliokijenga Chama na kumpa kila aliekuja fursa ya Kugombea. Slaa alitokea CCM akapewa nafasi Chadema akagombea Ubunge na baadae Urais, alipopewa alikuwa Mchaga? Kama iliwezekana Slaa kupewa hizo fursa, iweje iwe nongwa kwa Lowassa? Narudia Tena kusema kwamba, WEWE NI MPUMBA.VU, acha kuleta UKABILA!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa yako ni kuwa huwa wanapewa kama kanya boya then baadae unapigwa chini.
Lakini kumbuka kuwa ushauri huu ni wa TUNDU LISU so yeye mwenyewe ni Mtu mzima atachagua kusuka au kunyoa.
Kwisha

Tofa
 
East African

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
689
1,000
Inaendelea sehemu ya 2

Habari zenu ndugu Watanzania wa ndani na nje ya Nchi yetu. Naendelea na makala yangu ambayo niliwekewa hapa Mzalendo.net siku ya Ijumaa ya talehe 15.Febuary 2019.

Kwanini Mwingulu Nchembe aliondolewa nafasi yake ya Wazili wa Mambo ya Ndani?

Ndugu zangu Watanganyika au kama tunavopenda kujulikana Watanzania, munakumbuka katika kipindi cha kupigwa risasi Mh. Tundu Lissu na kukimbizwa Nairobi. Magufuli offcourse alitalifiwa habari hiyo kama kazi imefanyika. Source yetu inatwambia kwamba, Magufuli alitoa tamko lakusikitisha sana sanapale aliwaaambia akina Ndugai kwamba kama Lissu amekufa naakimbizwe katika kijiji chake na afanyiwe mazishi huko kimya kimya. Na hataki kusikia BUnge linasimamisha vikao vyake. Hayo ndio matamshi ya Raisi wa Watanzania ambe ni Mkatoliki na anajifanya yeye ni Mpenda haki.

Katika kipindi hiki Mwingulu Nchembe akiwa bado ni waziri wa mambo ya ndani alipendekeza kufanywe Uchanguzu ule wa Ki CCM na sio wa Wataalamu kutoka nje ya nchi. Lakini Mwigulu huyo huyo hakujuwa kwamba zile CCTV Camera zilitolewa pale palipofanyika tukio la Assassin. Alipojuwa kwamba CCTV zirishaondoshwa kwa kuficha ividance. Ndipo alipotaka kujuwa ni nani alizipachuwa. Source inatwambia kwamba, kulikuwa na kutofahamiana baina ya Makonda na Mwingulu. Hasa kwa vile Mwingulu alitaka ufanyike uchuguzi wa kuziba watu macho lakini Makonda, Musiba na Magufuli walikataa. Kwasababu walijuwa unapofanya uchunguzi hata kama ni wa juju juu basi kuna mambo mengine ya sili yanaweza kuwa revealed. Hapo ndipo Mwingulu Nchembe alipoondolewa katika nafasi ya Wazili wa Mambo ya ndani na habari ya Tundu Lissu ikafifia fifia hadi sasa ndio badhi ya Mawaziri wa CCM wanakuja kusema hakukuwa na CCTV.

Kwanini TUNDU LISSU aritakiwa AFE ?

Ndugu Watanzania tunajuwa kwamba Mh. Tundu Lissu ni mtu aliebobea kwa Sheria na ni msemaji mkuu wa Kambi ya Upinzani ambae sio tuu alifichuwa madudu Mengi ya Mikataba mibovu ya rasilimali za Watanzania. Bali alikuwa pia akikemea sana sakata hili la Rasimu ya Katiba ya Warioba, Kashfa ya ESCROW ambao akina WILLIAM NGELEJA Mbunge wa Sengerema walijigawia pesa hizo millioni 40 ambazo waligawaniwa. Pia JAMES RUGEMARIRA, KIBAIJUNKA; CHENGE na hata baadhi ya Ma Askofu wengi wa Makanisa waligawiwa fedha hizo za ESCROW. Na katibu wa KIKWETE alipata 1.6 billion- Lakini fedha hizo hawakupatiwa wale Wazanzibari ambao tunawatawala kimabavu na kwa nguvu ya Jeshi pale Zanzibar?

Tuliona jinsi Mh. Tundu Lissu alivipiga kele sana kuhusiana na budget ya 2016-2017 ambayo budget hupitishwa na Wabunge ndani ya Bunge ambao walichaguliwa na wananchi. Lakini Mpango wa maendeleo wa 2016-2017 ulikuwa wa maajabu na hakuletwa Bungeni kujadiliwa. Mh. Tundu Lissu na Wapinzani pia walipiga kelele na hata ku block baadhi ya vitu. Magufuli hapo alianza kuingilia hata Muhimili wa Bunge kwa kuwazuia wasitowe Develepment Plan ya mwaka wa budget ya 2016-17. Hapo ndipo Mh. Tundu Lissu aliona kwamba Mamlaka hayo raisi hana na wabunge hawataweza kupitisha budget au kuijadili bila yakuona mipango ya maendeleo. Wakati huu Bunge lilimchaguwa yule TULIA JAKCSON ili akae kama interim Speaker. Kipindi hiki Ndicho Magufuli aliivuruga Budget ya 2016-17 na kuliweka bunge Gizani la Tanzania ambalo linawawakilisha wananchi.

Ndugu Watanzania wenzangu kutokana na hayo machache nilio yataja, Magufuli ariwahi kusema kwamba namnukuu … “Ikiwa kuna mtu anataka kuturudisha nyuma wakati sisi tunataka kwenda mbele basi huyo ni aduwi yetu na hafai kuishi….” Kwahivo Mh. Tundu Lissu kwa muono wa wana CCM waliokuwa Wanachota fedha, hawataki transparent governance, critics, Advices waliona Lissu dawa yake ni KIFO. Mungu hakusimama nao sasa wanafanya njama nyengine na kumkingia Magufuli Kifua.

JEE NI NANI ADUI WA TAIFA?

Mh. Tundu LISSU ndie mmoja aliekuwa akipiga kelele kuhusu uteuzi wa Tulia Jakson ambae yeye alikuwa ni mtumishi wa Raisi Ikulu lakini aliletwa Bungeni kuja kulidhibiti Bunge . Na kama sio kelele za viongozi wa opposition basi TULIA angekuwa ndie Mbunge. Lisu ametowa onyo kwamba utawala wa Magufuli unaelekea kwenye KIDICTATOR. Nakuwahi kusema huyu raisi wetu ni Dictator Uchwara. Mh. Tundu kama Mkuu wa mpizani na mwanasheria mkuu wa Tanganyika Law Society pamoja na elimu yake ya sheria aliona kwamba Magufuli anajipa mamlaka makubwa. Siasa chafu za CCM na ukandamizaji kuhusu Uchaguzi wa Zanzibar 2015. Masuali ya Muungano na Mh. Tundu Lissu kutaka kuona Mkataba wa Muungano pia ni moja ya mambo yaliomkera Magufuli na Genge lake.

Mh. Tundu Lissu pia alisema Serikaliya Muungano inaiba Mabillion ya fedha na watu hawachukuliwi hatuwa yoyote ile wakati wananchi wanakufa njaa na kukosa maji. Wakati wa Mwingulu Nchembe alipokuwa Naibu waziri wa Fedha na kukaimu uwaziri wa Fedha, Billioni 1.2 zilipotea kwa CCM. Alipofanya mahojiano alisema zilikwenda katika kuimarisha maendeleo vijijini. Maendeleo hayo ukiona yanafanywa unawaona UVCCM wapo mbele. Hivo Magufuli ametumia Critics za Chadema kutoka kwa Mh. Tundu Lissu. Zitto Kabwe na Wapinzani wengine kuanza kusaka wanarushwa.

Chakushangaza ambacho sisi Watanganyika na hata Koloni letu Zanzibar hawakijuwi nikutokuwa na uwazi wa hao waliokamatwa kama ni wala rushwa.

Jee wamechukuliwa hatuwa gani?

Jee kesi zao zinaendelea vipi?

Viongozi waliotumbuliwa kwa kutuhumiwa kama ni wala rushwa wa mali ya Umma au mali ya Taifa kwanini kesi zao ziwe ni Siri kubwa?

Ndipo hapo Mh. Tundu Lissu anaposema Magufuli anasema anatumbua watu wala rushwa kwakutaka kujionyesha. Lakini Ukweli ni kwamba Magufuli na UVCCM ambao wengi sasa wamepachikwa kuwa USALAMA wa TAIFA na Wakuu wa Mikoa ndio Wala Rushwa wakubwa.

Please dont mis the next article.

Usikose Kusoma makala yangu nyengine kuhusiana na Mpango wa kumuondoa CAG muislamu ambae anafanya kazi zake vizuri na kumuweka Mkatoliki ambae ataweza kupitisha fedha zakununuwa Wabunge zaidi ya Wapinzani au Kununuwa Kura za Wananchi 2020.. Huu ni Mpango wa Magufuli na Washauri wake wakubwa akina BASHITE.
You"re not analytical enough to anakuse this issue.

Tofa
 
redio

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,114
2,000
Nakumbuka kipindi Slaa alivyopigania Sana chadema hadi ikapanda chati Sana.

Watu walipenda CHADEMA Kwa kuwa na Imani na Slaa na sio akina Mbowe na wenzake wa Kili.

Lakini mwishowe wanaletwa mtu mwingine agombee uraisi.
Kwa hiyo na wewe kaka angu mpendwa hao watu USIWAAMINI kupita kiasi. Wanaweza kukutosa vby Sana na ukatamani Bora ufe.

Hicho chama cha wachaga huwa hao watu wanajithamini wao zaidi kuliko wewe KIASAKA wa kuja kutoka Singida.

Kaa Kwa akili huku ukijua watakutosa tu siku moja. Penda usipende.

Angalia akina Slaa, Zito, Chacha Wangwe na akina Kafulila ndio utajua na wewe you"re the next.

Kazi Kwako to take or not.

East African

Tofa
Tundu Lisu ni mmoja ya watu walioshiriki kikamilifu kumuondoa zito chadema, kuchukua pesa ya maMvi yeye na DJ kumkaribisha maMvi agombee urais, kumtimua Dr slaa Chadema. Yanayo mkuta Lisu kwasasa unaweza kuta ni Karma.Tusuburi tuone mwishoe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BUBERWA D.

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
2,166
2,000
Nakumbuka kipindi Slaa alivyopigania Sana chadema hadi ikapanda chati Sana.

Watu walipenda CHADEMA Kwa kuwa na Imani na Slaa na sio akina Mbowe na wenzake wa Kili.

Lakini mwishowe wanaletwa mtu mwingine agombee uraisi.
Kwa hiyo na wewe kaka angu mpendwa hao watu USIWAAMINI kupita kiasi. Wanaweza kukutosa vby Sana na ukatamani Bora ufe.

Hicho chama cha wachaga huwa hao watu wanajithamini wao zaidi kuliko wewe KIASAKA wa kuja kutoka Singida.

Kaa Kwa akili huku ukijua watakutosa tu siku moja. Penda usipende.

Angalia akina Slaa, Zito, Chacha Wangwe na akina Kafulila ndio utajua na wewe you"re the next.

Kazi Kwako to take or not.

East African

Tofa
Akae akijua wahuni sio watu
 
BUBERWA D.

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
2,166
2,000
Kwa hiyo Lowassa Ni mchaga? Wewe Ni MPUMBA.VU WA WAPUMBA.VU kwa sababu unataka kutumia Udini ili kuhalalisha Hoja yako. Slaa hakuwa na makubaliano na Chadema kuwa lazima agombee tena 2015, HAKUFUKUZWA, aliondoka mwenyewe, hao unaowatukana na uchaga wao ndio hao waliokijenga Chama na kumpa kila aliekuja fursa ya Kugombea. Slaa alitokea CCM akapewa nafasi Chadema akagombea Ubunge na baadae Urais, alipopewa alikuwa Mchaga? Kama iliwezekana Slaa kupewa hizo fursa, iweje iwe nongwa kwa Lowassa? Narudia Tena kusema kwamba, WEWE NI MPUMBA.VU, acha kuleta UKABILA!

Sent using Jamii Forums mobile app
hapo pana tatizo hata utukane vipi. sie tutaendelea kuwatukana kwenye sanduku la kura
 
DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
23,921
2,000
Nakumbuka kipindi Slaa alivyopigania Sana chadema hadi ikapanda chati Sana.

Watu walipenda CHADEMA Kwa kuwa na Imani na Slaa na sio akina Mbowe na wenzake wa Kili.

Lakini mwishowe wanaletwa mtu mwingine agombee uraisi.
Kwa hiyo na wewe kaka angu mpendwa hao watu USIWAAMINI kupita kiasi. Wanaweza kukutosa vby Sana na ukatamani Bora ufe.

Hicho chama cha wachaga huwa hao watu wanajithamini wao zaidi kuliko wewe KIASAKA wa kuja kutoka Singida.

Kaa Kwa akili huku ukijua watakutosa tu siku moja. Penda usipende.

Angalia akina Slaa, Zito, Chacha Wangwe na akina Kafulila ndio utajua na wewe you"re the next.

Kazi Kwako to take or not.

East African

Tofa
Achana na Tundu Lissu wewe,muuaji mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom