Elections 2015 Tundu Lissu: Edward Lowassa ndiye mgombea urais wa CHADEMA na UKAWA

"Bad Card"
You a-go tired fe see me face;
Can't get me out of the race.
Oh, man, you said I'm in your place
And then you draw bad cyard -
A-make you draw bad cyard,
And then you draw bad cyard.
Propaganda spreading over my name;
Say you wanna bring another life to shame.
Oh, man, you just a-playing a game
And then you draw bad cyard (draw bad cyard);
A-make you draw bad cyard (draw bad cyard);
A-make you draw bad cyard.
I want to disturb my neighbour,
'Cause I'm feelin' so right;
I want to turn up my disco,
Blow them to full watts tonight, eh! -
In a rub-a-dub style, in a rub-a-dub style,
In a rub-a-dub style, in a rub-a-dub style.
'Cause we guarding the palace so majestic;
Guarding the palace so realistic!
Them a-go tired to see we face (oh yeah!),
Me say them can't get we out of the race;
Oh, man, it's just a big disgrace.
The way you draw bad cyard (draw bad cyard);
The way you make wrong moves (make wrong moves);
The way you draw bad cyard (draw bad cyard);
A-make you draw bad cyard (draw bad cyard);
A-make you draw bad cyard -
In a rub-a-dub style, rub-a-dub style,
In a rub-a-dub style - [fadeout]
 
Mwenye clip ya Kikwete akiimba ule wimbo wa Kambi Lowasa kwenye NEC aniwekeee.
Pls.
 
Sasa nimewadharau sana wapinzani hasa kwa kuwachukulia watanzania kuwa ni majuha wasioweza kujua kipi sahihi na kipi si sahihi, na nina
hakika watajuta mwaka huu.
Hakuna mtu aliyepewa haki ya kuamua wananchi waamue nini, mmevunja mioyo ya watu wengi na kwa hakika msubiri hasira zao mwezi october.
 
Itakuwa upumbavu wa hali ya juu kumpigia kura Ndugu Lowassa. Haiwezekani mtu akalazimisha urais kwa kiasi hiki. Inatia shaka. Anyway, all the best wapiga kura.
 
Itakuwa upumbavu wa hali ya juu kumpigia kura Ndugu Lowassa. Haiwezekani mtu akalazimisha urais kwa kiasi hiki. Inatia shaka. Anyway, all the best wapiga kura.

Mi nadhani Lowasa ana tatizo la kisaikolojia anahitaji daktari.
 
Matendo ya CCM yanathibitisha Lowasa ni safi.Kama ni mchafu wangekuwa wameshamchukulia hatua.
Haingii akilini mtu alikuwa mwizi halafu wasiwe wamemchukulia hatua muda wote
 
Matendo ya CCM yanathibitisha Lowasa ni safi.Kama ni mchafu wangekuwa wameshamchukulia hatua.
Haingii akilini mtu alikuwa mwizi halafu wasiwe wamemchukulia hatua muda wote

mbona ni kawaida ya CCM kutokuwachukulia hatua walafi na wezi wa mali za uma?
 
Makamanda kumekucha tena.

NIMEMSIKILIZA LOWASA KWA MAKINI SANAAA.... KUANZIA DAKIKA HII NAMUONDOA KATIKA ORODHA YA UFISADI WA RICHMOND. Naunga mkono hoja ya Mbowe sihitaji Slaa afafanue zaidi. shikamoo UKAWA ! nimeshajiandikisha kupiga kura. OCTOBA nawapitisha. MOVIE imeenda wakati muafaka mana washkaji kijiweni DAR kesho watinga kujiandikisha. letu lilelile byebye ccm.
Nape tunakuchech kwenye side mirror na gori lako la kisigino.
 
Lowasa nakupa hongera kwa maamuzi uliyochukua...kwa ajili ya kutaka kuwakomboa watanzania...wabunge wote waliokuunga mkono nao wakufuate kama hawakua wanafiki ..watanzania tuko pamoja na wewe katika safari ya matumaini... Mungu akusaidie.
 
So far Lowassa anastahili credit
anayoyafanya kwa CHADEMA ni sawa na mtu kufanikiwa kumuoa mwanamke uliewahi kumbaka na kumuulia mumewe zamani
halafu mwanamke huyo sasa yuko in love na wewe na unapeleka posa na inakubaliwa kwa vigelegele
few people can....

Khaaaaaaaa.
Si mchezo
Kwa nini umesema hivyo mkuu?
 
Back
Top Bottom