Elections 2015 Tundu Lissu: Edward Lowassa ndiye mgombea urais wa CHADEMA na UKAWA

Kuleni matapishi tu hakuna jinsi!!!!!!!!!!! I will be sitting some where watching this amazing show!!!!:behindsofa::popcorn:
 
Lissu atamuua JK na CCM, sasa JK huko Australia sijui atakuwa ICU sielewi...

Lowassa ni mpango wa Mungu..na ataingia Chadema, Ukawa na mamilioni ya wana CCM na wananchi wengine mamilioni... CCM inaenda kufa rasmi...

Hakika, Mungu akiamua kukuua, ataunganisha kila kitu ufe, ndio nayaona kwa CCM, yale ya KANU yanatokea, maneno ya Mwl. Nyerere yanatimia..

Lowassa + Ukawa, hakuna namna CCM ipone hakuna, ni kifo tu.. yaani, kweli kifo kikifika, kimefika...

Na mm nasema, CCM ife tu kabisa, hawakusikiliza sauti ya wananchi... wafie mbali hukoooo
 
Yaani hii game UKAWA na Lowassa waliocheza, duniani wataikumbuka, Kenya waliweza, sasa Tanzania wanafuata...eeehhh.... CCM hawakutegemea hili, hata hawajui nn kinaendelea hv sasa, wanaona vumbi tu... yaani
 
So far Lowassa anastahili credit
anayoyafanya kwa CHADEMA ni sawa na mtu kufanikiwa kumuoa mwanamke uliewahi kumbaka na kumuulia mumewe zamani
halafu mwanamke huyo sasa yuko in love na wewe na unapeleka posa na inakubaliwa kwa vigelegele
few people can....

nimeupenda mfano wako
 
Tuhuma zinaweza kuwa na ukweli au uongo. Takukuru vyombo vingine vithibitishe ufisadi wa Lowassa na pia ukithibitika aswekwe lupango. hapo ndipo kaimani kadogo kwa serikali ya ccm katakapofufuka.
 
I will follow you anyway, Mr White Hair, nimejiandikisha kwa ajili yako. Japo ubunge nitampa ccm, ninamjua yupo vizuri kama wewe.
Ila usitoe siri za nchi na za ccm kwa watu au Chadema, uwe salama.
 
Unapofika muda wa kukata mti ambao umeacha kuzaa matunda, huwa ni lazima ukatwe tu, haijalishi utatumia kifaa gani kuukata!
 
Wote wanaofurahia kumkaribisha Lowassa, wao wanauhakika gani watachaguliwa tena kuwa wabunge? Wakishindwa itakuwaje wasiorudishwa bungeni na wananchi?
 
Mudawote

........dawa ni kali sana subiri ikuingie taratibu / tatizo ni mfumo wa CCM nguvu za ziada na zana za kisasa zinahitajika hapa,


tuuondoe kwanza ukiritimba wa CCM then much much better of strategic to follow,


...zina hii mpya inafaha vema kichwa cha joka hili kilipo au kilipoanzia mpaka mkiani,


...ni ngumu sana kulishambulia dubwana usilolifahamu vema ukaweza kulishinda.......ni ndoto maana kila siku utaishia kulipiga mkiani badala ya kuligonga kichwani!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom