Hakika nawaambia weng hawatoamin kitakachotokea dr slaa hana uchiz wa kusema kitu ambacho hakna ukwel ndaan yake mim ni mfuas wa upinzan na ctak kabisa chama tawala kiendelee madarakan lakin kwa hili walilolifanya la kumpa m2 mwny mashaka mashaka kugombea urais ni bora niache kufatilia siasa kuliko kumpa kura yng watz weng wanashikiwa akil zaao na wakishika wenywe bac wanaweka mifukon sawa tunataka mabadiliko lakin tuangalia nan anayeleta mabadiliko hayo tucje tukaruka mkojo tukakanyaga mav jaman achen siasa za ushabik ebu tukae chin tufikirie iv mtu kama slaa azushe mambo kama haya inakuja akilin...changanya na akil zako tufanye ya maana
Hujawahi kushabikia upinzani so pita kushoto tuache na UKAWA yetu