Tundu Lissu(CHADEMA), iga mfano wa mbunge Elibariki Kingu (CCM)

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,446
2,000
Elibariki Kingu ni mbunge wa jimbo la Singida Magharibi mkoani Singida.Kutokana na upungufu wa zahanati na madawati kwenye jimbo lake ameamua kukataa posho za vikao vya bunge na kumwandikia spika azielekeze pesa hizo kwenda kutatua matatizo ya wananchi jimboni kwake singida magaribi.Jumla ya fedha za posho kwa miaka mitano ni zaidi ya millioni 200.

Jambo hili ni la kupongezwa sana kwa mbunge huyu kijana Elibariki Kingu, ameonyesha kweli anachukizwa na umasikini wa wapiga kura wake na si kupiga makelele tu with zero actions kama wabunge wengi wanavyofanya.

Tundu Lisu (chadema) ni mbunge wa mkoani singida pia na jimbo lake ni masikini kuliko majimbo yote mkoani hapa. Huduma za Maji, barabara, elimu, afya etc, ni mbovu mno jimboni kwa Lisu.

Swali kwa nini sasa Lisu asipeleke hela ya posho kutatua kero za wananchi jimboni kwake?

Pesa za posho zaidi ya million 200 unapeleka wapi na jimboni huonekani??

Kweli mbunge wa CCM Elibariki Kingu awe na uchungu kwa wananchi wake kuliko wewe Tundu Lisu mbunge wa CHADEMA?

Tundu Lissu jitafakari vinginevyo uchaguzi wa 2020 utang'oka .
Kwa ujinga wako unamwona Tundu Lissu peke yake kati ya wabunge 400 wa Bunge la Jamhuri?
 
BAKOI

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
1,193
2,000
Kama umegundua kitu tazama jina ""Elitwege""" na ""Elibariki"""""
Naamini utakuwa umepata jibu.

Yaani huyu amekuja kujipigia debe tazama uandishi wake huku halafu nenda kule Fb ukaone
 
ngalakeri

JF-Expert Member
Jul 17, 2014
1,468
2,000
Nani kakuambia kerb za wananchi zinatatuliwa na posho ya mbunge! Huyu si ndio yule mbunge alisema yuko tayari kufukuzwa uanachama wa CCM kama Bashite hatachukuliwa hatua kwa kuvamia clouds!
 
Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,125
2,000
Nonsense, huwezi maliza matatizo kwa petty things of that nature, labda kwa wasiojielewa. You have to mobilize the people themselves for self help! Una hela gani za kuwatatulia matatizo yao? Labda kofia, kanga na fulana! Posho, nonsense!
Lakini si afanye hata kidogo tuone
 
Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,125
2,000
Nonsense, huwezi maliza matatizo kwa petty things of that nature, labda kwa wasiojielewa. You have to mobilize the people themselves for self help! Una hela gani za kuwatatulia matatizo yao? Labda kofia, kanga na fulana! Posho, nonsense!
Anasubiri nini kuwa organize wana singida for self help?
 
Lwamadovela

JF-Expert Member
Mar 5, 2019
305
250
Kakojoe uludi kulala
Elibariki Kingu ni mbunge wa jimbo la Singida Magharibi mkoani Singida.Kutokana na upungufu wa zahanati na madawati kwenye jimbo lake ameamua kukataa posho za vikao vya bunge na kumwandikia spika azielekeze pesa hizo kwenda kutatua matatizo ya wananchi jimboni kwake singida magaribi.Jumla ya fedha za posho kwa miaka mitano ni zaidi ya millioni 200.

Jambo hili ni la kupongezwa sana kwa mbunge huyu kijana Elibariki Kingu, ameonyesha kweli anachukizwa na umasikini wa wapiga kura wake na si kupiga makelele tu with zero actions kama wabunge wengi wanavyofanya.

Tundu Lisu (chadema) ni mbunge wa mkoani singida pia na jimbo lake ni masikini kuliko majimbo yote mkoani hapa. Huduma za Maji, barabara, elimu, afya etc, ni mbovu mno jimboni kwa Lisu.

Swali kwa nini sasa Lisu asipeleke hela ya posho kutatua kero za wananchi jimboni kwake?

Pesa za posho zaidi ya million 200 unapeleka wapi na jimboni huonekani??

Kweli mbunge wa CCM Elibariki Kingu awe na uchungu kwa wananchi wake kuliko wewe Tundu Lisu mbunge wa CHADEMA?

Tundu Lissu jitafakari vinginevyo uchaguzi wa 2020 utang'oka .
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
30,805
2,000
Anasubiri nini kuwa organize wana singida for self help?
Unahitaji msaada wewe
tapatalk_1558852214951.jpeg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom