Tundu Lissu(CHADEMA), iga mfano wa mbunge Elibariki Kingu (CCM)

Hayo ni matumizi mabaya ya posho.

Ilipaswa serikali ipeleke huduma...ndio kazi yake.

Kwanza mil 200 unajenga zahanati ngapi?? Labda za tope
 
Uhuu niujinga kwani milioni 200 zitasaidia nini badala ajenge hoja na kuishauli serkali yeye anajifanya mfadhili wa jimbo wakati nimaskini.
 
Huyu jamaa ndio mbunge anaejitahidi kwa vitendo ambae angalau huwa namuona kwenye media.
Ningekuwa Tume ya Uchaguzi Ningeunganisha Majimbo yote mawili ili wananchi wachague nani anawafaa naamini huyo wa CCM anawafaa zaidi. Kusije kuwa na mtu anawachelewesha raia wake kwa kichaka cha mambo ya kitaifa
Kwa kuonesha uzalendo ungeanza kuunganisha familia yako na uyo mmbunge wa CCM kwanza tuone uko siriaz.Kwani serikali haikusanyi kodi?Ni jukumu la nani kutoa izo huduma au wewe na hao waliokutuma mnasubiri tuchange rambirambi muzitumie mtakavyo,mtuletee upupu kama huu.Yeye Tundu afe njaa ili posho yake ikafanye hayo CCM wasichofanya kama wajibu wao kwa walipa kodi!Mbona Makufuli,Kikuwete ...hawatumi posho zao kufanya haya unayotuhadisia hapa.Ungejiongeza kidogo uache kuwa na akili za kuvaa nepi,ushakuwa mtu mzima ww.
 
Ebu nyie ccm na serikali yenu anzeni kuiiga China ili mtutoe huku kwny huu umasikini aseee km mnaona kuiga raha
 
Unataka kuniambia ngada za baba wema sepe zimeharibu ubongo wako kiasi hiki??
Hahahaa hapana huo ni mtizamo wako tu.Nadhani ww zile za kina SISIEMU ndo dozi imekuingia sawasawa maana asilimia kubwa ya waliotajwa ni wenzio wa chama pendwa.
 
Inamaana unapendekeza hata baadhi ya walimu wakuu waanze kutumia pesa zao kwaajili yakutafuta walimu wakufundisha wanafunzi ili kutatua matatizo ya kutokua nacwalimu hasa shule zenye walimu wachache,serikali inatakiwa itatue,wakifanya hivyo wewe utajua hao wakuu wa shule ni wazalendo na ni wachapakazi?
 
Ni muhimu wabunge wa upinzani,na wote kwa ujumla kujitathmini kila wakati.
Binafsi, ninampongeza sana [HASHTAG]#Kingu[/HASHTAG] kwa jitihada anazozionesha.
Wabunge wa upinzani,acheni ubahiri.
 
Atashindwaje Magu kuteua watu wa act badala ya ccm kwa mawazo ya kijinga kama haya!?
 
Kwanini utake Tundu Lisu
Afanye ya kingu wa ccm ?mbona mnapoua na kuteka nyara watu,na kubambika wananchi kesi na kufuja kodi zetu,hamumshirikishi Lisu ? Waovu nyie kaeni
na uovu wenu,kama kiranja wenu ameishindwa nchi !, hiyo ni kazi yake,sio ya Lisu.
 
uyo kingu kuna kifungu kina mbana yy kufanya hayo?serikali kuu iko wapi km wabunge wakifanya izo kazi?alieweka posho kwa wabunge alikua na lengo ilo?mpeni mbunge mamlaka ya kukusanya kodi jimboni kwake ili aweze tatua hizo changamoto
Kama nakuona vile,niliitarajia hii spesheli kutoka kwako.
 
Hapa siyo kumaliza matatizo, ni ngumu kumaliza matatizo yaliyotengenezwa na ccm miaka zaidi ya miaka hamsini kwa miaka mitano.
Kwa mtu mwenye logic hawezi jibu kama ulivyomjibu huyu mtu wa ccm.
Isifike wakati siyo kila kitu kinachofanywa au kutofanywa na viongozi wa vyama tunavyovishabikia ni lazima tuviunge mkono.
KAMA KINGU ANATUMIA POSHO KWA KUBORESHA JIMBO LAKE...HUENDA LISSU ANATUMIA NJIA NYINGINE.
Siyo lazima Lissu pia atumia posho.

Nonsense, huwezi maliza matatizo kwa petty things of that nature, labda kwa wasiojielewa. You have to mobilize the people themselves for self help! Una hela gani za kuwatatulia matatizo yao? Labda kofia, kanga na fulana! Posho, nonsense!
 
Elibariki Kingu ni mbunge wa jimbo la Singida Magharibi mkoani Singida.Kutokana na upungufu wa zahanati na madawati kwenye jimbo lake ameamua kukataa posho za vikao vya bunge na kumwandikia spika azielekeze pesa hizo kwenda kutatua matatizo ya wananchi jimboni kwake singida magaribi.Jumla ya fedha za posho kwa miaka mitano ni zaidi ya millioni 200.

Jambo hili ni la kupongezwa sana kwa mbunge huyu kijana Elibariki Kingu, ameonyesha kweli anachukizwa na umasikini wa wapiga kura wake na si kupiga makelele tu with zero actions kama wabunge wengi wanavyofanya.

Tundu Lisu (chadema) ni mbunge wa mkoani singida pia na jimbo lake ni masikini kuliko majimbo yote mkoani hapa. Huduma za Maji, barabara, elimu, afya etc, ni mbovu mno jimboni kwa Lisu.

Swali kwa nini sasa Lisu asipeleke hela ya posho kutatua kero za wananchi jimboni kwake?


Pesa za posho zaidi ya million 200 unapeleka wapi na jimboni huonekani??

Kweli mbunge wa CCM Elibariki Kingu awe na uchungu kwa wananchi wake kuliko wewe Tundu Lisu mbunge wa CHADEMA?

Tundu Lissu jitafakari vinginevyo uchaguzi wa 2020 utang'oka .
Unamaanisha kuwa NATURALLY kiongozi WA CCM hategemewi kuwa na uchungu na wananchi au? Tuanzie hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom