- Thread starter
- #61
Hata mwendazake alikuwa anasema ardhi yote ya Tanzania ilikuwa mali yake na kibanda nilipojenga alikuwa anakimiliki, 😁😁😁😁😁Ukoo wa kambale. Kama Mbowe mwenyewe mmeshindwa kumwambia asijimilikishe chama mna guts gani za kudai eti katiba si mali ya Rais? Kwa taarifa yako katika nchi yetu Rais anamiliki hadi ardhi ulipojenga kibanda chako. Hutaki hamia Rwanda.