Tundu Lissu: CHADEMA haijahodhi mchakato wa Katiba bali inaongoza mapambano, anayetaka ajiunge nayo

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
20,035
2,000
Who cares kuhusu kusahau au kukumbuka mtu? What we care ni ideals, ni principles, ni falsafa zenye tija. Hakuna mwenye time na mtu binafsi sisi tunataka mambo yatakayonufaisha vizazi na vizazi. Na hayo ndiyo mtangulizi wa mama alitumia miaka mitano kuyakita kwenye mioyo yetu na ndiyo hayo mama analazimika kuyatekeleza. Bado hujajibu swali langu, unataka mama afuate kila mnachokitaka nyie lengo lenu ni nini hasa?
Nimesema akitaka amfuate mwendazake who cares.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,541
2,000
Sasa hii kuipigania katiba mpya ni kitu gani kama si kuwakomboa Watanzania kutoka Serikali ya makaburu wa maccm!? 😳😳😳


Kama huo ndio usaliti basi kumbe hakuna tofauti kati yao na CDM.... CDM ina wanachama na wafuasi wengi wameumizwa, kutekwa, kupotea na wengine kufa wakikipigania chama , vipi kuna hatua gani mmechukua kutafuta haki zao zaidi ya baadhi yenu kuunga juhudi mkono na kuelekea CCM na wengine mnawaita Covid 19 wako bungeni na mmeshindwa kuchukua hatua zozote kitaifa na kimataifa....mmelalamika TL kapigwa risasi nyio ambao sio wasaliti mmechukua hatua gani mpaka sasa? mnalalamika mmeporwa uchaguzi baadala ya kuingia barabarani mkaandamana kwenye keyboard na mgombea wenu mmeshindwa kumlinda kakimbia nchi anaishi uhamisho.....Maalima Seif amepata misukosuko kuliko mwanasiasa yeyote hapa TZ lakini hakuwahi kuishi uhamishoni...... Usaliti ni pamoja na kushindwa kukilinda na kukisimamia unachokiamini + uoga....
 

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
6,586
2,000
Haya ndo madhara ya mama kucheka na nyani,na bado mama asipokaza watamzingua mpaka atachutama.
Mimi bado sielewi... kwani shida ya kudai katiba mpya ni nini?

Katiba ni jambo la kisiasa na kisheria.

Kisiasa, CCM wajibu mapigo; na wenyewe waanzishe makongamano yao ya kusema kwanini tuendelee na katiba iliyopo
Kisheria, Mama Samia halazimishwi kuanzisha mchakato, yeye akae kimya, hata wakipiga kelele vipi, hakuna wa kumshikisha kalamu aanzishe.

Shida iko wapi? Mbona kila kitu CCM inataka itumie dola? Wako wapi kina Malecela na Kingunge wa wakati huu?
 

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
5,514
2,000
Acha kutukana watu. Watanzania wanataka katiba yao. Waryoba alikusanya maoni ya Watanzania. Wewe unawaita nyani. Nyani ni mamako basi. Nchi hii ni ya Watanzania. Siyo ya CCM, Samia na polisi.
Haya ndo madhara ya mama kucheka na nyani,na bado mama asipokaza watamzingua mpaka atachutama.
 

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
6,586
2,000
mnalalamika mmeporwa uchaguzi baadala ya kuingia barabarani mkaandamana kwenye keyboard na mgombea wenu mmeshindwa kumlinda kakimbia nchi anaishi uhamisho
Wewe hujui chochote kuhusu mapambano. Swala la kwanza muhimu kwenye vita ni kuwa hai. Au hujawahi kusikia "tactical retreat", mtu ashapigwa risasi zote zile unataka abaki hapa nchini ili afe halafu nani atapata faida. Kuishi uhamishoni kwa mwanaharakati ni jambo la kawaida kabisa, walifanya kina Mandela, Samora, OR Tambo etc
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom