Tundu Lissu: 'Bunge la Bajeti' is another silly season!

Ni kawaida ya wanaharakati, bila kupiga makelele huwezi kupata misaada toka nchi za nje! We unafikili sugu(form six failure), mbowe(form six failure) and others wanaweza kuleta mchango gani critically kitaalamu?
 
Hawa ndiyo waataalam wenu Mwigulu,Lusinde,Komba,..endeleza list ya vilaza wenzako!Wananchi wameshagundua nani muongo kati ya CCM na CDM ungejaribu kuwaelimisha hao ambao mulikuwa mumewaweka misukule kwa miaka 50 sasa wamefunguka baadala ya kupoteza muda hapa JF ambavyo watu walishakata shauri long time.

Hivi wewe umepitia budget ya CHADEMA umeisoma? acha wewe nimeona hawana akili timamu hao wanaweza kutupeleka kwenye machafuko. Toa hoja sio kutukana hovyo wasidhani sis wananchi ni wajinga. Watoe upuuzi wao ambao hauna mantiki.
 
Tindu Lissu amedhihirisha leo kuwa he is a world class debator. CCM kwa uzuzu wao wakajiingiza kwenye kwenye mtego. Lissu amechokonoa, na kujaribu kuanika unafiki wao juu ya nani ana-support budget au la, and huyu aneyejiita first class economist hakusoma mchezo badala yake akaanza kufoka. What a silly man? Ingekuwa mahakamani Mwigulu angejikuta ameshavuruga kila kitu maana alichofanya Lissu was to bring the worst out of him/ccm party!
 
Kitu cha ziada ninachompendea Tundu Lissu ni kujiamini kwake! Jamaa ana balls ile mbaya!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Ni upuuzi zaidi kuipuuza CDM na Viongozi wake Ni kupuuza umma wa watanzania
 
Sasa nimegundua CHADEMA ni wapiga kelele tu na ni watu waleta machafuko. Tundu Lisu hanautaalamu wowote.
Halafu report yao ya budget ni kelele tu wanaongea vitu ambovyo hawavijui. Hawana wataalamu wa uchumi na hawaijui tanzania.

Hawa CHADEMA watatupeleka pa baya tuwe makini. Nimesikiliza mijadara ya bungeni hawana hoja yoyote zaidi ya kupiga kelele.

Huu ni ujinga kabisa kuwa na wabunge wasio jenga hoja kama hawa watu.
Budget yao ni yamatumizi ya nyumbani. hawaijui Tanzania.

Dada Annael hata wewe!!!!!!!!!!
 
Ni kawaida ya wanaharakati, bila kupiga makelele huwezi kupata misaada toka nchi za nje! We unafikili sugu(form six failure), mbowe(form six failure) and others wanaweza kuleta mchango gani critically kitaalamu?

Tena nina wasiwasi na huyu tundu lisu kama kweli ni mwanasheria anaonekana kama mpiga debe fulani.
 
Tundu Lisu ni mwiba mbaya.... Japokuwa sijapata the whole thing, but kwa donoa donoa zinazoendelea kutolewa hapa, nakubali kwamba ametoa ujumbe mzito.

Mwenye habari kamili tafadhali, atujulishe, ahsanteni
 
Hivi wewe umepitia budget ya CHADEMA umeisoma? acha wewe nimeona hawana akili timamu hao wanaweza kutupeleka kwenye machafuko. Toa hoja sio kutukana hovyo wasidhani sis wananchi ni wajinga. Watoe upuuzi wao ambao hauna mantiki.

Yaaani Bajeti waliyosoma CDM leo ndiyo chanzo cha Machafuko?Mkuu hiyo ni Economics au Socialogy?Nashindwa kupata ulinganifu wa hayo unayoyaongea!Wananachi wameshtuka endeleeni kuruka sarakasi na taulo mbele ya wageni.
 
Sasa nimegundua CHADEMA ni wapiga kelele tu na ni watu waleta machafuko. Tundu Lisu hanautaalamu wowote.
Halafu report yao ya budget ni kelele tu wanaongea vitu ambovyo hawavijui. Hawana wataalamu wa uchumi na hawaijui tanzania.

Hawa CHADEMA watatupeleka pa baya tuwe makini. Nimesikiliza mijadara ya bungeni hawana hoja yoyote zaidi ya kupiga kelele.

Huu ni ujinga kabisa kuwa na wabunge wasio jenga hoja kama hawa watu.
Budget yao ni yamatumizi ya nyumbani. hawaijui Tanzania.
...wewe ndio bonge la blockhead kuhusu tz.:A S 13:
 
Dada Annael hata wewe!!!!!!!!!!

Acha matusi unanitukana? Mimi sipelekwi pelekwi. Hizo kelele nishabikie? acheni hawa wanania yao. wala sio wataalamu. Chambua budget kwa hoja sio kutukana na kupiga makele ambayo hayana msaanda. Tunategemea CHADEMA wawe wanatoa pointi sasa wanapiga kelele. Sina imani nao tena angalau CCM
 
mwanakwaya ana upeo gani wa bajeti? hii yote ni woga maana wameshaona wanaondoka hata neno silly hawalijui maana yake si tusi kama kumuita mtu kichaa ooh tutapigana ngumi, ni nguvu ya hoja ya lissu sio hoja ya nguvu za komba na nchemba.kwa wawakilishi hawa wa ccm plus nape ccm haiponi wananchi hawataki jazba wanataka upembuzi si mashambulizi ya matusi poleni wote mnaoiunga mkono ccm:flame:
 
Biased story,

We tumaini sema lissu kasema nini , mwigulu kasema nini, sio utafsiri unavyotaka wewe! Ujuzi katika masuala mbali mbali unamata sana acheni porojo katika masuala ya kitaalamu.
 
Back
Top Bottom