Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,157
- 10,655
Kwahiyo sasa anataka kusemaje?Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hali ya kisiasa kwa chama hicho inazidi kuwa mbaya zaidi kwenye serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa sababu sasa hawaruhusiwi hata kufanya mikutano ya ndani.
Lisu amesema kwenye serikali ya awamu ya tano chini ya hayati rais Magufuli waliruhusiwa kufanya mikutano ya ndani na operation mbalimbali kama ile ya Chadema ni msingi walipozunguka nchi nzima.
View attachment 1975316