Tundu Lissu azidi kuwavua nguo CCM!

Naskia kaka mkubwa baharia nyapara wa magogoni soon anaingia mzigoni mwenyewe anasema lumumba nzima wamemshindwaje lisu? Kesho atakuwa live kujibu😂😂😂
 
Nasikia Dawa za Presha zinanywewa kama Karanga hapo Lumumba hahahahaaa!!!
giphy-9.gif
 
Yaani mtu anaeomba hela ya pedi ya mke wake atamvua nani nguo? Anajivua yeye mwenyewe na ole wake akanyage ardhi yetu tukufu, hapo ndipo atakapojua vijana wa nchi hii ni nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama anajivua mwenyewe unaathirikaje na unasema ole wake akanyage ardhi ya tanzania?? Mpuuzi tu wewe nchi syo ya jiwe na bashite hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom