Dk Magufuli namuita KAKA na yeye ananiita mdogo wangu......by Tundu Antipas Lisu!Amesikika kaka mkubwa Tundu Lissu "yeyote ambaye anaona haya mambo hayafai ana wajibu wa kuchukua hatua"
Sent using Jamii Forums mobile app
Chid Benz ameanza....Amesikika kaka mkubwa Tundu Lissu "yeyote ambaye anaona haya mambo hayafai ana wajibu wa kuchukua hatua"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umefurahiiiiiii,yaani kama unaombwa unatoa kabisaDk Magufuli namuita KAKA na yeye ananiita mdogo wangu......by Tundu Antipas Lisu!
Hahahaa..... Kama wewe unavyotoa kabisa hapo Ufipa!Hapa umefurahiiiiiii,yaani kama unaombwa unatoa kabisa
Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
Vijana wa nchi mnapambana na majeruhi?!!!!......Wanaume wa Dar ni shida!Yaani mtu anaeomba hela ya pedi ya mke wake atamvua nani nguo? Anajivua yeye mwenyewe na ole wake akanyage ardhi yetu tukufu, hapo ndipo atakapojua vijana wa nchi hii ni nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa..... Kama wewe unavyotoa kabisa hapo Ufipa!
Sasa kama anajivua mwenyewe unaathirikaje na unasema ole wake akanyage ardhi ya tanzania?? Mpuuzi tu wewe nchi syo ya jiwe na bashite hii.Yaani mtu anaeomba hela ya pedi ya mke wake atamvua nani nguo? Anajivua yeye mwenyewe na ole wake akanyage ardhi yetu tukufu, hapo ndipo atakapojua vijana wa nchi hii ni nani.
Sent using Jamii Forums mobile app