Tundu Lissu azidi kuwavua nguo CCM!

Sasa kama anajivua mwenyewe unaathirikaje na unasema ole wake akanyage ardhi ya tanzania?? Mpuuzi tu wewe nchi syo ya jiwe na bashite hii.
Hawa vijana nina wasiwasi na uwezo wao wa kufikiri .
 
Wewe huenda ungepigwa risasi moja tu ungefilisika.
Hata nipigwe risasi mia ktk mguu mmoja, sifi na sifilisiki.
Vital organs haziko mguuni kunifanya nifilosike na network ipotee kama lissu. Ashukuru hospitali ya serikali ILIOKOA maisha yeke kwa kuzuia asipoteze damu nyingi ila ukipigwa risasi mguuni kama lissu haufi labda uwe na presha ya kuogopa.
 
Hata nipigwe risasi mia ktk mguu mmoja, sifi. Vital organs haziko mguuni. Ashukuru hospitali ya serikali ILIOKOA maisha yeke kwa kuzuia asipoteze damu nyingi ila ukipigwa risasi mguuni kama lissu haufi labda uwe na presha ya kuogopa.
Wewe unasema tu wewe unaetumia Shudu risasi moja tu ya kwenye nwele tunafukia.
 
Yaani mtu anaeomba hela ya pedi ya mke wake atamvua nani nguo? Anajivua yeye mwenyewe na ole wake akanyage ardhi yetu tukufu, hapo ndipo atakapojua vijana wa nchi hii ni nani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ardhi yetu wewe na nani?

Hivi wewe ulichagua kuzaliwa Tanzania?

Tundu Lissu alichagua kuzaliwa TZ?

Kwa natural right,hakuna awezae kuchukua kukuvua your right of land of your ancestors whether wewe au Tundu Lissu au yeyote yule!

Hakuna mahali eti wewe ni Mtanzania zaidi ya yeyote yule!

Na huna mamlaka ya kuvua Utanzania natural wa mtu yeyote indeed aliezaliwa TZ!

Kazaliwa hapa na ancestors wake wapo hapa kama wako wewe,huna mamlaka ya kumkataza asirudi nyumbani kwao!

Kama kuna chochote sheria au chochote kavunja ndio apelekwe mahakamani itoe uamuzi,sio wewe punguani unajitolea amri eti asikanyage ardhi ya Tanzania,kwa misingi ipi?

Ingekua natural rights za watu mtu anakua nazo mkononi anaweza mnyang'anya yeyote then kuna siku Jiwe anaweza amka asubuhi akasema watu wote 60million sio Watanzania na ikapita!
 
Makamanda, tunatuma pesa ya mchango namba ipi? Kamanda lissu asije kufa njaa na watoto kufukuzwa shule. Bado tunampenda.
 
Mtu anaye omba wazungu wamtunzie mkewe kweli anaweza kuivua nguo ccm?
 

mwanasheria uchwara katika ubora wake,hivi hili LISU linataka serikali ikanushe kwa kila utumbo atakausema anafikiri watu hawana kazi za kufanya eeeh?. kama angelikua na chembe ya busara huo uzushi anaodai kuwa ni ushahidi, akiwa kama mwanasheria angeupeleka mahakamani kuliko kubweka bweka kama mbwa asiye meno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom