Kadoda nguku
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 332
- 475
Huyu mgombea wetu na yeye kama Bona Kamoli atapelekaje passpoti ameangalia pembeni? Kama vipi wangemwengua tu ili tupate fundisho mwaka 2025
Watapata tabu sana. Hizi siku 60 kwao ni hell on earth..Wajumbe washafanya yao!
Wanayo mbonaChadema media in failure rekodini wekeni you tube yenu
Za nchi au za chama haijalishi as long as anayezitumia anazitumia na mwingine hazitumii.Resources ni za nchi siyo za chama, hata wewe ukipewa nchi utaweza iongoza..
Ninyi ndo mnafikiria eti magufuli pesa zinazotumika kununua mandege na kujenga maSGR ni zake..
Hujui athari za machafuko acha kuropokaWatanzania maana yake ni kutawaliwa na ccm kwa shuruti? Au unadhani hatuoni wanayofanya ccm ili kutangazwa washindi? Hapa tulipofikia bila machafuko hakuna muafaka.
Hujui athari za machafuko acha kuropoka
Give enough rope to a fool he will hange himself.Watu wakisema huyu mtu anahitaji msaada wa kitaalamu ajatulia mnaona wanamnanga.
Kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kuonekana kituko kwenye jamii yeye kila kitu anafanya tofauti na wenzake.
Jf expect member unaombea nchi ingie kwenye machafuko huna utu wala busara tambua hilo,kama una nguvu zakupigana elekeza jicho kwa watoto,wamama , na wazee,usiangalie kwa jicho LA ubinafsi.amani ni tunuUnajua athari za kuchezea uchaguzi?
Jf expect member unaombea nchi ingie kwenye machafuko huna utu wala busara tambua hilo,kama una nguvu zakupigana elekeza jicho kwa watoto,wamama , na wazee,usiangalie kwa jicho LA ubinafsi.amani ni tunu
Hujui unachokiongea nasikitika kwa maono haya kama kijana,usipinge kila kitu itakujengea Tabia ya chuki na yakudumuUkiona unadhulumiwa kila siku kisha unatakiwa ukae kimya kwa kisingizio cha amani, ujue hiyo sio amani bali ni ukondoo.
Matatizo ni huko kwenu, sikusikiiOngeza sauti sasa nikusikie vzuri. Nilikuwa bze nafuatilia maamuzi ya Tume
Wawe waangalifu wasije kutekwa kabla hawajafika.
Hata huo mkutano wake na waandishi unaweza kuzuiwa ili kumfichia mtu fulani aibu.
Swali la kujiuliza hapa ni je, iwapo Magufuli, kama mgombea, atakuwa ni mmoja wa aliewekewa pingamiza, atajitetea kama mgombea au atajitetea kwa mwamvuli wa Ofisi ya Uraisi?
Binafsi naamini sheria itamtaka ajitetetee kama wagombea wengine.
Tusubiri.
kwani masingira ni nini? au huna meno umeyaacha kwenye ugolo. We ndo una utando kwenye ubongo.Kwa kukuondoa utandi wa ubongo wako... kwa masingira ya sasa lisu anapambana na mgombea sio raisi...
Acha ujinga uende mbinguni mbwam wewe.
Rudi chooni ukamalizie shughuli yako, umetoka na kinyesi kichwani.Alikuomba Nini toka kwako?
Kusema Lissu hajui sheria tyari wewe ni mbumbumbu,kilaza,mpumbavu,mtu usiye na hoja na hmna haja ya kujibizana na mtu km wewe.Tumia akili kidogo kosa la kwanza analoliongelea Lissu kila mgombea aliefuata kanuni za NEC amefanya ivyo isipokuwa peke yake. Kaamua tu kuchagua Magufuli na Lipumba kwa sababu zake.
Ina maana mgombea halali aliyebaki ni yeye mwenyewe. Wengine wote awaelewi sheria.
Sheria yenyewe hajui mantiki ya statutory instruments/by laws/secondary legislations; ni taasisi husika kutengeneza utaratibu wao utakaofaa wa kusimamia majukumu kutokana na mamlaka ya kisheria, yeye anajua kushinda NEC apparently.
Mtatufitieni huyo mtu tiba badala ya kushangilia upuuzi wake.
Huu ndio ukweli mchungu....Miaka mitano watumishi hawakupanda madaraja vyeo na mshahara hawataki kusikia utawala wa magufuli kabsa
Kumbe tatizo lako ni kuamini Lissu is all knowing na awezi kosea if that’s the case then speak for yourself usilazimishe kila mtu amuone Lissu ni mwerevu.Kusema Lissu hajui sheria tyari wewe ni mbumbumbu,kilaza,mpumbavu,mtu usiye na hoja na hmna haja ya kujibizana na mtu km wewe.