Sasa zile teuzi nyingi za makada wa polepole waliokatwa wakati waliongoza kwa kura na watasaidia kampeni itakuwaje?
 
Mungu si athumani yaani , yesu wa ccm kakosea kujaza fomu jamani
Screenshot_20200826-224920.png
Screenshot_20200826-224930.png
Screenshot_20200826-224930.png
Screenshot_20200826-224939.png
Screenshot_20200826-224948.png
Screenshot_20200826-224957.png
Screenshot_20200826-225008.png
Screenshot_20200826-225021.png
Screenshot_20200826-225034.png
no
 
Mapingamizi dhidi ya waliowekewa yametupiliwa mbali na tume, hayana msingi wowote.
 
Vipi wale wanoteka wenzao ili wapite kupigiwa kura

Watekaji nao wamo kwenye hiyo mambo ya suluhu. Kwenye kupata suluhu maana yake ni kurejesha majeshi yote nyumbani tuongee kutohujumiana.

Ungekuwa mwanzo mzuri ambapo hujuma zote tokea kila upande zingesita kwanza.
 
Upinzani hauna guts na resources za kuexecute haya yanayoendelea. Mabeberu nguvu yao ipo kwenye vikwazo, Hivi Wale chama tawala asili waliokuwa wanasemwa semwa walipotelea wapi?
Resources ni za nchi siyo za chama, hata wewe ukipewa nchi utaweza iongoza..

Ninyi ndo mnafikiria eti magufuli pesa zinazotumika kununua mandege na kujenga maSGR ni zake..
 
1. Ni hoja zenye viambatanisho vya vifungu vya sheria na kanuni za uchaguzi wa Rais na Wabunge mwaka 2020...

2. Huyu mtu (Tundu A.M. Lissu) si wa kawaida. Ni very genius. Ana akili nyepesi sana, inafanya kazi haraka na kwa wepesi wa hali ya juu na kuchambua mambo ya kisheria katika namna ya kipekee sana...

3. Ndani ya masaa machache sana, amepitia nyaraka za wagombea hawa wawili na kunasa makosa kibao. Kaangalia KANUNI na SHERIA na kugundua kuwa wameingia chaka na kwa hiyo kwa maelezo yake anasema "imekula kwao" kwa mujibu wa sheria waliozipitisha mwenyewe...

Je, Lipumba na Magufuli wataokokaje? NEC itawabeba?

Naona watu wakikesha usiku kucha leo kujaribu kumsaidia mzee wa CHATO kuandaa majibu ya pingamizi dhidi take...

Kesho Tundu Lissu na John Pombe USO kwa USO Njendengwa Dodoma...!!
 
View attachment 1549099
 
Ukitekeleza sheria lazima kuna kanuni na taratibu za tume sasa yeye anatekeleza sheria kanuni hataki, huoni kama yeye ndio kaingia chaka kwa mfano kutakuwa na uchaguzi kila baada ya miaka mitano hiyo ni sheria ila kanuni ya tume inasema uchaguzi utafanyika mwezi Octobar tarehe 28. Wangeweza kuweka tarehe yoyote hapo na kusingekuwa na tatizo.

Unapotwambia kuwa sheria inasema wagombea watapeleka fomu tume ya uchaguzi ila ukaweka pingamizi kwa mtu aliepeleka fomu kwa wakuu wa uchaguzi majimboni kama kitabu cha kanuni kinavowaelekeza ni kudhihirisha kuwa katika shambulizi ulilofanyiwa huenda uliathirika pia kichwani ila madaktari hawakugundua.

Tafuteni video muiangalie mjidhihirishie huyu bingwa alivo wa hovyo. Ndo maana awali nikasema huyu jamaa anapenda sana kuonekana na kagundua anaonekana kirahisi akimtaja taja Magufuli wapuuzi wenzie wa bavicha wakaja juu..

All in all, Lissu ana tatizo kichwani, muda utadhihirisha.
 
Tunasubiri anguko la Tundu Lissu hapo October.

Na kufutika kabisa katika siasa za Tanzania.
 
Anajichanganya amesema hajapeleka picha, tena anasema picha hazionekani skio moja, hivi huyu jomba vipi?
 
Kilaza katika ubora wako.unaona umeandika!
Tumia akili kidogo kosa la kwanza analoliongelea Lissu kila mgombea aliefuata kanuni za NEC amefanya ivyo isipokuwa peke yake. Kaamua tu kuchagua Magufuli na Lipumba kwa sababu zake.

Ina maana mgombea halali aliyebaki ni yeye mwenyewe. Wengine wote awaelewi sheria.

Sheria yenyewe hajui mantiki ya statutory instruments/by laws/secondary legislations; ni taasisi husika kutengeneza utaratibu wao utakaofaa wa kusimamia majukumu kutokana na mamlaka ya kisheria, yeye anajua kushinda NEC apparently.

Mtatufitieni huyo mtu tiba badala ya kushangilia upuuzi wake.
 
Najaribu kutafuta clip za alichokisema Lissu leo hii kuhusu kuwawekea pingamizi wagombea wenzake kwenye mitandao mbalimbali lakini zinakuwa tabu kupatikana na zinazopatikana ama ziko nusunusu huku zingine zikiwa zimeondolewa mfano facebook.

Je, tatizo hili liko kwangu tu au na kwa wengine?

Kama liko na kwa wengi, je tatizo ni nini?

Nawaza!!

Update:
Hatimae nimepata link kutoka kwa Hilda Newton kwenye akaunti yake ya Twitter

Ni hii:

https://t.co/l1bisaYy2X?amp=1
Watu hawawezi kuweka mambo ya kipumbavu kwenye account zao. Labda mpumbavu tu ndo anawexaganya hivo. Anyway mapingamizi ya kipumbavu yametupiliwa mbali
 
Back
Top Bottom