Tundu Lissu Awataja Waliolipua Ofisi za IMMMA Advocates, Atangaza Mgomo wa Mawakil

Yani na wewe unaamini askari waliingia na uniforms zao na kulipua hzo office.
Na hao advocates waliosomeshwa na nchi, how on earth should they work for a company that has been stealing from their country. Aliyewalipua nampa heko mob
Use the same law to beat them ndo maana mkiambiwa Mkuu ana PHD ya magumashi mnabisha. Haiingiii akilini Dr of Philosophy anaweza fanya upuuzi ule. Mimi ninaamini 99.9% ni serikali imetuma kile kikundi maalum kilichovamia clouds.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii movie kali sana, Mimi jana nimerudi home nikaingia jikoni bahati mbaya nikamwaga chakula kilichokuwa juu ya gesi. Nikarudi zangu sebuleni nikatulia zangu kimya alipokuja mke wangu akaingia jikoni akaona chakula kiko chini akaja sebuleni kuuliza nani kaingia jikoni na kumwaga chakula watoto wangu wote wamekataa.
Namimi nikaingilia kati Kwa ukali nikiuliza nani kamwaga chakula Kila mtu alikataa. Sasa Mimi nikasema na mke wangu waache hawa wapumbavu walale na njaa Kazi kumwaga chakula alfu wanakataa. Ila mke wangu nipe muda nichunguze ninani kakimwaga nitamjua tu. Sasa hadi asubuhii yaleo bado na chunguza ninani kakimwaga chakula uchunguzi wangu nafikiri nitapata majibu
 
Si bora hata wewe ulikimwaga bahati mbaya huyu wetu kamwaga makusud
 
Hua najiuliza ni kwanini wakenya wote hapa jf wanasupport upinzani na wananchukia sana Magufuli (yes wakenya wote hapa jf wananchukia Magufuli kwa moyo wao wote) wakati sio watanzania.

Napata Jibu moja kwamba wana wivu na maendeleo makubwa Magufuli anayoyaleta Tanzania na wanajua wazi kwamba Tanzania unakua the powerful economy in Eastern and Central Africa soon under Magufuli so baada ya hapo moyo wangu unarelax alafu nawacheka kwa dharau.
Rais wa Marekani wa sasa anachukiwa na waafrica wengi na sitaki kuamini ni kwa ajili ya maendeleo aliyoyaleta. Lakini pia watanzania tumeshawahi wachukia baadhi ya viongozi wa Africa na siamini ni kwa ajili ya maendeleo ya nchi hizo ndio maana hatukuwapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Immma advocates and Co. Ni company inayojihusisha na tones of different legal issues na wote wanategemea kudra za jaji (serikali) ili washinde mashauri yao mahakamani.

Inashangaza sana eti serikali ikalipue sijui kitu gani kwa hofu gani wakati wanauwezo wakutwist hukumu as much as will be pleased to their Corts.
Maoni kama haya ndio yananifanya nione Tanzania yangu imepotea,yananichosha mno,proudy Tanzanian mmmmm,Hukumu zote zinategemea KUDRA ZA JAJI(SERIKALI),hakuna tofauti ya hii mihimili miwili ya good governance,na wanauwezo wa kutwist hukumu yeyote ile as pleased.ninasikitika mno our next generation wataikuta Tanzania ya namna gani,time will tell
 
Back
Top Bottom