Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awasili jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma

Felix Mkosamali wa CHADEMA kumvaa injinia Atashasta Justus Nditiye wa CCM, katika Ubunge 2020 Muhambwe, Kibondo

20 September 2020
Kibondo, Kigoma
Tanzania

Tundu Lissu ampa onyo OCD Polisi wa Kibondo, wakati wa kampeni za CHADEMA 2020

Huu uchaguzi wa 2020 CCM Mpya na makada wake waliopo ktk utumishi wa umma wanakipata cha moto toka kwa wagombea wa 2020.
 
20 September 2020
Kibondo, Kigoma
Tanzania

MAFURIKO YA TUNDU LISSU LEO KIBONDO UMATI WAJITOKEZA KUMPOKEA ,SITAKI KUWA RAIS KAMA MAGUFULI

Leo hajapotea maana hata nchi hajaijua vyema
Ulilala hivi ukakurupuka kutafuta habari za lisu
IMG_20200907_220100.jpeg
 
20 .09 2020
Kibondo
Kigoma

MAPOKEZI YA TUNDU LISU KIBONDO JIMBO MUHAMBWE

Takwimu za Haraka : Idadi ya Watu: Huduma za Kijamii: Maendeleo ya Watu : Maendeleo ya Vitu : source : Mwanzo
  • Idadi ya Watu kutokana na sensa ya Mwaka 2012 = 261,331
  • Idadi ya Kata = 19
  • Number of Villages = 50
  • Idadi za Shule ya Msingi = 84
  • Number Secondary Schools = 24
  • Health Delivery Facilities = 45
  • Idadi ya Tarafa = 3

Hotuba za Tundu Lissu na Felix Mkosamali leo tarehe 20.09.2020 mjini Kibondo, Kigoma imegusia yafuatayo :

Ilani ya CHADEMA 2020 kuhusu Uhuru , Haki na Maendeleo ya Watu . Kinyago tulichokichonga wenyewe hatushindwi kukigeuza kuni Oktoba 2020. Barabara ya Nyakanazi haijakamilika miaka 50 lakini Chato International Airport imejegwa chapchap kijijini kwake Chato.

Hivi wana Kibondo ununuzi wa ndege za bombardier na Dreamliner ni vipau-mbele vyenu ? Mwezi ujao kinyango tulicho chonga wenyewe hakiwezi kututisha, hivyo piga kura ya mbunge kwa Felix Mkosamali wa CHADEMA, udiwani wote CHADEMA na Urais kwa Tundu Lissu.

Waziri wa Fedha Philip Mpango alinyakua fedha za kujenga barabara za Kibondo mwaka 2015 na kuzipeleka katika jimbo lake huko kwao Dr. Mpango.

Polisi OCD wa Kibondo alaumiwa kwa kuwanyanyasa wananchi wa Kibondo na IGP aombwa amuondoe Kibondo. Biashara ya dagaa inafuatiliwa utafikiri ni biashara ya bangi.

Maji katika mji wa Kibondo ni tatizo kubwa sana, CHADEMA itatafuta chanzo cha kuaminika kutoka Mto Malagarasi .

Tundu Lissu ampa angalizo kali OCD wa Polisi kuwa atende haki asiwanyanyase wananchi pia asitumike kuvuruga uchaguzi wa 2020.

Yaaaaniiii tumwache mh. Atashasta nditiye, tupeleke kale kakijana tena kakapayukepayuke bungeni kama kipindi kileee???
 
Hapo si ndio alipopita na shule zimefungwa Bwana yule??

Naona ka Ratiba hii ya kampeni NEC inamhujum Jpm. Yaani kila akipita Lissu anapita kufuta ujinga nauongo
 
Back
Top Bottom