Tundu Lissu awa ndio nguzo kubwa ya katiba mpya bora- CCM wamuundia mizengwe aisiijadili

Fue Fue

Senior Member
Jan 6, 2013
107
128
Kamanda hodari, msomi mzalendo mwana wa Tanzania Antipasi Tundu Lissu amejikuta akiundiwa zengwe la kutolewa bungeni ili tu asishiriki kwenye mchakato wa katiba.

Maongezi ya muda mrefu kati ya makada na viongozi wa chama cha mapinduzi (CCM) yamekuwa jinsi ya kumfungulia kesi ya kupinga ubunge wake, kumuandaa jaji wa kutengua matokea ili hata rufaa ikikatwa na kushinda awe tayari amekosa kipindi cha kujadili rasimu hii ya katiba.

Kwanini wanafanya hivyo. CCM hawana msomi mwenye weledi wa Tundu Lissu , mwenye uwezo wa kujenga hoja, kutetea ukweli na kuweka masilahi ya Taifa mbele badala ya kwake. Mwenye kujua na kuona mbali hasa mahitaji ya kisheria na kikatiba ya nchi yetu.

Ndani ya bunge wako wanaCCM wengi wanasheria tena wazuri waliobobea wenye ujuzi na mihela mingi ya kazi yao. Ila wote ndani ya CCM wamefunikwa na kikombe cha ufisadi na kushindwa kutetea kweli. Wapo akina mkono, Mwakyembe, Chenge, nk nk ila huwezi hata siku moja ukiwasikia wakiongelea mambo muhimu kwa mustakabali wa nchi.

Taifa likatae mahakama kufanywa misukule na majaji wa kununuliwa waonekane ni adui namba moja wa taaluma ya sheria na ustawi wa nchi huru na ya haki.
 
CHADEMA wajitoe kwenye mchakato wa katiba mpya kama watamvua Lissu ubunge, maana hiyo itakuwa ni dalili ya wazi kabisa ya kupata katiba kwa manufaa ya wachache.
 
Ktk ukweli daima uongo hujitenga.Wasifikiri watanzania hatuyajui hayo.
 
Uliyoongea hapo ni wazi kabisa, na hakuna la kupinga! Tundu amekuwa mwiba mkali kwa serikali hasa pale anapotetea maslahi ya Taifa katika Tasnia nzima wa Usimamizi wa haki hapa nchini! Wakifanya fitina yoyote dhidi yake, tayari wananchi wanajua, wataumbuka tu! Viva Lissu
 
Kikwete tafadhali usiingie kwenye mtego huu maana historia itakuhukumu....pengine uliposema watanzania watakukumbuka labda ni hii katiba,achana na mawazo mfu ya mzee wa tembo hayatakubalika kamwe!!!!
 
Ktk ukweli daima uongo hujitenga.Wasifikiri watanzania hatuyajui hayo.
...nina imani na chadema katika kushinda hila za adui mbaya wa haki za watanzania, sote tunaona kinachoendelea na naamini majaji woote watakuwa na fursa pekee ya kuitetea tanzania na watanzania hasa katika kipindi hiki cha mchakato wa kuzaliwa upya kwa taifa letu...
 
Kamanda hodari, msomi mzalendo mwana wa Tanzania Antipasi Tundu Lissu amejikuta akiundiwa zengwe la kutolewa bungeni ili tu asishiriki kwenye mchakato wa katiba.

Maongezi ya muda mrefu kati ya makada na viongozi wa chama cha mapinduzi (CCM) yamekuwa jinsi ya kumfungulia kesi ya kupinga ubunge wake, kumuandaa jaji wa kutengua matokea ili hata rufaa ikikatwa na kushinda awe tayari amekosa kipindi cha kujadili rasimu hii ya katiba.

Kwanini wanafanya hivyo. CCM hawana msomi mwenye weledi wa Tundu Lissu , mwenye uwezo wa kujenga hoja, kutetea ukweli na kuweka masilahi ya Taifa mbele badala ya kwake. Mwenye kujua na kuona mbali hasa mahitaji ya kisheria na kikatiba ya nchi yetu.

Ndani ya bunge wako wanaCCM wengi wanasheria tena wazuri waliobobea wenye ujuzi na mihela mingi ya kazi yao. Ila wote ndani ya CCM wamefunikwa na kikombe cha ufisadi na kushindwa kutetea kweli. Wapo akina mkono, Mwakyembe, Chenge, nk nk ila huwezi hata siku moja ukiwasikia wakiongelea mambo muhimu kwa mustakabali wa nchi.

Taifa likatae mahakama kufanywa misukule na majaji wa kununuliwa waonekane ni adui namba moja wa taaluma ya sheria na ustawi wa nchi huru na ya haki.

Mimi bado kuna kitu sijaelewa hapa, Katika lile tamko, Kesi ile imefunguliwa na wakazi wawili wa Singida mmoja wao tayari keshahamia CHADEMA na inavyoonekana alitoa siri zote za yeye kuhusishwa kwenye ukataji wa hiyo rufaa, jamaa anaitwa Shabani. Sasa taratibu za kisheria zipoje katika hii scenario? Wataalam naomba mnisaidie kwa hilo.
 
Walaaniwe na magamba yao kwa kujaribu kutenda hila dhidi ya haki, hila dhidi ya mweledi mzalendo wa nchi hii.
 
Kamanda hodari, msomi mzalendo mwana wa Tanzania Antipasi Tundu Lissu amejikuta akiundiwa zengwe la kutolewa bungeni ili tu asishiriki kwenye mchakato wa katiba.

Maongezi ya muda mrefu kati ya makada na viongozi wa chama cha mapinduzi (CCM) yamekuwa jinsi ya kumfungulia kesi ya kupinga ubunge wake, kumuandaa jaji wa kutengua matokea ili hata rufaa ikikatwa na kushinda awe tayari amekosa kipindi cha kujadili rasimu hii ya katiba.

Kwanini wanafanya hivyo. CCM hawana msomi mwenye weledi wa Tundu Lissu , mwenye uwezo wa kujenga hoja, kutetea ukweli na kuweka masilahi ya Taifa mbele badala ya kwake. Mwenye kujua na kuona mbali hasa mahitaji ya kisheria na kikatiba ya nchi yetu.

Ndani ya bunge wako wanaCCM wengi wanasheria tena wazuri waliobobea wenye ujuzi na mihela mingi ya kazi yao. Ila wote ndani ya CCM wamefunikwa na kikombe cha ufisadi na kushindwa kutetea kweli. Wapo akina mkono, Mwakyembe, Chenge, nk nk ila huwezi hata siku moja ukiwasikia wakiongelea mambo muhimu kwa mustakabali wa nchi.

Taifa likatae mahakama kufanywa misukule na majaji wa kununuliwa waonekane ni adui namba moja wa taaluma ya sheria na ustawi wa nchi huru na ya haki.

mkuu haya unahangaika nayo ya nini chadema waliapa kujitoa kwenye huu mchakato sasa mbona leo unaongea kitu ambacho hakipo,tundu lisu kama alipata ubunge kimizengwe mahakama itatengua tu hata ukiandika humu jf mara kumi zaidi wala haisaidii sheria ziko palepale.
 
...nina imani na chadema katika kushinda hila za adui mbaya wa haki za watanzania, sote tunaona kinachoendelea na naamini majaji woote watakuwa na fursa pekee ya kuitetea tanzania na watanzania hasa katika kipindi hiki cha mchakato wa kuzaliwa upya kwa taifa letu...

ni vizuri kujifariji ili usife mapema kwani hata mfa maji huwa haishi kutapatapa.
 
CHADEMA wajitoe kwenye mchakato wa katiba mpya kama watamvua Lissu ubunge, maana hiyo itakuwa ni dalili ya wazi kabisa ya kupata katiba kwa manufaa ya wachache.

mkuu mbona walishatangaza kujitoa siku ile bungeni.
 
Eee mungu, muumba wa mbingu na nchi utuepushe na hila zote zenye nia yakukwamisha ndoto yetu yakuwa na taifa la haki,usawa na uadilifu... Wataichelewesha haki yetu lakin hawataweza kufanya hivyo milele
 
Aibu kuu iwe juu ya wale wote wenye Mawazo ya kupanga njama za kumhujumu Tundu Lisu , Ewe uliye juu Mpige Laana kuu Kinana , aote Mapembe ya Ndovu kila sehemu ya Mwili wake !
 
kwani wao ndio nani,kwamba wakijitoa hakuna kitakachoendelea? hovyoo acheni ujinga.Waligoma kumtambua rais,halafu ikawaje hakuwa rais? utoto mwingi wajitoe wao ni sehemu tu ya watz,na wala sio watz wote
CHADEMA wajitoe kwenye mchakato wa katiba mpya kama watamvua Lissu ubunge, maana hiyo itakuwa ni dalili ya wazi kabisa ya kupata katiba kwa manufaa ya wachache.
 
Hao majaji ambao watakubali kusikiliza rufaa ambayo imemaliza mwaka,watakuwa ni wale waliosomea mambo ya ustawi wa jamii walioteuliwa na jk.
 
mkuu haya unahangaika nayo ya nini chadema waliapa kujitoa kwenye huu mchakato sasa mbona leo unaongea kitu ambacho hakipo,tundu lisu kama alipata ubunge kimizengwe mahakama itatengua tu hata ukiandika humu jf mara kumi zaidi wala haisaidii sheria ziko palepale.

kama mizengwe inatoa wabunge makini kama tundu lisu, basi nashauri sheria za nchi zibadilishwe tuwe tunapata viongozi kwa mizengwe badala ya hao wanaodaiwa eti wamechaguliwa kwa kura wakaenda kulala bungeni.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom