Tundu Lissu avuliwe uongozi CHADEMA

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,336
2,000
urais siyo kubeba zege mkuuu hayo maneno huwa anaongea ni kuonyesha unyeyekevu na kutojikweza hapoo lingekuwa lile tundu lililokimbilia ulaya ingekuwa ni majisifu tu naweza naweza kumbe hakuna kitu
Kukiri kushindwa siyo unyenyekevu.Yeye amekiri kushindwa na cha kushangaza zaidi anaomba msaada kwa uma ambao umemtuma kufanya kazi na unamlipa ujira kwa kazi hizo.
hebu angalia mama anavyomwaga mashdarasa huko mahospitali ajira kibao sasahivi zinatoka hivi unataka mpaka uletewe hela mkononi au?
Hakuna ajira kibao.CCM ni matapeli wanaolaghai watanzania kupitia ahadi hewa.Angali hizi ahadi hapa chini ambazo hata kwa akili ya kawaida zinaonekana ni ahadi zisizotekelezeka.CCM wamekuwa wakifanya watanzania kuwa ni watoto wa kudanganya kila kukicha tokea uhuru hadi leo.
3trq.jpg
 
Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
4,497
2,000
Mleta mada kaka ww mwanachadema nenda kashauri kwa viongozi au katika mikutano yenu ya ndani ulichoandika hapa inaonekana ww ni taga orijino tu.
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
7,429
2,000
Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania.

CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi.

Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe lakini hayuko nchini.

Je, CHADEMA sasa hivi inaongozwa kwa remote control toka Ubelgiji?

Kwanini Lissu asikae pembeni kama mwanachama wa kawaida na kumpisha Mch Msigwa ili asikosekane mtu wa kukisemea chama toka nafasi ya juu.

Mtu kama Lissu akirudi 2025 mtampa kweli nafasi ya kugombea urais!?
Wewe ndie mshauri mkuu wa Chadema?? Au ina kuhusu nini kwa mfano?
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
14,014
2,000
Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania.

CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi.

Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe lakini hayuko nchini.

Je, CHADEMA sasa hivi inaongozwa kwa remote control toka Ubelgiji?

Kwanini Lissu asikae pembeni kama mwanachama wa kawaida na kumpisha Mch Msigwa ili asikosekane mtu wa kukisemea chama toka nafasi ya juu.

Mtu kama Lissu akirudi 2025 mtampa kweli nafasi ya kugombea urais!?
Hii nafasi ya Mwenyekiti ilikua ya Zitto kama angekua mvumilivu kama Kigaila na Mnyika!! Haraka haraka zake zimemponza. Kilichopo ni CHADEMA na ACT kufanya coalition maana sheria ya vyama inaruhusu. Combination ya upinzani imara wa visiwani ma bara ukiwa na secretariat ya watu makini kama Heche,Mnyika,Lissu,Jussa,Shaibu n.k itaamsha ari ya upinzani.

Huyu Mama popularity imeshuka na kufikia 2025 atakua amefanya mistake nyingi sana kama upinzani wataandaa hoja vizuri then utakua uchaguzi wenye mafanikio kama 2010 na 2015!!
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
25,999
2,000
Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania.

CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi.

Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe lakini hayuko nchini.

Je, CHADEMA sasa hivi inaongozwa kwa remote control toka Ubelgiji?

Kwanini Lissu asikae pembeni kama mwanachama wa kawaida na kumpisha Mch Msigwa ili asikosekane mtu wa kukisemea chama toka nafasi ya juu.

Mtu kama Lissu akirudi 2025 mtampa kweli nafasi ya kugombea urais!?
babu vip mbona utataka kutuharibia sherehe? sisi tunashangilia jifua la kondeboy ww unaleta habari ya Lissu tena.
 
Zillion

JF-Expert Member
May 15, 2017
1,149
2,000
Kwanini nyie wanafiki na watesi wa CCM
Msimwachie huru Mbowe kama mnaguswa na CHADEMA kukosa msemaji wa ngazi ya juu?

Tangu lini ccm mmeacha kuwa wauaji na watesi na mkageuka kuwa washauri wema wa CHADEMA?
 
BuenosAires

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
1,115
2,000
Mpaka sasa Wanachadema hawajui hatma ya makamu mwenyekiti wao. Tundu Lissu aidha amegeuka mkimbizi au bado ni Mtanzania.

CHADEMA sasa hivi inapita kipindi kigumu sana kufuatia Mbowe kukabiliwa na kesi ya Ugaidi.

Wengi tulitegemea Lissu angekuwepo kwenye jopo la mawakili katika kumtetea Mbowe lakini hayuko nchini.

Je, CHADEMA sasa hivi inaongozwa kwa remote control toka Ubelgiji?

Kwanini Lissu asikae pembeni kama mwanachama wa kawaida na kumpisha Mch Msigwa ili asikosekane mtu wa kukisemea chama toka nafasi ya juu.

Mtu kama Lissu akirudi 2025 mtampa kweli nafasi ya kugombea urais!?

Tundu lisu akirudi asihangaike na chadema, chama cha kikanda na ukabila, aanzishe chama chake na ateuwe bila kuangalia dini, kabila n.k.

Chadema ni ngumu kushika dola, chadema ni tawi la wachagga, na watanzania wanaojitambua hawawezi kukubali kukipigia chama chenu kilichosheheni wachagga kiongoze nchi, ni ngumu na mnapoteza muda wenu.

Hivi mtu mpaka anaipigia debe chadema ilhali yeye ni kanda ya ziwa na chadema ni chama cha wachagga anategemea nini endapo wakishika nchi, mtu huyu anajitambuwa kweli!!!! Wachagga wengiwao wamejaa na ubinafsi, roho mbaya na ukatili unategemea wewe msukuma, mkurya, mhaya, myakyusa, mzaramo na waziguwa mtasalimika kweli!!! Tucdanganyane jamani, ni heri kuvipigia debe vyama vya Cuf na Act na siyo chadema chama cha ukabila.

Ushauri wangu kwake tundu lisu, aachane na chadema, arudi tz na aunde chama chake pasiposhirikishwa wachagga ndani ya chama, hapo atapata wanachama.
 
mr chopa

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
5,297

Lisu ana shughuli zake
D-YFgR1WwAAlBCs.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom