Tundu Lissu atunukiwa Nishani ya Heshima Marekani

Ukiona wamerakani wanaanza kukupa vinishani uchwara ujue wanakutumia kwa sana au wanampango wa kukutumia kwa maslahi yao..

Watu wanaotumika huheshimika sana na wakoloni hasa wamerakani na hupewa vishani na vyeo vya kijinga jinga kama hizi

Wivu nenda kuzimu huna hoja
 
Hongera sana mbunge wangu. Kazi kubwa unafanya inahitaji kutambuliwa.
 
Namnukuu Kikwete pale Singida wakati wa kampeni za uraisi! Wananchi nawashauri kabisa kuliko mumpe Tindu Lisu kura zenu awe mbunge wenu ni bora mninyime mimi kura za uraisi na mumpe Dr. Wilbrod Slaa! Mwisho wa kunukuu! Big up Tindu Lisu.
 
Ukiona wamerakani wanaanza kukupa vinishani uchwara ujue wanakutumia kwa sana au wanampango wa kukutumia kwa maslahi yao..

Watu wanaotumika huheshimika sana na wakoloni hasa wamerakani na hupewa vishani na vyeo vya kijinga jinga kama hizi

Haa, makubwa!
 
kuna mijitu ina wivu hapa JF. Ndo maana inang'ang'ania kila kiwanja mijini ati ulikuwa m........ hogera kamanda endelea kukomaa mpaka kieleweke.:caked:
 
Ukiona wamerakani wanaanza kukupa vinishani uchwara ujue wanakutumia kwa sana au wanampango wa kukutumia kwa maslahi yao..

Watu wanaotumika huheshimika sana na wakoloni hasa wamerakani na hupewa vishani na vyeo vya kijinga jinga kama hizi
Pole umeingia choo cha wanawake wazee.
 
Back
Top Bottom