Tundu Lissu atoa tamko la CHADEMA huko Igunga leo...

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Kufuatia kufanyiwa fujo na wale wanaosadikiwa kuwa wanachama wa CDM na kupelekea kukamatwa kwa wabunge wawili wa CDM..hatimaye leo asubuhi hapa Igunga CDM wametoa tamko kupita kwa mkurugenzi wa haki na sheria Mh.Tundu Lissu..

Akizungumza kwa hisia na kwa uchungu,Tundu amedai amesikitishwa na kitendo cha polisi kuwakamata wanachama na wabunge wawili wa CDM na kuwapeleka kituo cha polisi cha Tabora mjini badala ya kile cha Igunga ambacho ndipo walipokamatwa....Aliendelea kusema kwa siasa hizi za unyanyasaji na kamatakamata ya polisi Igunga italeteleza maafa makubwa pale wananchi wanaposhoshwa na unyanyasaji huu wa wazi....

Tundu Lissu ameomba serikali kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi hili kuepusha maafa yanayoweza kutokea sio Igunga tu bali hata kwa chaguzi zijazo....

Tundu alimalizia kwa kusema kwa kawaida mabadiliko yanaambatana na changamoto nyingi ambazo kama serikali ya CCM itashindwa kuhimili taifa lataelekea katika maafa makubwa kuliko kawaida....na amewashukuru wana Igunga kwa support yao kubwa wanayotoa kuleta mageuzi Tanzania...
 
Nashangaa sana!dc ndo muhimu zaidi kuliko wabunge?alienda fanya nini sehemu ambayo cdm inafanya mikutano yake?any way katika ukombozi wa dhati lazima damu zimwagike ili ziwe sawa na mbegu zinazomea upya kwa ukombozi(grain of wheat by NGUGI WA THIONG'O)
 
Hawa magamba maji yashakuwa ya shingo ndo maana wanahangaika hovyo hovyo
 
Tumechoshwa na matamko ya hawa cdm tunataka vitendo, huko arusha mmetoa matamko wee hakuna tija yeyote ni business as usual. Nasema tumemechoka aah!
 
Tumechoshwa na matamko ya hawa cdm tunataka vitendo, huko arusha mmetoa matamko wee hakuna tija yeyote ni business as usual. Nasema tumemechoka aah!
kumbe ndio maana mnawanyanyasa then mnasema mmechoka na matamko sasa mnataka matendo?? siku sii nyingi mtayaona hayo matendo maana mmejisahau sana
 
Hili linaweza kuwa Tamko la 2000 kutolewa na CDM, tumechoka na hayo matamko yenu yasiokuwa na tija kwa taifa.
Tundu Lissu, unalalamika nini wakati CDM walitaka kumbaka Mama wa watu DC
 
kumbe ndio maana mnawanyanyasa then mnasema mmechoka na matamko sasa mnataka matendo?? siku sii nyingi mtayaona hayo matendo maana mmejisahau sana

Wewe unadhani wakina Mandela wangekuwa kama hawa wa cdm ubaguzi ungeisha na kaburu angeiachia SA. Viongozi wanatoa matamko hakuna vitendo unategemea ni sasa. Wanawatumia walalahoi kama mitaji yao ya kisiasa tu.
 
Matendo utayoona tu mjuu wa gamba,subiri tu na endeleeni kufiri kutumia masaburi kisha mtaona vizuri na kweli ninahamu sana na magamba,si mnajifanya hamuoni!
 
sheria za uchaguzi zinaruhusu mtu yeyote kukamatwa iwapo atakiuka au kuvuruga kanuni za uchaguzi zilizo wekwa kwa mujibu wa sheria.mia
 
Mi naona matendo tu ndo yatawale. Hawa magamba wanafikiri kwa kutumia masaburi na wanageuza dhuluma kuwa haki. Mabaya aliyofanya DC hawayaoni/wameona ni thawabu ila ni kosa CDM kuchukua hatua.
 
Ccm na m.a.t.a.a.h.i.r.a wote wanaoiunga mkono lazima wajue watanzania wameamka sasa! Hawakubali tena kuongozwa na kina Kingwendu kama sasa!
 
Tunasubiria cdm watoe maamuzi magumu. Matamko yametosha.
 
Hili linaweza kuwa Tamko la 2000 kutolewa na CDM, tumechoka na hayo matamko yenu yasiokuwa na tija kwa taifa.
Tundu Lissu, unalalamika nini wakati CDM walitaka kumbaka Mama wa watu DC
Wewe unatumia masaburi kufikiria
 
sheria za uchaguzi zinaruhusu mtu yeyote kukamatwa iwapo atakiuka au kuvuruga kanuni za uchaguzi zilizo wekwa kwa mujibu wa sheria.mia

Sasa mbona DC hajakamatwa, kwani yeye hajavunja sheria? Au yeye siyo binadamu? CDm ndo peke yao ambao sheria inawahusu? Kweli ukiwa MAGAMBA akili inakuwa haifanyi kazi, badala yake masaburi
 
Tunasubiria cdm watoe maamuzi magumu. Matamko yametosha.

Tena wana mifano hai, wajifunze huko tunisia, libya, misri, nk, wasitake kuendesha siasa kama za serikali za wanafunzi, wanaonewa na kukandamizwa waziwazi kabisa hawachukuia hatua kuonyesha hasira zao wanaishia kutoa matamko. Tunataka wachukue hatua na tuipime mikakakatin yao wanapochukua hatua hizi ili waturidhishe wanaweza tawala nchi, wa sije tudanganya tukaruka mkojo kuishia kukajaga mavi.
 
sheria za uchaguzi zinaruhusu mtu yeyote kukamatwa iwapo atakiuka au kuvuruga kanuni za uchaguzi zilizo wekwa kwa mujibu wa sheria.mia
<br /> <br / na upelekwe kituo cha polisi cha jirani, c ukamatiwe KIMARA upelekwe KIEMBEMBUZI
 
Back
Top Bottom