Tundu Lissu atilia mashaka uteuzi wa Jaji Mustafa Siyani kuwa Jaji kiongozi, aufananisha na Rushwa

MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA KUANZISHWA KWAKE​

05-09-2020 0

Published By:Mary C. Gwera

Mahakama ya Tanzania ipo katika mchakato wa maandalizi ya kutimiza miaka 100.

Kwa mujibu wa Msajili, Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Sharmillah Sarwatt alisema kuwa sherehe za maadhimisho hayo zitaanza mwishoni mwa mwaka huu (2020) na kufikia kileleni mapema mwaka 2021.

“Mahakama Kuu ya Tanzania, ilianzishwa kisheria 1920 Tovuti Kuu ya Serikali: Muundo wa Mahakama Tanzania Bara na kuanza kufanya kazi rasmi Januari 03, 1921 ikiwa na masjala chache,” alieleza Mhe. Sarwatt.

Msajili huo alisema kuwa kupitia maadhimisho hayo, Mahakama itafanya shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuelimisha wananchi kupitia vyombo mbalimbali vya habari.

Aidha, Mhe. Sarwatt alisema kuwa tangu kuanzishwa kwa ngazi hiyo ya Mahakama nchini kumekuwa na mafanikio kadhaa ikiwemo ongezeko la Masjala 22, Kanda 16 za Mahakama Kuu, Divisheni nne (4) pamoja na Kituo cha Usuluhishi.

Mbali na hilo, Msajili huyo aliongeza kuwa kumekuwa na mafanikio pia katika suala zima la usikilizaji/uondoshaji wa mashauri, ongezeko la majengo ya kisasa, Matumizi ya TEHAMA Mahakamani na kadhalika.

“Lengo la Mahakama Kuu ni kusogeza huduma zake karibu zaidi na wananchi, hivyo mpango wa Mahakama ni kuwa na Mahakama Kuu katika kila mkoa,” alisisitiza Mhe. Sarwatt.

Mahakama ya Tanzania imegawanyika katika ngazi kuu tano ambazo ni Mahakama za Mwanzo, Mahakama za Wilaya, Mahakama za Hakimu Mkazi/Mkoa, Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani.

Aidha, Mahakama Kuu ina Divisheni zake ambazo ni
  1. Mahakama Kuu- Divisheni ya Ardhi,
  2. Mahakama Kuu-Divisheni ya Biashara,
  3. Mahakama Kuu-Divisheni ya Kazi na
  4. Mahakama Kuu-Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi almaarufu kama Mahakama ya Mafisadi.
Source : MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA KUANZISHWA KWAKE
 
View attachment 1969690

Akihojiwa huko CLUBHOUSE kwenye mahojiano yanayoendelea muda huu , Mh Tundu Lissu Amedai kwamba kwa namna yoyote ile , uteuzi wa jaji huyu anayesimamia Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu , tena ikiwa imesalia siku chache kabla ya uamuzi wa Kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ni sawa na Rushwa .

Bali Lissu ameonya kwamba , sarakasi zozote kwenye kesi ya Mbowe itaumbua vibaya sana Uongozi wa Awamu ya 6 kwa vile Dunia nzima inafuatilia kwa karibu sana kesi hii na Nchi ya Tanzania kuliko wakati wowote tangu nchi hii ivumbuliwe .
hukumu ya kesi ndogo ni lini mkuu
 
18 January 2021
MH. JAJI MKUU AELEZEA HISTORIA YA MAHAKAMA TANZANIA "TUNAADHIMISHA MIAKA 100 YA MAHAKAMA KUU

  • Tamko la Mfalme wa Uingereza kuanzishwa Mahakama Kuu ya Tanganyika
  • Tamaduni za Mwingereza
  • Mahakama Kuu kama chombo cha kikoloni
  • Mahakama Kuu (bara) Baada ya uhuru
  • Mahakama Kuu chini ya mfumo wa utawala wa nchi ya chama kimoja cha siasa
  • Mahakama Kuu Chini ya mfumo wa vyama vingi vya siasa
  • Mahakama Kuu katika Karne ya 21
 
View attachment 1969690

Akihojiwa huko CLUBHOUSE kwenye mahojiano yanayoendelea muda huu , Mh Tundu Lissu Amedai kwamba kwa namna yoyote ile , uteuzi wa jaji huyu anayesimamia Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu , tena ikiwa imesalia siku chache kabla ya uamuzi wa Kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ni sawa na Rushwa .

Bali Lissu ameonya kwamba , sarakasi zozote kwenye kesi ya Mbowe itaumbua vibaya sana Uongozi wa Awamu ya 6 kwa vile Dunia nzima inafuatilia kwa karibu sana kesi hii na Nchi ya Tanzania kuliko wakati wowote tangu nchi hii ivumbuliwe .
Lissu anaona mbali sana.

I was skeptical about his assertion. But he has proven me wrong.
 
Mbowe na serikali lao moja. Kama Lisu hujang'amua hilo basi fumbua macho na ulijue hilo. Hapo wanafunika kombe la Mbowe kukataza chama kushiriki uchaguzi. Na ili msilijad iko live hilo Mbowe kacishwa kesi ya kizushi.
This is a Crooked way of thinking.
 
Back
Top Bottom