Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atoa tamko baada ya Wakala wake kuchukua fomu, akumbusha sifa za wanaostahili kuwa wadhamini, asisitiza kurudi nchini

Ati mbona kama muoga.. wa nyie wenyewe.. ndani ya chadrama yenu.. tunamkaribisha sana sana aje jamani ajionee nchi ilivyo na maendeleo mengi.. Tena mumupe nafasi awanie ili atalii nchini huku akijua JPM ana 5 zaidi..

Musisahau kumuteli kwamba nchi tumeingia uchumi wa kati.. aje tusherekee.. Hapa Kazi tu.. huku beberus wa bahasha za khaki hawapo alivyokuwa amezoea..
 
Ati mbona kama muoga.. wa nyie wenyewe.. ndani ya chadrama yenu.. tunamkaribisha sana sana aje jamani ajionee nchi ilivyo na maendeleo mengi.
Herode aliyejaribu kumuua kwa kummiminia mirisasi bado yupo kitini, Ni lazima Tundu Lissu The Great achukue tahadhari zote. Maana hata wale wachawi 900 wamesema watamuua mtu yeyote atakaye mpinga Herode
 
Herode aliyejaribu kumuua kwa kummiminia mirisasi bado yupo kitini,

Duh kweli kabisa.. hongera sana kwa kutambua hili.. umepatia asilimia 100 kwamba Herode unayemutaja ni Mwenyekiti wa Chadema bado yupo kitini.. tukikumbuka ndiye..

Alikuwa na dereva wa Lissu baada ya tukio.. na kumuzuia asiongee wala kuhojiwa na polisi.. hadi akamtorosha.. aisee una akili kweli kukumbuka hili

Tumshukuru Mungu Lissu amepona kama namuwona aliye kitini akipata maruweruwe..
 
Ila jamaa angeendelea na masuala mengine tu, siasa angeacha.
 
renamaizo
Hamna mkuu, nimetoa ushauri tu. Jamaa amefanyiwa unyama sana na sio serikali wala wananchi ambao wako tayari kumtetea. Hata walio umizwa na alichofanyiwa hawako tayari kuchukua hatua yoyote.
 
Ati mbona kama muoga.. wa nyie wenyewe.. ndani ya chadrama yenu.. tunamkaribisha sana sana aje jamani ajionee nchi ilivyo na maendeleo mengi.. Tena mumupe nafasi awanie ili atalii nchini huku akijua JPM ana 5 zaidi..

Musisahau kumuteli kwamba nchi tumeingia uchumi wa kati.. aje tusherekee.. Hapa Kazi tu.. huku beberus wa bahasha za khaki hawapo alivyokuwa amezoea..
Aisee
 
kiukweli Lissu anapita kwenye magumu mengi kwa sababu ya yafuatayo
-uwezo binafsi wa kufanya tafiti na kuelewa out finding za tafiti.

-Uwezo binafsi wa kuzielewa sharia.

-Kuwazidi kwa mbali kiuwezo wa kifikra wapinzani wake wakisiasa.

-Talanta ya kiuongozi (Urais) aliyonayo.

-Uwezo mkubwa alionao wa kutunga hoja, kueleza hoja na kuisimamia hoja.

Lissu hajawai kuwa na tuhuma ya uwizi, au jinai yeyote Ile.
 
Hamna mkuu, nimetoa ushauri tu. Jamaa amefanyiwa unyama sana na sio serikali wala wananchi ambao wako tayari kumtetea. Hata walio umizwa na alichofanyiwa hawako tayari kuchukua hatua yoyote.
Katiba mbovu wananch na ata jesh linataman sn kumsaidia sema wanaish kwa amri kutoka juu
 
Amesema Ratiba kamili ya tarehe na siku ya yeye kurudi itatolewa na uongozi wa chama baada ya mashauriano.

Aongelea pia ukimya wa vyombo husika kuhusu usalama wake na kawatoa hofu Wanachama kuwa atarudi

Ratiba ya nini wakati anatakiwa mahakamani tarehe 14 julai, 2020
 
Back
Top Bottom