Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Tunasikitika kumpoteza mpiganaji zitto bungeni maana mchango wake n mkubwa sana lakini tatizo la undumilakuwili alilonalo ni bora afukuzwe tu...

Mkuu MFUKUZI Ile kesi aliyoshindwa ni ya kuizuia CDM kuendelea na utaratibu wa kumfukuza hivyo sasa itabidi aende mahakamani akapinge kufukuzwa ili awe mbunge wa mahakama kama Tumbili kipindi kile na Hamad Rashid
 
sir.JAPHET
CHADEMA wamefanya maamuzi ya busara sana kumfukuza Zitto CHADEMA kwa muda muafaka mahakama imetenda Zitto tunasubiri alipe gharama zetu za kuendesha kesi.
 
Last edited by a moderator:
Masikini Zitto. This was coming anyway. Sasa atulize akiri tu na afanye maamuzi sahihi. Sidhani kama itakuwa sahihi kukimbilia ACT, chama kilichoanzishwa asubuhi na kikafa kesho yake.

Kwanini Chama hakikumsamehe na kumbakiza kundini? Hii move inaweza kuwa ''right'' but not necessary ''correct''
 
Tundu Lissu mropokaji wa chama.
Teh Teh CCM itatawala milele! Watu wameingizwa kwenye mtego na wameuvaa kama ulivyo.
 

Attachments

  • 1425981759096.jpg
    1425981759096.jpg
    28 KB · Views: 2,036
Nambari wani eeeh, Nambari wani CCM...............Matukio juu ya matukio...

Chonde chonde CCM, Toeni nafasi kwa Wapinzani kujipanga kuelekea Uchaguzi....Pls Pls

Mkuu Tume ya Katiba yani watu wamewekewa mtego wameuvaa kama ulivyo..
Sasa hapo ni mwendo mdundo..CCM itatawala milele.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom