Tundu Lissu atakuwa Live club house akiongelea tabia, maendeleo binafsi

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,016
2,000
Mjadala utaanza kesho saa 12 asubuhi katika club house ya Mindset transformation. Kuwa tayari kuuliza maswali hasa nje ya mambo ya siasa.

Watu maarufu ambao wamekuwa wakitoa elimu ya mabadiliko ya tabia na mienendo ya kimaisha ni pamoja na Dr Dialo,Mch Msigwa na wengineo.

IMG_20211118_134735_462.jpg
 
Emen

Senior Member
Jun 22, 2021
106
225
Mjadala utaanza kesho saa 12 asubuhi katika club house ya Mindset transformation. Kuwa tayari kuuliza maswali hasa nje ya mambo ya siasa.

Watu maarufu ambao wamekuwa wakitoa elimu ya mabadiliko ya tabia na mienendo ya kimaisha ni pamoja na Dr Dialo,Mch Msigwa na wengineo.

View attachment 2015273

Mbona hapo wameandika saa 6 mchana au ni majira ya huko alipo?
 
LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
5,952
2,000
Huo muda si mzuri kufuatilia, ingependeza muda uwe kuanzia saa kumi jioni ambapo watu wengi wamerudi kutoka kazini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom