Tundu Lissu: Atakayefanya usaliti hata kama ni mkubwa, tutamshughulikia

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,358
9,613
Moja kati ya maelezo ya Lissu wakati akihojiwa na kituo cha Habari huko nchini Kenya alieleza kwamba atakae fanya usaliti hata uwe mkubwa aina gani tutakushughulikia.

Maelezezo haya yalitokana na kile kinachoonekana kwamba wale wabunge 19 wamesaliti Chadema na wameshawashughulikia.

Haraka haraka nikapata mshituko kwamba, Usaliti anaupimaje?

Pili, Kipindi cha Nyuma alisemekana alisaliti serikali ya JMP hasa kwenye makinikia na badae ikasemekana hata kushughulikiwa kwake kulitokana na hayo makininikia.

Kama yeye anashughulikia wenzake, je Ilikuwa sahihi hata yeye kudhughulikiwa?
 
Kuna miito ya kumwombea msamaha mwendazake. Huoni tujipange sote kufanya hivyo kwa kutoamsha hisia mbaya?

Risasi hazijapata kuwa halali kwa miili ya watu.
 
Wanasiasa wengi wasahaulifu, sasa kama walimwita Lowasa na fisadi na kumtangaza hafai, ushahidi wanao kwa miaka mitano ila ndano ya dk tano wakadai Lowasa msafi na wakampa nafasi ya kuwakilisha UKAWA.

Si shangai yeye mwenyewe kuongea hivyo sababu ni wazee wa kujisahau.
 
Unataka kusema nini haswa.? Kwamba lissu ni maaliti! Unatakiwa kupimwa akili yako
Najua unajua kwamba yeye na wazungu wake wanaotaka kunyonya afrika hawajaana hadi leo. Hapo alipo anakuwa ughali wa wazungu.

Subiri apate mda aanze kumusumbua mama yetu ili mradi tusiwe na utulivu hadi tuombe poo kwa wazungu.
 
Wanasiasa wengi wasahaulifu, sasa kama walimwita Lowasa na fisadi na kumtangaza hafai, ushahidi wanao kwa miaka mitano ila ndano ya dk tano wakadai Lowasa msafi na wakampa nafasi ya kuwakilisha UKAWA.

Si shangai yeye mwenyewe kuongea ndio
Nimeshituka pia.
 
mataga pori hii anzisha thread yake mpya kabisa mmfarijiane.
 
Moja kati ya maelezo ya Lissu wakati akihojiwa na kituo cha Habari huko nchini Kenya alieleza kwamba atakae fanya usaliti hata uwe mkubwa aina gani tutakushughulikia.

Maelezezo haya yalitokana na kile kinachoonekana kwamba wale wabunge 19 wamesaliti chadema na wameshawashughulikia.

Haraka haraka nikapata mshituko kwamba, Usaliti anaupimaje?

Pili, Kipindi cha Nyuma alisemekana alisaliti serikali ya JMP hasa kwenye makinikia na badae ikasemekana hata kushughulikiwa kwake kulitokana na hayoo makininikia.

Kama yeye anashughulikia wenzake, je Ilikuwa sahihi hata yeye kudhughulikiwa?
Yeye mwenyewe Tundu Lissu ni bonge la msaliti, alituambia Lowassa ni fisadi wa kufa mtu halafu baadae anakuja kutuambia tumpe Lowassa kura za Urais.
 
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.

Ccm itaendelea kupeta
Mtu kama Lissu hawezi kuelewa ..lazima tu apate mgao wa wazungu. Ataupataje? Hapo ndo kwenye kasheshe.
 
Wanasiasa wengi wasahaulifu, sasa kama walimwita Lowasa na fisadi na kumtangaza hafai, ushahidi wanao kwa miaka mitano ila ndano ya dk tano wakadai Lowasa msafi na wakampa nafasi ya kuwakilisha UKAWA.

Si shangai yeye mwenyewe kuongea ndio
Hii ni shombo waliyojipaka Chadema halafu wanajitia hamnazo
 
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.

Ccm itaendelea kupeta

Mkuu kulikuwa na uzi hapa ukiitisha mawazo yako ya busara:

Ikikupendeza tafadhali.
 
Moja kati ya maelezo ya Lissu wakati akihojiwa na kituo cha Habari huko nchini Kenya alieleza kwamba atakae fanya usaliti hata uwe mkubwa aina gani tutakushughulikia.

Maelezezo haya yalitokana na kile kinachoonekana kwamba wale wabunge 19 wamesaliti Chadema na wameshawashughulikia.

Haraka haraka nikapata mshituko kwamba, Usaliti anaupimaje?

Pili, Kipindi cha Nyuma alisemekana alisaliti serikali ya JMP hasa kwenye makinikia na badae ikasemekana hata kushughulikiwa kwake kulitokana na hayo makininikia.

Kama yeye anashughulikia wenzake, je Ilikuwa sahihi hata yeye kudhughulikiwa?
Ye mbona ni msaliti namba moja, na katumwa na waliomuoa?
Asitubabaishe asidhani hatumjui.
 
Back
Top Bottom