Tetesi: Tundu Lissu Asikitishwa na yanayoendelea Chadema na Uchaguzi 2020

Jamaa yangu aliye ndani ya CDM (mbunge DSM) amenambia hili kwa uchungu sana. kuwa ndo maana kwa sasa Tundu Lissu ameamua kunyamaza kimya baada ya kuona wana chadema wameshamsahau na kuanza kumfikiria membe awe mgombea wao 2020.

ingawa yeye hajatangaza nia hiyo lakini alikuwa anaamini kuwa kwa yale aliyoyapitia ndani ya chama mpaka kutaka kuuawa leo hii wanachadema wasingekuwa watu wa kwenda mkumbatia fisadi membe joka la mdimu awe mgombea mwaka 2020. ni dhahiri shahiri kuwa wanaomtaka membe si wana ccm. ni wanachadema baada ya kuona anampinga sana magufuli au hakubaliki tayari wameanza kumwona ni shujaa kama ilivyokuwa kwa nape ambaye aligoma kuhama ccm.

anaumia sababu wanachadema wanaonekana wana ugonjwa mbaya sana wa kusahau na kukosa msimamo kwa kiwango kikubwa sana, huyu membe miaka 3 na nusu iliyopita alikuwa akisemwa hasa suala lake la kuhusishwa na kula pesa za ghadaff na kubadili dini ili apatwe uungwaji mkono wa urais. huyu huyu alihusika na yale mamilion ya pesa yaliyokamatwa dodoma kutoka kwa yule mhindi mfanyakazi wa yusufu manji ambaye alikuwa kambi ya membe.

membe huyu ambaye alijiaminisha kuwa yeye ndo alikuwa rais ajaye 2015 na kuwatangazia kabia ubaya maadui wake kuwa siku akishika urasi wahame nchi leo hii anakuwa shujaa mkubwa sana chadema. kinachomuuma tundu lissu ni kuwa badala ya chadema kuanza kutafuta mtu wa kumsimamisha mwaka 2020 wao tayari wameamua kumkumbatia membe mwana ccm wakidhani kuwa atatoka ccm aje chadema.

jamaa yangu huyo ambaye pia ni mbunge wa hapa dsm jimbo flani ameoneshwa kuhuzunishwa na wafuasi wa chadema wengi kutokuwa na uelewa na kujua nini wanataka kiasi kwamba wamekuwa kama watu wanaopapasa gizani wanashika hata waya wa umeme wakidhani ni kamba.
Usituandikie UONGO na kutaka kuufanya kuwa ni UKWELI WA KITAIFA
 
Acha uongo wewe,Tundu Lissu hajasema lolote,liongo kweli wewe
 
Nathani hakuna Mwanachadema anayemtaka Membe ahame huko aliko, bali wanataka alianzishie humo humo ndani.
 
Lisu ninayemfahamu hawezi kaa kimya! Mbona mengine mnaleta nukuu zake kwanini kwa hili asemewe?
 
Muulize huyo jamaa yako, kwamba wakati Tundu Lissu anamwambia hayo maneno alikua wapi? UBELIGIJI au wapi
 
Hii hadithi umeitungia ukiwa Chuttle?
Jamaa yangu aliye ndani ya CDM (mbunge DSM) amenambia hili kwa uchungu sana. kuwa ndo maana kwa sasa Tundu Lissu ameamua kunyamaza kimya baada ya kuona wana chadema wameshamsahau na kuanza kumfikiria membe awe mgombea wao 2020.

ingawa yeye hajatangaza nia hiyo lakini alikuwa anaamini kuwa kwa yale aliyoyapitia ndani ya chama mpaka kutaka kuuawa leo hii wanachadema wasingekuwa watu wa kwenda mkumbatia fisadi membe joka la mdimu awe mgombea mwaka 2020. ni dhahiri shahiri kuwa wanaomtaka membe si wana ccm. ni wanachadema baada ya kuona anampinga sana magufuli au hakubaliki tayari wameanza kumwona ni shujaa kama ilivyokuwa kwa nape ambaye aligoma kuhama ccm.

anaumia sababu wanachadema wanaonekana wana ugonjwa mbaya sana wa kusahau na kukosa msimamo kwa kiwango kikubwa sana, huyu membe miaka 3 na nusu iliyopita alikuwa akisemwa hasa suala lake la kuhusishwa na kula pesa za ghadaff na kubadili dini ili apatwe uungwaji mkono wa urais. huyu huyu alihusika na yale mamilion ya pesa yaliyokamatwa dodoma kutoka kwa yule mhindi mfanyakazi wa yusufu manji ambaye alikuwa kambi ya membe.

membe huyu ambaye alijiaminisha kuwa yeye ndo alikuwa rais ajaye 2015 na kuwatangazia kabia ubaya maadui wake kuwa siku akishika urasi wahame nchi leo hii anakuwa shujaa mkubwa sana chadema. kinachomuuma tundu lissu ni kuwa badala ya chadema kuanza kutafuta mtu wa kumsimamisha mwaka 2020 wao tayari wameamua kumkumbatia membe mwana ccm wakidhani kuwa atatoka ccm aje chadema.

jamaa yangu huyo ambaye pia ni mbunge wa hapa dsm jimbo flani ameoneshwa kuhuzunishwa na wafuasi wa chadema wengi kutokuwa na uelewa na kujua nini wanataka kiasi kwamba wamekuwa kama watu wanaopapasa gizani wanashika hata waya wa umeme wakidhani ni kamba.
 
Haaaaa Lumumba katika ubora wao hapo unatafutwa ugali wa Siku moja hadanganyiki mtu hapa kawaambie mbinu yetu imebuma wameistukia 2020 twende na membe
 
Another msakatonge!
 
CCM msikereke , raha hii ya kisiasa ni zamu kwa zamu - JamiiForums
 
Yani Membe kachafua hali ya hewa ndani ya chichiem na nje ya chichiem
 
Akili za kuambiwa changanya na zako. Kuandika umeandika wewe ila ujumbe ni wawale waliyo kutuma. CCM imevamiwa na wasakatonge.
 
Propaganda za kitoto ila kuna vihoja flani vimejifichamo. Ishu ya kutangazia ubaya maadui wake, kuhusishwa na rushwa ya uchaguzi na ile mambo mengine ya conspiracies vinaweza kuwa sababu ya jamaa kukatwa na kamati ya maadili km ilivyotokea kwa edo. Labda kama atagombea kupitia cdm ambako kule ni upepo wako tu ulivyo!
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaa.... Huu upuuzi hamsaidii mwenyekiti wenu kupambana na Membe, nape, bashe, jk, january, kinana na mwigulu.
Hivi timu mwenyekiti ukiwandoa bashite na lemutuz ni nani wengine?
 
Jamaa yangu aliye ndani ya CDM (mbunge DSM) amenambia hili kwa uchungu sana. kuwa ndo maana kwa sasa Tundu Lissu ameamua kunyamaza kimya baada ya kuona wana chadema wameshamsahau na kuanza kumfikiria membe awe mgombea wao 2020.

ingawa yeye hajatangaza nia hiyo lakini alikuwa anaamini kuwa kwa yale aliyoyapitia ndani ya chama mpaka kutaka kuuawa leo hii wanachadema wasingekuwa watu wa kwenda mkumbatia fisadi membe joka la mdimu awe mgombea mwaka 2020. ni dhahiri shahiri kuwa wanaomtaka membe si wana ccm. ni wanachadema baada ya kuona anampinga sana magufuli au hakubaliki tayari wameanza kumwona ni shujaa kama ilivyokuwa kwa nape ambaye aligoma kuhama ccm.

anaumia sababu wanachadema wanaonekana wana ugonjwa mbaya sana wa kusahau na kukosa msimamo kwa kiwango kikubwa sana, huyu membe miaka 3 na nusu iliyopita alikuwa akisemwa hasa suala lake la kuhusishwa na kula pesa za ghadaff na kubadili dini ili apatwe uungwaji mkono wa urais. huyu huyu alihusika na yale mamilion ya pesa yaliyokamatwa dodoma kutoka kwa yule mhindi mfanyakazi wa yusufu manji ambaye alikuwa kambi ya membe.

membe huyu ambaye alijiaminisha kuwa yeye ndo alikuwa rais ajaye 2015 na kuwatangazia kabia ubaya maadui wake kuwa siku akishika urasi wahame nchi leo hii anakuwa shujaa mkubwa sana chadema. kinachomuuma tundu lissu ni kuwa badala ya chadema kuanza kutafuta mtu wa kumsimamisha mwaka 2020 wao tayari wameamua kumkumbatia membe mwana ccm wakidhani kuwa atatoka ccm aje chadema.

jamaa yangu huyo ambaye pia ni mbunge wa hapa dsm jimbo flani ameoneshwa kuhuzunishwa na wafuasi wa chadema wengi kutokuwa na uelewa na kujua nini wanataka kiasi kwamba wamekuwa kama watu wanaopapasa gizani wanashika hata waya wa umeme wakidhani ni kamba.

Huu ujinga, Tundu Lissu naye atakuwa na matatizo kama ni kweli, kuna Mtu mwenye Kashfa zaidi ya Lowassa? Mbona Lissu alikuwa mmoja wao kumkaribisha? wana LUMUMBA Mmeanza fitina zentu rasmi!
 
Back
Top Bottom