Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

Ndo maanake, nao ni watumishi wa umma ambao mtukufu anahangaika waishi kama mashetani kwa kuzuia promosheni, ajira, nyongeza za mwaka, na stahiki zao mbalimbali...
nA VIKAO VYOTE VYA CHAWENE! KWELI WATU WAMEANZA KUJITAMBUA
 
1489837265260.png
1489837272878.png
 
yah serikal itakuwa ktk wakat mgum sana sasa ukitaka kuyaamin haya jiulize kwann serikal ya bwana yule alikuwa anatumia nguv kubwa kumdhibit huyu lisu .nna hiki chama TLS xo serikal ipo ktk wakat mgum watakuwa wakat mgum kidogo..
If wishes were horses.....
 
Basi mi nikadhani kulingana na kelele na mayowe na mashamsham yote yalokuwepo hao jamaa wangejitokeza kwa wingi ambao haujapata kutokea kumbe wapi!

Sasa kwa mfano hao 800 na kitu waliokuwepo jana leo wameishia wapi?

Hayo mahudhurio hayatii moyo kabisa.
It doesn't matter yeye ndiye rais wa TLS hata Magufuli alichaguliwa kwa percentage ndogo sana ya Watanzania almost 16% ya Watanzania wote.
 
Hongera Rais Tundu A. Lissu,wewe ndiyo Rais mtetezi wa wanyonge sote tunakujua.
Hongereni Sana mawakili kwa kuonesha misimamo na kutotetereshwa na matapta wa sheria. Mmefanya kama marekani kupitisha mtu bila kujali porojo za wasakatonge...TLS - Tundu Lissu Squard,parua viwavi wa sheria na tunataka katiba mpya iliyo bora na majaji waukweli ndiyo wapite
 
Hongera sana kwa ushindi le comrade Tundu Lissu , sasa ukawatumikie watanzania
kupitia platform ya TLS . Maana TLS ilikusubilia mtu wa kariba yako , sasa umepatikana.
Kisu chenye makali umekabidhiwa wewe, sasa ushindwe wewe tu kuchinja.
tundu%2Blissu.jpg


upload_2017-3-18_14-42-40.jpeg
maxresdefault.jpg
 
Habari nilizozipata hivi punde ni kwamba serikali inakusudia kupeleka muswada bungeni, kupitia wizara ya katiba na sheria, kwa lengo la kuifuta TLS na kisha kuunda bodi ya sheria ambayo kiongozi wake atakuwa anateuliwa na mh rais.
 
82 Reactions
Reply
Back
Top Bottom