Hyo ni mojawapo ya factor.Huenda alishindwa kupenya hadi kwenye chumba cha kuhesabia kura.
Shule muhimu sana.Kweli CCM huchaguliwa na Viazi.
Mungu ametenda kwa uweza wake.....
....Sauti ya Watu Sauti ya MUNGU Yametia
CC Great Thinkers
Nonsense..Unaweza ukawa hata TLS umeijua Leo ... Maraisi wa TLS wa hivi karibuni wamekuwa hawana hata courage ya kufile case court kupinga uvunjifu wa sheria kama jamani...... Simaanishi lawyers hawawezi ila long time wamekosa kiongozi wa kuwaongoza....
Unawafahamu LHRC na Angeline kidjo ??? Pale kuna wabobezi wa sheria ... Kama unakumbuka enzi za kikwete walimburuza MAHAKAMANI Waziri mkuu mizengo pinda kwa ile kauli yake WAPIGWE TU...
Unajua kwanini sasa hivi wapo kimya japo kuna law breaching nyingi???
Hilo swali mpeleke mwakyembe wewe huwezi kujua
Lazima leo akalale na viatuMwakyembe akameze panadol
Mimi natamani nisikie anavyo hutubiaNatamani kuona sura ya Ngosha kwenye vibonzo vya kesho..