Makete Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2012
- 531
- 165
wao wanamapesa sis tuma MUNGU....umma umesinda
Any feedback from Rejao 'the gamba'?
Inatia imani kidogo, vipi hukumu ya Sumbawanga mjini nayo inasemaje maana nilisikia nayo ni leo kama sijakosea.
Waliokuwa wanalalama kuwa mahakama hazitendi haki wako wapi?
Kama mnavyoikubali hukumu ya Lussu na ya Lema msilalamike. Mahakama hazina muda wa kufanya mchezo, nyinyi mlizowea mahakama za zamani wakati wa ujamaa, kila kitu anaamuuwa dikteta mmoja.
Hongera Lissu.
hatimaye sharia imechukua mkondo wake na kujitenga na batwili.
Hongera sana.
Tumeshafika mahakamani, wafuasi wa vyama mbalimbali vya siasa, wananchi wa Singida, na waandishi wa habari wapo wengi sana katika eneo la mahakama.
Polisi ni wengi sana, ndani na nje ya mahakama. Kilicho cha ajabu kidogo leo getini maofisa wote wakubwa wa jeshi la polisi wapo pale na kikosi maalumu kwa ajili ya kumkagua kila anayeingia mahakamani, tunapekuliwa hasa, hadi wabunge wanaoingia.
Kuna baadhi walikatazwa kuingiza magari yao mahakamani lakini baada ya vuta nikuvute, magari yapo mahakamani, na watu wamtinga ndani tunasubiri yatakayojiri.......... tutawajuza, leo kamanda nipo gado, Mungu amenijalia afya.
UPDATES:
Punguza Munkari mkuu bado mbili. nazo zitatupwa nje, najiandaa kufanya sherehe
Freedom is COMING...SOOOOOOOOOOOOOOoooooooooooooooooonnn